Mvuto wa Ajabu: Watu, Watoto na Wanyama. Mabaya yapo pia

Poa mkuu ... Big Ups kwako endelea ku bless up.

Sasa kuna baadhi ya maneno yako yanafafanua matukio na sio necessary nyota kali, na sio kwamba nakubishia.
Umeandika wewe si mtu wa kutembea kutembea... afu unapotoka watu wanakuangalia sana. Si hautoki sana, wabongo lazma wamwangalie mgeni mtaani kwa makini. Hilo ama vazi lako.

Swala la watoto na wanyama - ni kweli hawa ni majaji wazuri sana kumtambua mtu mwema na righteous... ila mbwa, labda awe na boss wake

Anyway, endelea kuishi righteous bredda. Wivu na chuki ni sehemu kubwa ya maisha utakumbana nayo unapoishi righteous. Keep ya head up
 
Kwani unavyo kuwa hutoki ndo mgeni?

Hata hivyo kwani mgeni ni mimi pekee?

You too, keep being righteous.
 
✍️✍️
 
Bro salute kwako,najifunza kutoka kwako,una kitu ambacho tunabarikiwa
 
Unajua nguvu hasa inatoka wapi?

Nguvu hasa ni kuwa cool na composed wakati wa changamoto,kero na maudhi

That is where the true strength is,work on that part,you will thank me later

Kuwa mwepesi wa hasira ni ishara ya kuwa weak
Kuna muda composure hatakiwi hasa unapokutana na mtu anaye kuja intentionally kuleta energy mbaya.

Ila uko sahihi composure is one trait of higher vibrational being
 
Kuna muda composure hatakiwi hasa unapokutana na mtu anaye kuja intentionally kuleta energy mbaya.

Ila uko sahihi composure is one trait of higher vibrational being
You can teach a person through your behavior

Kwa kawaida hasira haileti uzingatiaji wa mambo,sana sana una backfire mambo

Kumdis mtu haimanishi your powerful but your very weak

Lower your ego na act in a positive way
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…