Mvuto wa mwanamke hupungua kadri muda unavyozidi kwenda

Nakubali

Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
 
Wanaume Huwa tuna kinahi haraka sana.
Unakinai kwa sababu unafanya tendo la ndoa kwa kukomoa.

Fanya pale mwili unapohitaji siyo akili inapohitaji.

Fanya kwa mpangilio siyo kila wakati.

Upe mwili nafasi ya kupumzika na kujipanga kwa ajili ya tendo. Usifanye kama jogoo.

Mwandae mwandani wako kisaikolojia toka jana kwa ajili ya tendo leo. Usimkurupushe.

Iambie akili yako kuwa huyo ndiye mkeo na ndiye unayepaswa kutenda nae.

Kwa uchache tu zingatia hayo.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Mara ya kwanza kumuona mwembamba,chuchu kama askari traffic, trakoo kama matikiti. Sasa namuweka ndani kawa kama Kiboko lazima anitoke hamu🤣
Sijaona comment yoyote wakilikumbuka hili.
Huu nao ni ukweli mchngu kama shubiri na watu hawauongelei.
 
Wanawake wakishaingia tu kwenye ndoa ya mashamsham masaptasapta mipinduko yote yanaisha alikuwa anatumia mbinu zote aingie kwenye ndoa plus na wewe kuchakata miaka nenda rudi kiukweli anakuwa kama ndugu yako tu mnaweza kukaa wiki nzima usile chakula cha usiku.Kikubwa ndoa ni maisha minyanduo ni sehemu ya ndoa kuna watoto minyanduo yenu haiwahusu wanataka kuishi vizuri na wasome.
 
Naomba kukuchagua wewe!!
 
Mambo yote ni ubatili na kujilisha upepo.
Huwa najaribu kuwaza ndo maana ndoa za mababu zetu au watu wanaoletewa wachumba..huwa zinadumu..Huyu mtu inakuwa huna tamaa juu yake kivile lkn unaona sababu umeletewa na akili inaji-chune...kichwa kinakaa sawa, chemistry inakuja taratibu kwa wote wawili...wanaelewana wanakuwa na urafiki ambao haujajengwa kwenye tamaa ya mwili au vitu.

LKN vijana sasa tunachagua kwa matamanio...umependa ngozi nyeupe, ta..k, paja, sauti...ukishakutana naye kimwili tayari unagundua kumbe ni kawaida, hamna jipya lolote - shida zinaanza..ulioa tako kumbe..sasa umelizoea..kwisha kazi..akili kubwa inahitajika hapo.

Usioe mwanamke uliyemhangaikia sana, usioe mwanamke uliyejieleza, ukahongaa weee..baada ya miaka miwili ndo akubali, usikubali kufanya maamuzi ya kuwa na mwanamke kwa kutumia mguu wa tatu - hisia, zikikata hutaona uzuri wowote.

Mwanamke ambae nature/ Mungu anakupa siku mkionana tu....na mkatongozana......yeye atakuwa huru nafsini kwake na wewe utakuwa calm tu na amani sababu roho haziwasuti nyote. Huyo ndo fanya nae maisha...
HATA HISIA ZIKIWA HAZIPO MTAENDELEA KUWA NA AMANI NA FURAHA TU MKISUBIRI KWA UTULIVU KIPINDI MKO HIGH TENA KUENDELEZA MTANANGE..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…