Mwabukusi alienda kwenye Press na Kina Slaa akiwa Kalewa

Harufu ya uzushi...
 
acha useng.e jadili hoja alizoibua.Wachana na 'ulevi wake '.
 
Sawa tu! Hatutaki Bandari zetu zichezewe
 
Mbona kengeza alikuwa kalewa alipokuwa Mwanza
 
Si mbaya hata wewe mwenyewe ukienda kulewa na baadae ukaja kuutetea ulinzi wa raslimali za watanzania, na tukakuelewa hivyo. Tutakupokea, tutakusikiliza na kukupongeza vizuri sana.
 
Kwani kulewa ni kosa. ....!!?
 
kwanza: madaktari muhimbili walisha shauri bia tatu kwa siku ni muhimu kuondoa mafuta na magonjwa ya moyo, fuatilia pls.
pili: Lina uhusiano na Bandari za Tanganyika?
 
Si ndiyo hapo

Ova
Mleta mada tahira mkubwa
Kwenye bia mnywaji analipa Kodi nusu ya bei bia Moja ,mfano bia Moja 2000 Katika hiyo Hela

1000 nikodi na buku malipo ya bia

Unamlaumije mtu anayekunywa bia kutoka asubuhi mpaka jioni ,na anaendelea kuchangia pesa ya vifaa tiba,mishahara ya watumishi ,hata walivosafiri kwenda Dubai kwenye maonyesho ya sabasaba walitumia Kodi ambayo mwabukusi wakili msomi analipa kupitia unywaji wake wa pombe

onyo
Unywaji wapombe Tanzania siokosa ,semeni yote wananchi wako na mwabukusi
 
Sawa hoja ni Mkataba wa DPW ni Mbovu ,haufai hata kulumagia !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…