Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati wa taarifa ya habari namuona mwkiti na skafu yake kashika maiki anahamasisha kazi kazi no maandamano no ukuta...ha ha haaa ...mwaka huu
Munamharibia rais mnapojenga ukabila na umkoa hata Hai wapo Ccm ẅengi tu. ukabila ni zao la kutokusafiri enzi za utotoSafi sana ,mambo ya UKUTA wakashikishane huko jimbo LA Hai
Duuuuuh umepotea sana mkuu.Kimsingi Kamati kuu iliweka wazi kuunga mkono juhudi za serekali, haipingi serekali ila inatetea haki ya kikatiba ya wanancĥi na vyama vya siasa. Diwani sijui mwenyekiti hakukosea. Chaajabu CCM ama serekali inaweza kumsulubu akiitisha mkutano
Ili tujue naye kaandika threadSasa hii ni thread au umetuma message katika group la WhatsApp?
Jaribuni kuwa serious.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa hii ni thread au umetuma message katika group la WhatsApp?
Jaribuni kuwa serious.
Kweli Nipha nimerudi ,tupo pamoja tumezidi kuongezeka wingi wetu na welediDuuuuuh umepotea sana mkuu.