Mvuto wa Ajabu: Watu, Watoto na Wanyama. Mabaya yapo pia

Ana akili sana ila hana uwezo wa kuitawala
Unajua changamoto ya kujua kwingi ni kwamba unakua na big shadow, big ego.

Kuna kitu kinaitwa SHADOW WORK, ni zoezi la kufanya kila siku ili kuiweka Ego in check isivuke mipaka,

Unapokua na akili nyingi ni rahisi akili yako kukudanganya na kujitengenezea gereza la ujuaji. Hili ni gereza hatari sana kuliko magereza yote sababu kila kosa unaweza kulitafutia reasoning.

Unaona watu wengi much know? yaani anajua kila kitu ila bado ni kama hajui kila kitu, wamejaa Bar na mitandaoni, its normal, na sio kitu kibaya sana ila ubaya ni KU BYPASS kufanyia kazi kila siku kufikia utambuzi wa kweli.
 
Hakuna ukweli wowote hapo
 
Una tatizo la afya ya akili.
Fanya umuone psychologist atakusaidia kujua na kutatua tatizo.

Mimi ni fan wako usisahau hilo.
Usimtetee mtu mwingine kwa kuleta ujinga wa kudanganya umati kupitia mental illness na wakati unajua huna uwezo wa kupambanua mambo by lack of awareness

Kama hujui kitu kaa kimya.
 
Wewe Nakwambiaje, huo upuuzi wako wa kuleta negative vibes rudi nao ulipotoka. Wewe ndiye nyumbu kwanza huna hoja, hujui hata what we're talking about..

Usifikiri kila mtu ni nyumbu wa kukubali bs zako humu..
Bwashee sitaki mtu akubali chochote kupitia mimi , wapi nimesema nataka kuonekana wewe ?
 
Bwashee sitaki mtu akubali chochote kupitia mimi , wapi nimesema nataka kuonekana wewe ?
Wewe nilisha kwambia usije ukazama kwenye anga zangu na upuuzi wako wa kudanganya vijana humu..

Go to hell, mimi sio wa kuchezewa..

Kama huna hoja ya msingi pita kushotoo.

Kama mada iko beyond awareness kaa kimya
 
Ukweli ndo kitu hutaki kusikia!
Unataka mtu akupake mafuta mgando hata kama hujaoga.
Ukweli gani kama sio kuongea pumba na hujui hata undani wa kile kilicho mezani?

Wewe huwa una akili ila hujui hata namna ya kuzitumia katika context fulani.. Yaani huwa unaendelea utoto sana.
 
Ukweli gani kama sio kuongea pumba na hujui hata undani wa kile kilicho mezani?

Wewe huwa una akili ila hujui hata namna ya kuzitumia katika context fulani.. Yaani huwa unaendelea utoto sana.
Povu lote hili kisa sijakusifia!
Nakubali harakati zako, sasa hivi nitakua chawa wako ili na mimi nyota yangu ing'ae
 
Dah! Sisi wengine ndo tupo kinyume kabisaa kwa kila mfano ulotoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…