Mvuto wa ajabu wa Diamond Platnumz

Mvuto wa ajabu wa Diamond Platnumz

Binamu wale wanachofanya,kupitia kipaji Mungu amekupa ndo wanakitumia!
Kwahiyo km unacho kipaji cha kuimba,instead kumuimbia Mungu wanageuza ni kuimba ngono na ushetani,vitu ambavyo havimpi Mungu utukufu!
Na wanajua wapi watakukamata,penye pesa,watakufanya ujulikane,usisike kifupi,utoke/utoboe....issue ni mikataba,na mashart hupewi yotewanajua utagoma,kwahiyo mashart mengine unakuta wakati umeshaingia ndani,sio siri wana mikataba migumu,kiasi kwamba wakishachoka wakitakaga kutoka wengi hawaelewi wanafanyaje wanaishia kufa vifo vya ajabu ajabu!

Sent using Jamii Forums mobile app

Well said binamu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huna unachokijua mzee...
hizi fikra ndo hutudumaza waafrika kuhusu mafanikio...
babu alinambia "mzungu na mwafrica tofaut ni rangi tu, akili tupo sawa bt tatizo la mwafrica hutumia zaid nguvu ya mwili kuliko nguvu ya akili ndo maana ni ngum kufanikiwa bt mzungu anaitumia zaid nguv ya akili ndo maana ni rahisi kufanikiwa"
tubadili fikra hakuna nguvu ya giza itakupa utajiri, kama ingekua hivo wachawi na waganga ndo wangekua matajiri wakubwa zaid duniani hapa maana na wao wanazpenda starehe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom