Mvuto wa mwanamke hupungua kadri muda unavyozidi kwenda

Ndio maana binafsi nashindwa kutokuwaunga mkono wale team kataa ndoa kwa sababu kama hizi.

Taabu inakuwa kwa mwanaume kwa sababu anakuwa yupo kwenye mambano mengi maisha yake yote yaliyo bakia.

Unatakiwa kama mwanaume uhakikishe familia yako inakuwa kwenye ustawi bora hata kama wewe utaangamia
Unatakiwa upambane kumridhisha mke wako katika mambo mengi, ikumbukwe pia wanawake hawaridhiki.
Unatakiwa uendelee kuvutiwa na mwanamke wako hata kama amepoteza mvuto, hamna mpambano mkali kama huu.
Kwa wale wa ndoa ya mke mmoja unatakiwa uwe naye huyo huyo maisha yako yote pamoja na dharura zao nyingi walizo nazo mwanamke, hili nalo ni pambano kubwa sana linalomkabili mwanaume.

Maisha ya mwanaume sio kwa ajili yake bali kwaajili ya mwanamke na watoto, mwanaume akisha owa automatically anakuwa amepoteza maisha yake ya uhuru na furaha na amani mpaka atakapo maliza maisha yake hapa duniani.

Na kwa sababu ya mambo kama hayo atakua ni mtu mwenye hatia nyingi na dhambi nyingi asipojaliwa kutubu moto wa milele unamsubiria, hivyo mwanaume ni mtu anaeweza kuwa kwenye mateso maisha yake yote ya duniani na ahera.
umeandika kwa hisia,,
 
Mapenzi kitu cha ajabu sana, wataalamu wanasema hata ungeukuwa mzuri kama miss dunia, hata ungekuwa mzui wa pekee yako dunia nzima, ila kadri unavyozidi kuishi na mumeo ndivyo unavyozidi kuwa wa kawaida kwake!

Yaani ule uzuri wako unaanza kuwa wa kawaida mbele yake. Lile umbo lako linaanza kuwa la kawaida mbele yake.

Wakati kwa wanaume wengine unaonekana mpya huko nje, una trend lakini kwa mumeo huo uzuri wako unaonekana kawaida tu!

Na hili ni moja ya tatizo kubwa sana lilonalochangia tendo la ndoa kwenye ndoa nyingi kupumulia mashine kila kunapokucha. Wakati mwili wako wewe unawavutia wanaume wa nje bahati mbaya sana ni pale mumeo atapoanza kuuchukulia poa uzuri wako.

Wanawake wengi sana walio ndani ya ndoa wanaumizwa na ukosefu full package ya tendo la ndoaa, Wengi hawafikishwi tena kama zamani, wengi wana kiu isiyoisha, wengi wanachukizwa na safari ya dakika tatu isiyowafikisha vilele vya kibo na mawenzi. Kuna haja mwanaume kutambua nafasi ya full packge ya tendo la ndoa kwenye ndoa yako.

Ukipata nafasi ya kuongea na wanawake kumi basi ni mmoja tu ambaye tendo la ndoa kwenye ndoa yake bado lipo vizuri, maajabu ni kuwa ukiangalia ndoa ndiyo kwanza haina hata miaka minne halafu tendo la ndoa liko taaban. Hebu vuta taswira ya miaka mitano mbelee. Je, huyu mwanamke ataweza kuvumiliaa?

Hapa ndipo tunapomuhitaji sana
MUNGU KWENYE HIZI NDOA.
Hii ni kweli mzee, mi kuna aina ya msichana nilikuwa naitaka na nimepata... mtoto sio mrefu sana sio mfupi sana, umbo sio kubwa sana sio mwembamba sana, tako la kuvutia,...hadi sasa nimeshajitambulisha kwao mipango ya kuoa imeanza,
Juzi kati kaja mahali nilipo amekaa siku mbili, sasa muda mwingi geto alikuwa anakaa bila nguo kwa sababu ya umbo lake anajiamini sana na kujifeel comfortable akiwa uchi mbele yangu.....nikajikuta nalizoea umbo lake fasta sioni tena kama linavutia najihisi kama nimekurupuka sana kutaka kuoa.
 
Yah na ni ukwel To yeye believe us.
Juz kat nilikaa nikawaazaaa nilikua na jamaa angu mmoja hiv.nikasema ujue haya maisha nayoishi kiukwel sio yangu.naishi kwa ajili ya watu tuu..mke na watoto.napata pesa kidogo lakin sina uhuru wa kuzitumia navyotaka..sina uhuru kurudi home navyotaka...wasipovaa watoto vizur mimi sina guts za kutupia pamba nikaonekana maana watu wasema siwajali...wamefukuzwa ada shuleni basi moyo wangu hauna amani kabisaaa..
MWISHO WA SIKU wananiacha kwenda kuanza maisha yao nao ya kujitegemea na wao mzunguko unakua kama wangu kama wakioa au kuoelewa..HAYA MAISHA SASA YANA MAANA GANI LAKINI?
hii ni kwa sisi wenye vipato vya kawaida kabisaa...

Kwakwel muda mwingi hasa ukiwa mtu wa kujali sana basi utajikuta unaandamwa na hatia tuuu Pendaelli umesema kwel man
Am sor😔
 
Hii ni kweli mzee, mi kuna aina ya msichana nilikuwa naitaka na nimepata... mtoto sio mrefu sana sio mfupi sana, umbo sio kubwa sana sio mwembamba sana, tako la kuvutia,...hadi sasa nimeshajitambulisha kwao mipango ya kuoa imeanza,
Juzi kati kaja mahali nilipo amekaa siku mbili, sasa muda mwingi geto alikuwa anakaa bila nguo kwa sababu ya umbo lake anajiamini sana na kujifeel comfortable akiwa uchi mbele yangu.....nikajikuta nalizoea umbo lake fasta sioni tena kama linavutia najihisi kama nimekurupuka sana kutaka kuoa.
😂😂😂😂🙌
 
Upendeleo hudanganya, uzuri ni batili..bali mwanamke amchaye bwana ndiye atakayesifiwa. In Eng bible it says Charm(the power or quality of attracting, fascinating or delighting others) and Beauty is deceptive, But the woman who fears the Lord is to be praised.

Sasa kulingana na mada hii, mvuto si kitu kinachodumu. Na Timotheo aliona hili wazi, mapema tu akatuonya gender yetu kwamba tujipambe kwa mavazi ya KUJISITIRI, adabu nzuri na moyo wa kiasi. Sio kwa kusuka nywele, dhahabu na vito vya thamani na nguo za thamani bali kwa matendo mema.

Mwanamke mwenye sifa za Mith 31, na 1Tim 2:9-10 ni mwanamke mzuri sana hata ipite miaka elfu na mia. Na zaidi ya hilo ni kwamba hata mume wake atamsifu malangoni kwa sababu uzuri wa mwanamke unaanzia ndani. Beauty starts from within then it radiates externally.

Lakin too bad weng wa wanaume unakuta walioa kwa kuangalia vgezo vya nje TU na hawakutaka kuhangaika na vgezo vya ndani. Unakuta mtu ndani ya miaka minne mmekua katika uchumba, mkaanza kwa kasi sana na matusi yakafanyika weee, ok mkaingia kwenye ndoa proudly kwamba we made it, rahisi sana uzuri wa nje kufade out kwa sabbu kuna tabia za ndani zilikua masked na great sex styles ama chura ama uzuri wa sura ama pesa.

Lakin imagine unakutana na mmama ana muonekano wa kawaida no chura no what lakin ana moyo mzuri, hekima, upendo, utu wema..iwe iweje atasifiwa tu kwamba ni mzuri na atapendwa na watoto, mume, ndugu na jamii kwa ujumla.

Uzuri katika miili yetu huwa unaexpire mapema sana. Lakini roho njema inaishi miaka mingi mno. Anayechagua achague vyema na anayechaguliwa ajitengeneze ndani ili achaguliwe na mchaguzi mzuri. Isije ikatokea mwanamke unakuwa mwema afu ukaishia kwa agent wa kuzimu. Uzuri wa nje hubatilika mapema sana. Seek God ufanywe mzuri from inside.

Be blessed sister [emoji7]
 
Kwenye haya ya 4 umemaanisha wanaume tulio wengi tunaoa si kwa7bu binafsi,bali ili wengine wakimuona mke wanisifu nimeoa mke mzuri (kisu),lkn ndani ya nyumba ni fukuto.
Uwezo wa kung'amua mambo ungekuwa unazingatiwa kwenye suala la kuoana,kuoana kungukuwa kugumu sana ila tunaoana kwa7bu tuna via vya uzazi sasa kumpata mnae endana hapo ni bahati nasibu.
 
Upendeleo hudanganya, uzuri ni batili..bali mwanamke amchaye bwana ndiye atakayesifiwa. In Eng bible it says Charm(the power or quality of attracting, fascinating or delighting others) and Beauty is deceptive, But the woman who fears the Lord is to be praised.

Sasa kulingana na mada hii, mvuto si kitu kinachodumu. Na Timotheo aliona hili wazi, mapema tu akatuonya gender yetu kwamba tujipambe kwa mavazi ya KUJISITIRI, adabu nzuri na moyo wa kiasi. Sio kwa kusuka nywele, dhahabu na vito vya thamani na nguo za thamani bali kwa matendo mema.

Mwanamke mwenye sifa za Mith 31, na 1Tim 2:9-10 ni mwanamke mzuri sana hata ipite miaka elfu na mia. Na zaidi ya hilo ni kwamba hata mume wake atamsifu malangoni kwa sababu uzuri wa mwanamke unaanzia ndani. Beauty starts from within then it radiates externally.

Lakin too bad weng wa wanaume unakuta walioa kwa kuangalia vgezo vya nje TU na hawakutaka kuhangaika na vgezo vya ndani. Unakuta mtu ndani ya miaka minne mmekua katika uchumba, mkaanza kwa kasi sana na matusi yakafanyika weee, ok mkaingia kwenye ndoa proudly kwamba we made it, rahisi sana uzuri wa nje kufade out kwa sabbu kuna tabia za ndani zilikua masked na great sex styles ama chura ama uzuri wa sura ama pesa.

Lakin imagine unakutana na mmama ana muonekano wa kawaida no chura no what lakin ana moyo mzuri, hekima, upendo, utu wema..iwe iweje atasifiwa tu kwamba ni mzuri na atapendwa na watoto, mume, ndugu na jamii kwa ujumla.

Uzuri katika miili yetu huwa unaexpire mapema sana. Lakini roho njema inaishi miaka mingi mno. Anayechagua achague vyema na anayechaguliwa ajitengeneze ndani ili achaguliwe na mchaguzi mzuri. Isije ikatokea mwanamke unakuwa mwema afu ukaishia kwa agent wa kuzimu. Uzuri wa nje hubatilika mapema sana. Seek God ufanywe mzuri from inside.
Wewe ni mlokole uliyekomaa.

Kama unayamaanisha na kuyaishi haya unayoyaakisi hapa basi Mungu Akubariki sana na aliyekuoa ana bahati!
 
Mkuu mvuto wa mwanamke unapungua kama hana matunzo , mfano mlo kamili, mazoezi , utulivu wa akili na nafsi , usafi wa mwili na mavazi , matunzo ya ngozi na nywele , apo kuna chakula bora na mafuta yasiyo na kemikali yakulinda ngozi na mwanga mkali wa jua , pia wanawake wengi huzeeka pale wanapotoka uzazi , hujiachia na kujisahau sna , unakuata mdada ananyonyesha ila kayaacha maziwa bila vishikio ( brazia) lazima ule uzito ufanye yapwelepwete, wine [emoji485] kidgo kwa mwanamke uimarisha afya yake na kumfanya awe na nuru mda wote.
 
The only way to deal with your cheating man is to give him peace, respect, and value. Ataancha tu mwenyewe
 
Wewe ni mlokole uliyekomaa.

Kama unayamaanisha na kuyaishi haya unayoyaakisi hapa basi Mungu Akubariki sana na aliyekuoa ana bahati!
Shukrani kwako babu. Lakini mimi ni Mkristo. Sijajua kwanini lakini sipendagi kabisa kuitwa mlokole hata kama imeshazoeleka kwenye jamii. Mimi ni Mkristo ambaye natafuta kujikana kila siku na kujitwika msalaba nimfate Kristo na kuishi katika utauwa na wokovu kamili sio wa kuigiza.

But thanks for the compliment. Nasema Amina kwa baraka hizi na ni maombi yangu kila aonaye kiu, Amuendee Kristo akanyweshe maji ya uzima na akawe hai..
 
Hivyo kumbe nyie wenzetu huwa mnabakia vile vile hadi kufa kwenu🤔🤔🤔
 
Mara ya kwanza kumuona mwembamba,chuchu kama askari traffic, trakoo kama matikiti. Sasa namuweka ndani kawa kama Kiboko lazima anitoke hamu🤣
 
Ndio maana binafsi nashindwa kutokuwaunga mkono wale team kataa ndoa kwa sababu kama hizi.

Taabu inakuwa kwa mwanaume kwa sababu anakuwa yupo kwenye mambano mengi maisha yake yote yaliyo bakia.

Unatakiwa kama mwanaume uhakikishe familia yako inakuwa kwenye ustawi bora hata kama wewe utaangamia
Unatakiwa upambane kumridhisha mke wako katika mambo mengi, ikumbukwe pia wanawake hawaridhiki.
Unatakiwa uendelee kuvutiwa na mwanamke wako hata kama amepoteza mvuto, hamna mpambano mkali kama huu.
Kwa wale wa ndoa ya mke mmoja unatakiwa uwe naye huyo huyo maisha yako yote pamoja na dharura zao nyingi walizo nazo mwanamke, hili nalo ni pambano kubwa sana linalomkabili mwanaume.

Maisha ya mwanaume sio kwa ajili yake bali kwaajili ya mwanamke na watoto, mwanaume akisha owa automatically anakuwa amepoteza maisha yake ya uhuru na furaha na amani mpaka atakapo maliza maisha yake hapa duniani.

Na kwa sababu ya mambo kama hayo atakua ni mtu mwenye hatia nyingi na dhambi nyingi asipojaliwa kutubu moto wa milele unamsubiria, hivyo mwanaume ni mtu anaeweza kuwa kwenye mateso maisha yake yote ya duniani na ahera.
Duh
 
Nimewaoneeni huruma sana mkuu.
 
Upendeleo hudanganya, uzuri ni batili..bali mwanamke amchaye bwana ndiye atakayesifiwa. In Eng bible it says Charm(the power or quality of attracting, fascinating or delighting others) and Beauty is deceptive, But the woman who fears the Lord is to be praised.

Sasa kulingana na mada hii, mvuto si kitu kinachodumu. Na Timotheo aliona hili wazi, mapema tu akatuonya gender yetu kwamba tujipambe kwa mavazi ya KUJISITIRI, adabu nzuri na moyo wa kiasi. Sio kwa kusuka nywele, dhahabu na vito vya thamani na nguo za thamani bali kwa matendo mema.

Mwanamke mwenye sifa za Mith 31, na 1Tim 2:9-10 ni mwanamke mzuri sana hata ipite miaka elfu na mia. Na zaidi ya hilo ni kwamba hata mume wake atamsifu malangoni kwa sababu uzuri wa mwanamke unaanzia ndani. Beauty starts from within then it radiates externally.

Lakin too bad weng wa wanaume unakuta walioa kwa kuangalia vgezo vya nje TU na hawakutaka kuhangaika na vgezo vya ndani. Unakuta mtu ndani ya miaka minne mmekua katika uchumba, mkaanza kwa kasi sana na matusi yakafanyika weee, ok mkaingia kwenye ndoa proudly kwamba we made it, rahisi sana uzuri wa nje kufade out kwa sabbu kuna tabia za ndani zilikua masked na great sex styles ama chura ama uzuri wa sura ama pesa.

Lakin imagine unakutana na mmama ana muonekano wa kawaida no chura no what lakin ana moyo mzuri, hekima, upendo, utu wema..iwe iweje atasifiwa tu kwamba ni mzuri na atapendwa na watoto, mume, ndugu na jamii kwa ujumla.

Uzuri katika miili yetu huwa unaexpire mapema sana. Lakini roho njema inaishi miaka mingi mno. Anayechagua achague vyema na anayechaguliwa ajitengeneze ndani ili achaguliwe na mchaguzi mzuri. Isije ikatokea mwanamke unakuwa mwema afu ukaishia kwa agent wa kuzimu. Uzuri wa nje hubatilika mapema sana. Seek God ufanywe mzuri from inside.
Dada shikamoo
 
Mnachanganya mambo wakuu. Sex itabaki kua sex na ndoa itabaki kua ndoa. Ndoa inatoa fursa ya kuanzisha famili na msaidizi uliyemchagua ambalo ndio kazi maalumu chini ya dunia. Ila kiuhalisia ndoa haiwezi kukupa utoshelevu wa sex kwa mara zote, hii ni kutokana na mambo mengi na majukumu kibao yaliyomo ndani ya ndoa. Usimhukumu mwanamke kwa mabadiriko ambayo yeye hana udhibiti wa moja Kwa moja. Na mwaume asihukumiwe Kwa kukinai. Kama mnavyovumilia kuishi bila kua na vitu vyote mnavyovipenda ,kadharika akishi na mizuka ya minyanduano ikipungua tujifunze kuvumiliana.
 
Mapenzi kitu cha ajabu sana, wataalamu wanasema hata ungeukuwa mzuri kama miss dunia, hata ungekuwa mzui wa pekee yako dunia nzima, ila kadri unavyozidi kuishi na mumeo ndivyo unavyozidi kuwa wa kawaida kwake!

Yaani ule uzuri wako unaanza kuwa wa kawaida mbele yake. Lile umbo lako linaanza kuwa la kawaida mbele yake.

Wakati kwa wanaume wengine unaonekana mpya huko nje, una trend lakini kwa mumeo huo uzuri wako unaonekana kawaida tu!

Na hili ni moja ya tatizo kubwa sana lilonalochangia tendo la ndoa kwenye ndoa nyingi kupumulia mashine kila kunapokucha. Wakati mwili wako wewe unawavutia wanaume wa nje bahati mbaya sana ni pale mumeo atapoanza kuuchukulia poa uzuri wako.

Wanawake wengi sana walio ndani ya ndoa wanaumizwa na ukosefu full package ya tendo la ndoaa, Wengi hawafikishwi tena kama zamani, wengi wana kiu isiyoisha, wengi wanachukizwa na safari ya dakika tatu isiyowafikisha vilele vya kibo na mawenzi. Kuna haja mwanaume kutambua nafasi ya full packge ya tendo la ndoa kwenye ndoa yako.

Ukipata nafasi ya kuongea na wanawake kumi basi ni mmoja tu ambaye tendo la ndoa kwenye ndoa yake bado lipo vizuri, maajabu ni kuwa ukiangalia ndoa ndiyo kwanza haina hata miaka minne halafu tendo la ndoa liko taaban. Hebu vuta taswira ya miaka mitano mbelee. Je, huyu mwanamke ataweza kuvumiliaa?

Hapa ndipo tunapomuhitaji sana
MUNGU KWENYE HIZI NDOA.
Distance X Foolishness = Beauty
 
Back
Top Bottom