Mvuto wa ajabu wa Diamond Platnumz

Mvuto wa ajabu wa Diamond Platnumz

Ila hapo nguvu za giza ni pagumu kumeza.Kwanini sisi waAfrica tuna amini Sana mtu akifanikiwa ni lazima atakuwa ni Freemason au ni nguvu za waganga ila tunakuwa atuangalii hustle zake mpaka kupata hayo mafanikio

Wala sio mambo ya waafrika , nguvu za giza zipo ulimwengun kote, acha mawazo mgando

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
warumi

toka jamaa huyu anaaanza mziki mimi namsikiliza kuna watu walisema anatumia waganga mpzka wakajitokeza waka sema walienda kumfanyia madawa ila ashuke ila jamaa anazid kwenda mbele tuu jamaa anajua anachokifanya na anatafuta fursa popote pale anapo iona na anajua muziki na watu wana penda nini kwa muda gani halafu kubwa zaidi siyo mtu wa kuvunjika moyo big up kwa huyu jamaa
 
Diamond hayuko Freemason na wala hatumii uchawi wowote. Kitu pekee kimemuweka diamond on the pick kwa muda mrefu sasa ni nidhamu ya kazi, kujituma na kuwa na tamaa isiyoisha katika mafanikio.

Though kuna watu hawaamini mtu kufanikiwa kihalali, tuwaangalie wazungu ambao only they use the power of mind to come up with great innovations

Sent using Jamii Forums mobile app
 
warumi

ana mafanikio na nguvu kuliko Drake au Wizikid?
Jibu ni hapana, je unaamini Drake kapiga ndere?
Wajua hatujazoea kuona watu wanafanikiwa sana from nothing basi na sisi tunapenda kujipa moyo kuwa mafanikio hayaji kawaida sisi hatujafanikiwa kwasababu haturogi.
 
Diamond hayuko Freemason na wala hatumii uchawi wowote. Kitu pekee kimemuweka diamond on the pick kwa muda mrefu sasa ni nidhamu ya kazi, kujituma na kuwa na tamaa isiyoisha katika mafanikio. Though kuna watu hawaamini mtu kufanikiwa kihalali, tuwaangalie wazungu ambao only they use the power of mind to come up with great innovations

Sent using Jamii Forums mobile app

In reality inajulikana Diamond ni mshirikina na alishawah Kukiri , sasa wewe ni nani mpaka ukatae, muziki ni biashara na biashara yeyote kwa watu kama wa kina diamond uchawi lazima , unadhan kufika pale mchezo wa kuigiza ule

Kwa level aliyofikia anaweza kuingia freemason ila Sijui kama kweli yupo , ila kuhus kutumia nguvu za giza , it’s true

Uzuri anajituma sana , na anaipenda kazi yake

Tupe hiyo video aliyosema yeye ni mshirikina
 
Wanasema hivyo ila sidhan , Diamond hana pesa hizo , ila mvuto alionao kwa jamii is just too extra , kuna nguvu za ziada ako nazo

Sent from my iPhone using JamiiForums
Cheki na wachungaji wa kisasa watakujibu vyema
 
Ni mchakato mrefu ulioanza na jina sahihi la kisanii Diamond Platnumz jina rafiki ktk dunia ya teknolojia ya habari na mawasiliano, jina linaloelezea ndoto kubwa na haiba ya kuvuta kama madini ya thamani... wasanii mfano ujiite Zumbekuku lazima utaishia kuwa na mvuto unaoishia ktk eneo moja tu la kidunia na matamanio yako ya umaarufu ni local.

Majina ya makampuni makubwa ya kimataifa yana siri / ndoto kubwa nyuma yake mfano Android, Canon, Oracle , etymology of Google googol , Olympus, Airbus , Audi, Adobe, Volkswagen, Nike, Phoenix , Amazon ilianza kuitwa A ili kwenye buku la majina litangulie kuibuka kabla ya kampuni zingine , Spectre roket n.k ukitafuta maana yake utanifahamu namaanisha nini kuhusu Diamond Platnumz :

Diamond :

  • a precious stone consisting of a clear and colourless crystalline form of pure carbon, the hardest naturally occurring substance.
    "a diamond ring"
    synonyms:
    precious stone · jewel
    • a tool with a small diamond for cutting glass.
    • BRITISH
      informal
      (a diamond)
      an excellent or very special person or thing.
      "Fred's a diamond"
  • a figure with four straight sides of equal length forming two opposite acute angles and two opposite obtuse angles; a rhombus.

Platnumz : a precious silvery-white metal, the chemical element of atomic number 78. It was first encountered by the Spanish in South America in the 16th century, and is used in jewellery, electrical contacts, laboratory equipment, and industrial catalysts.
 
Diamond hayuko Freemason na wala hatumii uchawi wowote. Kitu pekee kimemuweka diamond on the pick kwa muda mrefu sasa ni nidhamu ya kazi, kujituma na kuwa na tamaa isiyoisha katika mafanikio. Though kuna watu hawaamini mtu kufanikiwa kihalali, tuwaangalie wazungu ambao only they use the power of mind to come up with great innovations

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawaamini, Mkuu. Tatizo kwao Mbagala ! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu imani yako ni haba, ikumbukwe kuwa binadamu alinyimwa uwezo wa kuongeza au kupunguza kimo chake, ila kuhusu kuwa tajiri au masikini ni mipango yake. Labda nikukumbushe tu kuwa diamond alishatuhumiwa sana kuhusu kuroga toka miaka ya 2011, nakumbuka kipindi hicho hadi alijitokeza mganga aliyedai kamuinua diamond, but all those were speculations. Imekuwa utamaduni wetu Africa sasa kuamini kuwa biashara yoyote kubwa haiwezi kusimama pasipo uchawi, that's shame on us. Matumizi mazuri ya ubongo, kujituma, nidham ya kazi na kutokata tamaa vyote vitamuweka mtu pazuri kulingana na anachokifanya
Kwa level aliyofikia anaweza kuingia freemason ila Sijui kama kweli yupo , ila kuhus kutumia nguvu za giza , it’s true

Uzuri anajituma sana , na anaipenda kazi yake

Sent from my iPhone using JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku baba levo alisema wakati wa shoo wakipata million tano wao wana wekeza laki tano,,million NNE na laki tano kwenye matumizi,,,,wakati diamond akipata million tano,,million nne na laki tano anawekeza kwenye mziki wake na laki tano kwenye matumizi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In reality inajulikana Diamond ni mshirikina na alishawah Kukiri , sasa wewe ni nani mpaka ukatae, muziki ni biashara na biashara yeyote kwa watu kama wa kina diamond uchawi lazima , unadhan kufika pale mchezo wa kuigiza ule

Sent from my iPhone using JamiiForums
hahahaaaa.....! eti uchawi ni lazima
Washirikina utawajua tuu
 
Back
Top Bottom