Denis1729
Member
- Sep 9, 2021
- 35
- 110
Mapenzi kitu cha ajabu sana, wataalamu wanasema hata ungeukuwa mzuri kama miss dunia, hata ungekuwa mzui wa pekee yako dunia nzima, ila kadri unavyozidi kuishi na mumeo ndivyo unavyozidi kuwa wa kawaida kwake!
Yaani ule uzuri wako unaanza kuwa wa kawaida mbele yake. Lile umbo lako linaanza kuwa la kawaida mbele yake.
Wakati kwa wanaume wengine unaonekana mpya huko nje, una trend lakini kwa mumeo huo uzuri wako unaonekana kawaida tu!
Na hili ni moja ya tatizo kubwa sana lilonalochangia tendo la ndoa kwenye ndoa nyingi kupumulia mashine kila kunapokucha. Wakati mwili wako wewe unawavutia wanaume wa nje bahati mbaya sana ni pale mumeo atapoanza kuuchukulia poa uzuri wako.
Wanawake wengi sana walio ndani ya ndoa wanaumizwa na ukosefu full package ya tendo la ndoaa, Wengi hawafikishwi tena kama zamani, wengi wana kiu isiyoisha, wengi wanachukizwa na safari ya dakika tatu isiyowafikisha vilele vya kibo na mawenzi. Kuna haja mwanaume kutambua nafasi ya full packge ya tendo la ndoa kwenye ndoa yako.
Ukipata nafasi ya kuongea na wanawake kumi basi ni mmoja tu ambaye tendo la ndoa kwenye ndoa yake bado lipo vizuri, maajabu ni kuwa ukiangalia ndoa ndiyo kwanza haina hata miaka minne halafu tendo la ndoa liko taaban. Hebu vuta taswira ya miaka mitano mbelee. Je, huyu mwanamke ataweza kuvumiliaa?
Hapa ndipo tunapomuhitaji sana
MUNGU KWENYE HIZI NDOA.