Sasa alipokuwa akiandika jakujua hiloMaelezo yako ni sawa na kutekwa kizembe,
Kwa hiyo akiandika huku akiamini anachoandika ni uongo na hakitoki moyoni mwake
Angejua kuwa alichoandika ni kweli angesimama nacho hadi mahakanani
Anajifanya keyboard warrior akiitwa toa ushahidi anakana maandishi yake mwenyewe
Ujumbe kwa jumuiya ya kimataifa ba mabalozi wa nchi za nje musiwaamini hao Chadema wa mitandaoni ni biggest liars ambao wakiitwa kuthinitisha wakichoandika mnaona jinsi wabavyokataa kuwa sio wao
Kama hawa ndio mnaowategemea kuwa mbadala wa CCM mnapoteza bure pesa zenu na muda wenu bure
Mkidhani ni watu serious kwenye kile wanaandika kumbe hamna kitu ni wahuni wawinda fedha za wafadhili
Jumuiya ya kimataifa na mabalozi take note