Mvuto wa Ajabu: Watu, Watoto na Wanyama. Mabaya yapo pia

Makosa makubwa ni watu wanapotenganisha kua kuna maisha ya kiroho na yasiyo ya kiroho. ila kiuhalisia maisha yote ni ya kiroho, BODY MIND and SOUL, wengi tunaishi katika BODY and MIND. na matokeo yake tumepoteza direct connection na SOUL.
 
Sauwaa....
 
Mambo ya kiroho yanahusiana na saikolojia.

wanachokiita utatu mtakatifu kwenye dini ni BODY, MIND and SOUL. sikolojia inabebwa na MIND, sasa kunapokua na shida kwenye mind ndio mtu anakua ameharibika kisaikolojia.
Ndio nalijua hilo, ila huwezi kusema what someone does reflects their spiritual essence. Au elimu ya mtu, au kazi anayo fanya... Hata Buddha anaweza kuzidiwa na mtu baki.. Japo Buddha anakuwa na probability kubwa ya kuwa na spiritual essence nzuri.. Maana maisha yake yame focus huko.

Body and mind are not yours to say... But the soul reflects who you really are.

Tunazidiana kwenye souls, vibrations ndo maana mwingine hawezi kuwa na gifts fulani mwingine akawa nazo.

Mfano kuna mtu anazaliwa na karama hiyo mwingine hana.
 
Makosa makubwa ni watu wanapotenganisha kua kuna maisha ya kiroho na yasiyo ya kiroho. ila kiuhalisia maisha yote ni ya kiroho, BODY MIND and SOUL, wengi tunaishi katika BODY and MIND. na matokeo yake tumepoteza direct connection na SOUL.
Na wewe unakosea...

Body and mind pia inaweza kuwa hindrance ku connect kwenye soul
 
Sijui unachojaribu kuzungumzia ni nini lakini unanitrigger swali ambalo sasa naona nikuulize, unavyosema Body and Mind are not yours unamaanisha kuna mwenye navyo, na sio wewe.

JE, WEWE NI NANI?
 
Ukisikia Nyota yako kuwaka ndio hiyo.. hongera sana..
 
Na wewe unakosea...

Body and mind pia inaweza kuwa hindrance ku connect kwenye soul

Na wewe unakosea...

Body and mind pia inaweza kuwa hindrance ku connect kwenye soul
Interesting.

Unasema kua body and mind inaweza kua hindrance ku connect kwenye soul.

hebu niambie ni nini hasa hicho kinacho connect na soul?
 
Sijui unachojaribu kuzungumzia ni nini lakini unanitrigger swali ambalo sasa naona nikuulize, unavyosema Body and Mind are not yours unamaanisha kuna mwenye navyo, na sio wewe.

JE, WEWE NI NANI?
The body and mind ni kama avatar, au suit ya kuivaa soul(ambayo ndio wewe halisi)

Sasa ile expression ya soul itakuja kupitia namna uko in touch with your body and mind.. Ndo maana nikasema mwanzoni ya kuwa ili ujue lazima kwanza uachane na body mind aviators..

Mind inaweza isiwe aligned na soul, vivyo hivyo body... Ikiwa kwenye low vibration it means soul's expression is somehow limited or reduced to lower dimensions of energy
 
Unasema saikolojia haihusiani na mambo ya kiroho? Hakuna chochote kisichofungamana na mambo ya kiroho, unajua mambo ya kiroho ndio msingi wa kila kitu.
Ndio ndo maana nikasema hazifungamani ila ni kama consciousness...

Consciousness inapenda kama mwanga na inakuwa expressed via body and mind, but halihusiani na hivyo vitu
 
Hii ipo sana tu, kuna watu wana "nyota"! Ila pia kuna watu hawana hiyo, wapo the opposite ya hicho unachosema, akija dukani siku hiyo mwenye duka hatauza tena, au akipiga simu mkimaliza kuongea utapokea simu ya tatizo...
Hakika, mkuu. Nahisi kuna kitu hapa cha kiroho hasa vibrationaly ambacho hatukijui
 
Mimi na shida moja... Mimi sehemu yeyote nikiwepo Huwa inafanikiwaga sana hii ni from kwa baba angu uwepo wangu

Kwa kaka angu niliwai kukaa wakawa anafanikiwa sana sanaa

My first job walifanikiwa sana now ni matajiri wakubwa sanaa na Mimi nilipata VYANGU piaa

Mimi Nina nyota ya ajabu sana Mimi sio binadamu wa KAWAIDA kabisa na hata haya maisha sio yangu Mimi ni tajir sanaa

NB. Kuna demu mmoja alinambia Huwa nikisex nae Huwa biashara zake za duka la wholesale biashara inatoka mpaka anashangaaga

Hii spiritual awakening ngoja nianze kuvitumia kwa manufaa sana sanaa sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…