Tusubiri uchaguzi upite maana inatakiwa sisi tupiganie mambo ya miaka 200 ijayo.Rais wa Chama cha Wanasheria nchini Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, ametoa tamko kali akilaani kitendo cha polisi kuwashambulia raia na Wakili Mahinyila ndani ya viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam.
Amesema, “Shambulio lolote dhidi ya wanasheria ndani ya eneo la Mahakama ni shambulio la moja kwa moja dhidi ya haki.”
Mwabukusi amesema tukio hilo ni la kihalifu na haliwezi kutetewa kwa namna yoyote.
TLS imeagiza afisa wake maalum kufuatilia tukio hilo na kukusanya taarifa kamili.
Kulingana na Mwabukusi, baraza Kuu la TLS litakutana haraka kujadili suala hilo na kutoa mwelekeo rasmi.
Amesisitiza kuwa haki, uwajibikaji, na ulinzi wa wanasheria na raia ni misingi isiyoyumbishwa ambayo TLS itasimamia kwa uthabiti.
View attachment 3472618
Hawa nao ndio wanasheria wetu kama wao pia hawajui cha kufanyabunategemea mwananchi mnyonge asijua sheria atafanyiwa nini na hao polisi waliojitoa ufahamu.Rais wa Chama cha Wanasheria nchini Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, ametoa tamko kali akilaani kitendo cha polisi kuwashambulia raia na Wakili Mahinyila ndani ya viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam.
Amesema, “Shambulio lolote dhidi ya wanasheria ndani ya eneo la Mahakama ni shambulio la moja kwa moja dhidi ya haki.”
Mwabukusi amesema tukio hilo ni la kihalifu na haliwezi kutetewa kwa namna yoyote.
TLS imeagiza afisa wake maalum kufuatilia tukio hilo na kukusanya taarifa kamili.
Kulingana na Mwabukusi, baraza Kuu la TLS litakutana haraka kujadili suala hilo na kutoa mwelekeo rasmi.
Amesisitiza kuwa haki, uwajibikaji, na ulinzi wa wanasheria na raia ni misingi isiyoyumbishwa ambayo TLS itasimamia kwa uthabiti.
View attachment 3472618
Naomba ruhusa nicheke, pamoja na maumivu yote yanayo tukabili sote kama taifa!Mwabukusi unazingua sana
Faida ya hili chama sijui umoja wa mawakili ni nini?
Nini cha maana wamefanya kama sio kukemea tuuuuu weeeeeh…..Rubbish!
Unge tudokezea kidogo hicho alicho sema ingetusaidia nasi kujuwa.Nilivyomsikia leo Clouds, nilim unfollow kabisa kuingia ikulu kama vile ilikuwa dream yake.