Mvuto wa Ajabu: Watu, Watoto na Wanyama. Mabaya yapo pia

Mvuto wa Ajabu: Watu, Watoto na Wanyama. Mabaya yapo pia

umejijibu wewe mwenyewe kua ni binafsi yako. Hebu katika meditations zako, weka intention ya kujifunza destiny swap ili ujipe nafasi ya kujifunza zaidi.
Destiny swap?
Mkuu acha kusoma kijiji..

Hebu onesha process inakuaje labda nitaona
 
Yani sitaki ata kuchangia mada zake kwa namna ya kufanya maongezi na yeye, japo ni nzuri sana
Wewe kama huna cha kuchangia kaa pembeni usilete visingizio na negative energy humu... Siku hizi watu tunajua juzi filter vizuri sana... So stay your lane, Fata mambo yako
 
Katika spiritualism, kuna kitu kinaitwa SPIRITUAL BYPASS, ndio alicho/anacho/ambacho amekifanya mtoa mada, very likely "Hii ni hypothesis yangu".

kuna madhara ya kusoma vitabu vingi vya kuokota huku ukianza kujirelate na wengine, ndio nyinyi wasomi mnaiita NARCISM, ila sisi tunaiita EGO iliyovaa vazi la kujiona ni bora, na the worst form of EGO, ni SPIRITUAL EGO, sababu unajiona uko sahihi katika ngazi ya kiroho na wengine ni takataka.

katika safari ya kiroho, ukimkuta mtu anatukana ni hana akili sababu mtukanaji ndie anaebeba matusi siku zote, katika stillness mtukanwaji hayamfikii isipokua ameamua.

Ni hatari hiyo. Religion cult is form of mental illness. Mfano wa Siloam, Makenzie kule Kenya na mengine. Ni muhimu kuwa makini sana na vitu unavyo feed ubongo wako overtime vinakuathiri.
 
Wewe kama huna cha kuchangia kaa pembeni usilete visingizio na negative energy humu... Siku hizi watu tunajua juzi filter vizuri sana... So stay your lane, Fata mambo yako
Nafanya hivyo ila unanitag wewe sijui una tatizo gani?
 
Katika spiritualism, kuna kitu kinaitwa SPIRITUAL BYPASS, ndio alicho/anacho/ambacho amekifanya mtoa mada, very likely "Hii ni hypothesis yangu".

kuna madhara ya kusoma vitabu vingi vya kuokota huku ukianza kujirelate na wengine, ndio nyinyi wasomi mnaiita NARCISM, ila sisi tunaiita EGO iliyovaa vazi la kujiona ni bora, na the worst form of EGO, ni SPIRITUAL EGO, sababu unajiona uko sahihi katika ngazi ya kiroho na wengine ni takataka.

katika safari ya kiroho, ukimkuta mtu anatukana ni hana akili sababu mtukanaji ndie anaebeba matusi siku zote, katika stillness mtukanwaji hayamfikii isipokua ameamua.
The Ego is not the enemy kama mlivyo karirishwa... Hakuna right or wrong on higher levels of consciousness
 
Destiny swap?
Mkuu acha kusoma kijiji..

Hebu onesha process inakuaje labda nitaona
Maarifa yako wewe binafsi unayatoa wapi?

Weka nia ya kupata elimu kutoka ndani yako, kupitia meditation unazozisema. kama hua unafanya basi unajua kua unaweza kujifunza na kutambua hilo, Kisha kubali ujifunze.

Kuanza kukwambia process za kufanya hivyo ni sawa uniambie kua nielezee mchakato wa mtu kuibiwa nyota. Mtu anapoibiwa nyota hua anafanyiwa hiyo swapping, kubadilisha.

Tafuta majibu ndani yako, then utakutana na Anhaa moment.

kuelezea hapa ni kutwanga maji kwenye kinu. sababu ni dhahiri haupo tayari kujifunza ila upo tayari kubishana,
 
Sita kutag tena... Na usipite katika mada zangu kama huna hoja.

Wewe kinacho kusumbua ni chuki binafsi. And I don't give a damn
Hizi taka taka zako wala usingeniita nisinge kuja asee, jitazame akili yako yako zaidi una shida sana mahali
Screenshot_2026-08-19_211548.jpg
 
Back
Top Bottom