Mvutano wa Kisheria Waanza Kesi ya Boniface Jacob, Andiko Kuhusu Mafwele Lawekwa Kwenye Hati ya Mashtaka

Maelezo yako ni sawa na kutekwa kizembe,
Sasa alipokuwa akiandika jakujua hilo
Kwa hiyo akiandika huku akiamini anachoandika ni uongo na hakitoki moyoni mwake

Angejua kuwa alichoandika ni kweli angesimama nacho hadi mahakanani
Anajifanya keyboard warrior akiitwa toa ushahidi anakana maandishi yake mwenyewe

Ujumbe kwa jumuiya ya kimataifa ba mabalozi wa nchi za nje musiwaamini hao Chadema wa mitandaoni ni biggest liars ambao wakiitwa kuthinitisha wakichoandika mnaona jinsi wabavyokataa kuwa sio wao

Kama hawa ndio mnaowategemea kuwa mbadala wa CCM mnapoteza bure pesa zenu na muda wenu bure

Mkidhani ni watu serious kwenye kile wanaandika kumbe hamna kitu ni wahuni wawinda fedha za wafadhili

Jumuiya ya kimataifa na mabalozi take note
 
Huyo Mafwele ndio angetakiwa kumfungulia kesi ya defamation huyo Boni Yao…sijajua serikali inaingiaje hapa au tu ni Kwa sababu mafweke ni mtumishi wa serikali?
Serikali haina locus standae kwenye defamation case… ni kesi ya mafwele v Bon yai…mafweke Ndio anayetuhumiwa Kwa mambo mbali mbali sio serikali…waache kutumuia kodi zetu vibaya.
Kwa post za Twitter hata angeshitaki yeye asingetoboa. Akaunti za Twitter ni kama robot tu.

Ova
 
Sasa alipokuwa akiandika jakujua hilo
Kwa hiyo akiandika huku akiamini anachoandika ni uongo na hakitoki moyoni mwake

Angejua kuwa alichoandika ni kweli angesimama nacho hadi mahakanani
Anajifanya keyboard warrior akiitwa toa ushahidi anakana maandishi yake mwenyewe

Ujumbe kwa jumuiya ya kimataifa ba mabalozi wa nchi za nje musiwaamini hao Chadema wa mitandaoni ni biggest liars ambao wakiitwa kuthinitisha wakichoandika mnaona jinsi wabavyokataa kuwa sio wao

Kama hawa ndio mnaowategemea kuwa mbadala wa CCM mnapoteza bure pesa zenu bure

Mkidhani ni watu serious kwenye kile wanaandika kumbe hamna kitu ni wahuni wawinda fedha za wafadhili

Jumuiya ya kimataifa na mabalozi take note
Mimi nadhani alikuwa anajua kama hana tatizo la afya ya akili na kesi iko mahakamani, (let us cross our fingers) na huwezi kukubali tu bila, cross- examination
 
Nakumbusha tu, mahakama ikitoa AMRI kwamba u-LOGIN kwenye akaunti yako ya mtandano, log in mara kadhaa kwa 'password' ya uongo halafu usema UMESAHAU 'password'.

Kisheria, kama DPP atasema mtuhumiwa UNAKUMBUKA password, basi yeye (DPP) atatakiwa KUTHIBITISHA hilo, la sivyo itabaki kuwa TUHUMA tu dhidi yako.

Hakimu naye, hana MAMLAKA kisheria & hawezi kukulazimisha ukumbuke jambo fulani kichwani mwako kwa sababu FAHAMU ni jambo la Muumba. Kesi inakuwa imefia hapo.

Good Night.
Baba Mwita X
We jamaa muongo sana 😂
 
Nilisema kwenye ile kesi yake nyingine akiwa na Malisa, pia nasema tena kwenye hii pia. Kesi za mambo ya kwenye tovuti za kijamii isiyo ya kikoa cha Bongo (.tz), Polisi haitakaa itoboe.

Mwishowe wataikimbia tu kesi kama wanavyoikimbia ile nyingine. Twitter wanatoaje ushahidi utakaotosha kumfunga Boniyai? Ndiyo maana walijaribu kupora password yake.

Kwa kuwa uporaji wa password haukufanikiwa, na kumfunga pia hakutafanikiwa kamwe hadi na hii kesi waikimbie pia. Ni kupoteza muda na pesa tu za umma.

Maneno ya mitandaoni hujibiwa kwa utendaji tu uliotukuka na sio kesi za namna hii za kushindwa kabla hata haijaanza. Ni laana kutumia mgogo wa siasa kuficha uzembe wa polisi kiutendaji.

Ova
wacha anyoroshwe amezidi kidomodomo chake mpuuzi mmoja huyu
 
Kwahiyo katika hii kesi mafwele ataitwa au yeye hausiki kabisa?

Kesi ikisimamiwa na kibatala.....hii imeenda
 
Halafu boni mwenyewe yupo smart mno kichwani
Smart kukana alichoandika mwenyewe au kunguru mwoga anayekimbiza baba lake

Hawa utadikia ooh Boni yai ndie Mandela wa Tanzania. Mandela alisimamia alichokisema au kukiandika bila woga

Hutu Boni Yai alichoandika mwenyewe mitandaoni anakikana .Kuna Mandela hapo ? Ujinga mtupu
 
Boni Yai. Nachekaga sana hili jina, linafurahisha. 😁
Hapa ndio fursa sahihi ya kumbanananisha kwa kutajwa kwake na wahanga au familia za waathirika wa utekaji na madai ya uuaji wa raia wasio na hatia.

Waathirika wote wawe ndi mashahidi ili kukomesha kinga inayotafutwa kukandamizwa raia kulalamika wanavyoumizwa kinyume na sheria
 
Huyo Mafwele ndio angetakiwa kumfungulia kesi ya defamation huyo Boni Yao…sijajua serikali inaingiaje hapa au tu ni Kwa sababu mafweke ni mtumishi wa serikali?
Serikali haina locus standae kwenye defamation case… ni kesi ya mafwele v Bon yai…mafweke Ndio anayetuhumiwa Kwa mambo mbali mbali sio serikali…waache kutumuia kodi zetu vibaya.
Jibu ni jepesi sana, huyo Mafwele hawezi kujitokeza hadharani kirahisi maana hadi sasa ameshakuwa "uncovered" akijitokeza tu ataibua mengi sana sababu watu watajitokeza rasmi na yeye kumfungulia kesi kutokana na tuhuma hizo.

Unakumbuka yule Kisanduku aliyemtolea Nape bastola hadharani?

Si wizara ya mambo ya ndani walimkana kuwa sio mtumishi wa polisi wala hatokei chombo chochote cha ulinzi na usalama , je swali linakuja kama huyo mtu hakuwa askari au mtu yoyote kwenye jeshi anaweza kupata ujasiri wa kutoa bastola hadharani na camera zimejaa vile bila kusudio au order?

Ishukuriwe teknolojia ndio ilitusaidia hadi akajulikana alikuwa ni kutoka circle ya walinzi wanaovaa kiraia wa Bashite.

Polisi washukuru mahakama za kitanzania hazifanyi live coverage ya court proceedings maana polisi wa Tanzania ni weupe kichwani, hebu fikiria walienda kukagua kwa Bonny masaa 3 walichoenda kukagua hakijulikani na hawakuambulia chochote zaidi ya upotevu wa rasilimali muda na fedha.

Hapa nastream court proceeding ya ex- IGP wa Kenya , pengine Tanzania ikifika huko polisi huenda watajifunza accountability maana saa hizi wanafurahia yote wayafanyayo jamii haitojua na hata mahakamani wataona wachache watakaokuwepo tu .
 
Kesi ya ugaidi ya Freeman Mbowe tulikua tunapata live coverage kutoka Mahakamani.
Kwa mara ya Kwanza ndio nikatambua IQ za Polisi wetu ni aibu sana. Hata hizo D mbili ni za michongo.
 
Boni Yai nilichojifunza hana ujasiri wowote
Taarifa anachapisha yeye halafu mahakamani anakana sio yeye ni utoto angekuwa jasiri kwelikweli Angesema ndio na niko tayari kutoa ushahidi

Hamna mtu jasiri hapo
Huna unachojua kuhusu sheria wala kesi za jinai tulia tu
 
Na pale ni kwamba walituletea kwa maandishi , na ikatoka order wakaguliwe watu wanaoingia na vinasa sauti.

Ingependeza ingeruka live katika video ndio tungeona vizuri zaidi.
 
Huna unachojua kuhusu sheria wala kesi za jinai tulia tu
Tofautisha jinai ya kawaida na siasa

Mwanasiasa hatakiwi kukikana alichoandika au kutamka ili kumjengea credibility kuwa anachotamka au kuandika mi credible

Bon Yai kakana alichoabdika maana yake nini credibility ya vitu atavyoandika au kusema vitakuwa vinachukuliwa sio credible kisiasa inamshushia hadhi mbele ya jamii
 
Jibu ni jepesi sana, huyo Mafwele hawezi kujitokeza hadharani kirahisi maana hadi sasa ameshakuwa "uncovered" akijitokeza tu ataibua mengi sana sababu watu watajitokeza rasmi na yeye kumfungulia kesi kutokana na tuhuma hizo.

Unakumbuka yule Kisanduku aliyemtolea Nape bastola hadharani?

Si wizara ya mambo ya ndani walimkana kuwa sio mtumishi wa polisi wala hatokei chombo chochote cha ulinzi na usalama , je swali linakuja kama huyo mtu hakuwa askari au mtu yoyote kwenye jeshi anaweza kupata ujasiri wa kutoa bastola hadharani na camera zimejaa vile bila kusudio au order?

Ishukuriwe teknolojia ndio ilitusaidia hadi akajulikana alikuwa ni kutoka circle ya walinzi wanaovaa kiraia wa Bashite.

Polisi washukuru mahakama za kitanzania hazifanyi live coverage ya court proceedings maana polisi wa Tanzania ni weupe kichwani, hebu fikiria walienda kukagua kwa Bonny masaa 3 walichoenda kukagua hakijulikani na hawakuambulia chochote zaidi ya upotevu wa rasilimali muda na fedha.

Hapa nastream court proceeding ya ex- IGP wa Kenya , pengine Tanzania ikifika huko polisi huenda watajifunza accountability maana saa hizi wanafurahia yote wayafanyayo jamii haitojua na hata mahakamani wataona wachache watakaokuwepo tu .
Well said Mkuu, bandiko lako nimelikubari sana. Uzidi kutuongezea maarifa
 
Boni Yai nilichojifunza hana ujasiri wowote
Taarifa anachapisha yeye halafu mahakamani anakana sio yeye ni utoto angekuwa jasiri kwelikweli Angesema ndio na niko tayari kutoa ushahidi

Hamna mtu jasiri hapo

Boni Yai nilichojifunza hana ujasiri wowote
Taarifa anachapisha yeye halafu mahakamani anakana sio yeye ni utoto angekuwa jasiri kwelikweli Angesema ndio na niko tayari kutoa ushahidi

Hamna mtu jasiri hapo
Epuka kuingiliwa kinyume na maumbile kitendo hicho kinaathiri akili na mwili!
 
Hoja ya kwanza: Mafwele ndo kashitaki au jamhuri inashitaki Kwa niaba ya Mafwele!?

Mafwele hatuhumiki? Mafwele ni chombo Gani katika nchi?
Swali la muhimu sana hili, pia DPP kama jamhuri (Complainant) ndio inapaswa ithibitishe uwongo wa kauli ya Boni (Accused)
Sidhani kama hili watakuwa wako tayari maana Mafwele atapaswa asimame kama shahidi wa jamhuri.
 
Kweli tupu, sijui huu mzigo serikali inajibebesha wa nini?
Naona ofisi ya DPP wamejaa vilaza wengi wa sheria au wanajua bali wanafanya makusudi. Hawajui zama zimebadirika sasa hivi, mtaani kuna watu wengi waliosoma mambo ya sheria na wanapoona mambo yapo tofauti wanauliza. Ukimya uliozoeleka kipindi cha nyuma sasa haupo.
 
Back
Top Bottom