Mw/kiti CHADEMA amkubali mhe...Magufuli

Mw/kiti CHADEMA amkubali mhe...Magufuli

njeeseka

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,373
Reaction score
983
Wakati wa taarifa ya habari namuona mwkiti na skafu yake kashika maiki anahamasisha kazi kazi no maandamano no ukuta...ha ha haaa ...mwaka huu
 
Sasa hii ni thread au umetuma message katika group la WhatsApp?
Jaribuni kuwa serious.
Ha ha haaa bora hata wewe umejibu...tayari ni thread hiyo mama....tuliaa
 
Kwani huna tv? Taarifa ya saa 2 ucku ITV hukumuona mwenyekiti wenu wa kijiji alivyopagawa na kukana hataki kushikishwa ukuta...
 
1469900550355.jpg
 
Kumbe kuna bavicha wenye akili Basi tu huyu jamaa wa hai aka UKUTA huyu
 
Kimsingi Kamati kuu iliweka wazi kuunga mkono juhudi za serekali, haipingi serekali ila inatetea haki ya kikatiba ya wanancĥi na vyama vya siasa. Diwani sijui mwenyekiti hakukosea. Chaajabu CCM ama serekali inaweza kumsulubu akiitisha mkutano
 
Duuuuuh umepotea sana mkuu.
 
Mimi kilichonishangaza kwenye huo mkutano ni pale aliposema
...hao sumatra kama wako mbinguni...!kama wako dar...!
Halafu akaendelea. .....wapokonyeni muwape wengine...!
Hizi ni kauli za mtu aitwaye rais kweli? ???
 
Back
Top Bottom