maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,507
- 6,454
Nipo hivyo hivyo
Umenisema
Umenisema
Haya yote yanakuja baada ya self inquiry ili ujue wewe nguvu zako ziko wapi hasaKuna wengine wanatamani kua sehemu isiyo ya kwao. mfano ww unaweza kutawala dunia nzima, ila mwenzio yeye ana uwezo wa kutibu tu na kua mtu wa kawaida. sasa anatamani kua sehemu ambayo hatakiwi kuwepo.
Au mwingine anataka akubalike kila sehemu wakati yeye destiny yake sio kukubalika bali kujenga.
Hamna kitu kama hicho. Binafsi naona destiny kama kitu kilicho pre ordained hauwezi kukibadilishaAnafanyiwa destiny swapping, yaani ile destiny yako mfano kua tajiri mkubwa wa madini, anapewa mwingine halafu yule ya kwake unapewa ww.
Siku hizi mtu akija na maneno kama yako namwona ni hajitambui kabisa. Yaani hana thought process inayo eleweka. Nilipaswa hata ni sikujibu ila kama mtu asiye na awareness anaweza kubuy into your bsIla angalia kwa makini kwa kupitia nyuzi zako jana na leo naona unaweza kuwa na Narcissistic Personality Disorder ambaya ni ni form ya Mental Illness. Ifanyie kazi isizidi ukawa na Schizophrenia bure. Punguza muvi za Kizungu naona zinaongeza tatizo lako.
Siku hizi mtu akija na maneno kama yako namwona ni hajitambui kabisa. Yaani hana thought process inayo eleweka. Nilipaswa hata ni sikujibu ila kama mtu asiye na awareness anaweza kubuy into your bs
Peleka ujinga wako kwa wengine.
Gold in power ya SUN. migodini kuna mauza uza sana mpaka watu wanaipata.Hasa Gold nasikia nayo huwa ina hold vibration nzuri.. Hata ancient people waliitumia Gold kama expression of power
umejijibu wewe mwenyewe kua ni binafsi yako. Hebu katika meditations zako, weka intention ya kujifunza destiny swap ili ujipe nafasi ya kujifunza zaidi.Hamna kitu kama hicho. Binafsi naona destiny kama kitu kilicho pre ordained hauwezi kukibadilisha
Wewe unaongea shit then unataka nikuangalie tu?
Hii umegundua kwa kusoma? kujifunza.Satori is the no mind-body expireince. Where you become luminous of your true nature.. Beyond time and space
Mada zako ni nzuri sana ila zina negative vibe vibaya sanaNnKwa nini mkuu?
Katika spiritualism, kuna kitu kinaitwa SPIRITUAL BYPASS, ndio alicho/anacho/ambacho amekifanya mtoa mada, very likely "Hii ni hypothesis yangu".Shit gani tatizo Narcissist huwa anajiona yupo sahihi muda wote, anakuwa na grandiosity, entitlement and seeking validation ambazo wewe zote unazo seek treatment haraka. Onana na Psychiatrist mapema.
Mimi ninaelewa kwa sababu nimesoma both Psychiatry and Social Psychology
Wewe unaweza usijione ila mimi nimeku dignose hivyo and I am sure sija ku miss dignose. If you don't like to accept no worries, let wait and see time will tell.
Mada zako ni nzuri sana ila zina negative vibe vibaya sana