Mvuto wa mwanamke hupungua kadri muda unavyozidi kwenda

umeandika kwa hisia,,
 
Hii ni kweli mzee, mi kuna aina ya msichana nilikuwa naitaka na nimepata... mtoto sio mrefu sana sio mfupi sana, umbo sio kubwa sana sio mwembamba sana, tako la kuvutia,...hadi sasa nimeshajitambulisha kwao mipango ya kuoa imeanza,
Juzi kati kaja mahali nilipo amekaa siku mbili, sasa muda mwingi geto alikuwa anakaa bila nguo kwa sababu ya umbo lake anajiamini sana na kujifeel comfortable akiwa uchi mbele yangu.....nikajikuta nalizoea umbo lake fasta sioni tena kama linavutia najihisi kama nimekurupuka sana kutaka kuoa.
 
Am sor😔
 
😂😂😂😂🙌
 

Be blessed sister [emoji7]
 
Kwenye haya ya 4 umemaanisha wanaume tulio wengi tunaoa si kwa7bu binafsi,bali ili wengine wakimuona mke wanisifu nimeoa mke mzuri (kisu),lkn ndani ya nyumba ni fukuto.
Uwezo wa kung'amua mambo ungekuwa unazingatiwa kwenye suala la kuoana,kuoana kungukuwa kugumu sana ila tunaoana kwa7bu tuna via vya uzazi sasa kumpata mnae endana hapo ni bahati nasibu.
 
Wewe ni mlokole uliyekomaa.

Kama unayamaanisha na kuyaishi haya unayoyaakisi hapa basi Mungu Akubariki sana na aliyekuoa ana bahati!
 
Mkuu mvuto wa mwanamke unapungua kama hana matunzo , mfano mlo kamili, mazoezi , utulivu wa akili na nafsi , usafi wa mwili na mavazi , matunzo ya ngozi na nywele , apo kuna chakula bora na mafuta yasiyo na kemikali yakulinda ngozi na mwanga mkali wa jua , pia wanawake wengi huzeeka pale wanapotoka uzazi , hujiachia na kujisahau sna , unakuata mdada ananyonyesha ila kayaacha maziwa bila vishikio ( brazia) lazima ule uzito ufanye yapwelepwete, wine [emoji485] kidgo kwa mwanamke uimarisha afya yake na kumfanya awe na nuru mda wote.
 
The only way to deal with your cheating man is to give him peace, respect, and value. Ataancha tu mwenyewe
 
Wewe ni mlokole uliyekomaa.

Kama unayamaanisha na kuyaishi haya unayoyaakisi hapa basi Mungu Akubariki sana na aliyekuoa ana bahati!
Shukrani kwako babu. Lakini mimi ni Mkristo. Sijajua kwanini lakini sipendagi kabisa kuitwa mlokole hata kama imeshazoeleka kwenye jamii. Mimi ni Mkristo ambaye natafuta kujikana kila siku na kujitwika msalaba nimfate Kristo na kuishi katika utauwa na wokovu kamili sio wa kuigiza.

But thanks for the compliment. Nasema Amina kwa baraka hizi na ni maombi yangu kila aonaye kiu, Amuendee Kristo akanyweshe maji ya uzima na akawe hai..
 
Hivyo kumbe nyie wenzetu huwa mnabakia vile vile hadi kufa kwenu🤔🤔🤔
 
Mara ya kwanza kumuona mwembamba,chuchu kama askari traffic, trakoo kama matikiti. Sasa namuweka ndani kawa kama Kiboko lazima anitoke hamu🤣
 
Duh
 
Nimewaoneeni huruma sana mkuu.
 
Dada shikamoo
 
Mnachanganya mambo wakuu. Sex itabaki kua sex na ndoa itabaki kua ndoa. Ndoa inatoa fursa ya kuanzisha famili na msaidizi uliyemchagua ambalo ndio kazi maalumu chini ya dunia. Ila kiuhalisia ndoa haiwezi kukupa utoshelevu wa sex kwa mara zote, hii ni kutokana na mambo mengi na majukumu kibao yaliyomo ndani ya ndoa. Usimhukumu mwanamke kwa mabadiriko ambayo yeye hana udhibiti wa moja Kwa moja. Na mwaume asihukumiwe Kwa kukinai. Kama mnavyovumilia kuishi bila kua na vitu vyote mnavyovipenda ,kadharika akishi na mizuka ya minyanduano ikipungua tujifunze kuvumiliana.
 
Distance X Foolishness = Beauty
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…