Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize huyo rafiki yako kala ngapi ili apindishe kalam., maana siku hiz wanafanya kazi ya kuandika ambayo hayakuzungumzwa.Mimi ni Rafiki ya mmoja wa Waandishi wa Habari walioalikwa kwenye press walioitisha kina Slaa na Wakili Madeleka katika kupinga uwekezaji wa kwenye Bandari ya Dar es salaam.
Rafiki yangu huyo ambaye Jina simtaji, ameniambia alipata wasaha wa kuongea na Wakili Msomi Mtanganyika Mwabukusi kabla na Baada ya Press hiyo na alikiri Kabisa Wakili Mwabukusi alikuwa akitoa Harufu ya Pombe. Hivyo ni dhahiri Wakili Mwabukusi alikuwa amekunywa pombe kabla ya press na hivyo naamini alikuwa haongei yeye Bali ni pombe.
Hata ukimuangalia katika Video utamuona kabisa Wakili Mwabukusi akiwa anaonekana yupo High yaani yupo Vyombo katika video Ile huku akiwa na uzubavu wa macho wa mtu Mlevi.
Wakili Mwabukusi anajulikana huko anapoishi Mbeya kuwa ni mtu wa Kulewa Sana Pombe kalibna mtu wa Kukesha Bar. Hivyo nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja.
Acha kusingizia pombe na ujinga wako!yaani kwanza hajalewa vizuri maana inampa material ya kiwango cha PHD!mwambukusi ongeza kinywaji nakuja kulipa!Mimi ni Rafiki ya mmoja wa Waandishi wa Habari walioalikwa kwenye press walioitisha kina Slaa na Wakili Madeleka katika kupinga uwekezaji wa kwenye Bandari ya Dar es salaam.
Rafiki yangu huyo ambaye Jina simtaji, ameniambia alipata wasaha wa kuongea na Wakili Msomi Mtanganyika Mwabukusi kabla na Baada ya Press hiyo na alikiri Kabisa Wakili Mwabukusi alikuwa akitoa Harufu ya Pombe. Hivyo ni dhahiri Wakili Mwabukusi alikuwa amekunywa pombe kabla ya press na hivyo naamini alikuwa haongei yeye Bali ni pombe.
Hata ukimuangalia katika Video utamuona kabisa Wakili Mwabukusi akiwa anaonekana yupo High yaani yupo Vyombo katika video Ile huku akiwa na uzubavu wa macho wa mtu Mlevi.
Wakili Mwabukusi anajulikana huko anapoishi Mbeya kuwa ni mtu wa Kulewa Sana Pombe kalibna mtu wa Kukesha Bar. Hivyo nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja.
Tatizo lako Uarabu umekukaa ...Ndio maa Ukiona kanzu unalegea...kama utakavyolegea Peponi wakati ukigida pombezinazotiririka kwenye mito ..huku mume wako akichakata Bikira 72 😂😂Fanya juhudi kubwa sana kuliko "conquistadors", hamtaYeweza kuizima nuru.
Yaelekea pombe unazijua ...na utakuwà umekamia sana hukompeppni ambako mmeahidiwa Mito ya Konyagi,Safari,Gongo,Wanzuki nkAlileweshwa na Slaa. Cheza na Slaa?
Jamani kwani hatujuwi Slaa katokea kanisa lipi? Leo tunajifanya tumesahau mambo yao?
Upo forodhani unauliza baharini wapi? Uishi Tanzania hii milevi usiijuwe?Yaelekea pombe unazijua ...na utakuwà umekamia sana hukompeppni ambako mmeahidiwa Mito ya Konyagi,Safari,Gongo,Wanzuki nk
Yanajuwa mata.ko yako pamoja na walodiNaona imekuingia mpaka umekumbuka najisi.
Unajuwa maana ya najisi?
Wewe mileage ipo juu huwezi pata teuzi umechakaa mbayaUpo forodhani unauliza baharini wapi? Uishi Tanzania hii milevi usiijuwe?
Unanchekesha!
Acha utahira wako ! Nani kakudanganya kwamba kunywa pombe ni kubaya?!Mimi ni Rafiki ya mmoja wa Waandishi wa Habari walioalikwa kwenye press walioitisha kina Slaa na Wakili Madeleka katika kupinga uwekezaji wa kwenye Bandari ya Dar es salaam.
Rafiki yangu huyo ambaye Jina simtaji, ameniambia alipata wasaha wa kuongea na Wakili Msomi Mtanganyika Mwabukusi kabla na Baada ya Press hiyo na alikiri Kabisa Wakili Mwabukusi alikuwa akitoa Harufu ya Pombe. Hivyo ni dhahiri Wakili Mwabukusi alikuwa amekunywa pombe kabla ya press na hivyo naamini alikuwa haongei yeye Bali ni pombe.
Hata ukimuangalia katika Video utamuona kabisa Wakili Mwabukusi akiwa anaonekana yupo High yaani yupo Vyombo katika video Ile huku akiwa na uzubavu wa macho wa mtu Mlevi.
Wakili Mwabukusi anajulikana huko anapoishi Mbeya kuwa ni mtu wa Kulewa Sana Pombe kalibna mtu wa Kukesha Bar. Hivyo nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja.
Kwani ile sehemu ya ibada?Mimi ni Rafiki ya mmoja wa Waandishi wa Habari walioalikwa kwenye press walioitisha kina Slaa na Wakili Madeleka katika kupinga uwekezaji wa kwenye Bandari ya Dar es salaam.
Rafiki yangu huyo ambaye Jina simtaji, ameniambia alipata wasaha wa kuongea na Wakili Msomi Mtanganyika Mwabukusi kabla na Baada ya Press hiyo na alikiri Kabisa Wakili Mwabukusi alikuwa akitoa Harufu ya Pombe. Hivyo ni dhahiri Wakili Mwabukusi alikuwa amekunywa pombe kabla ya press na hivyo naamini alikuwa haongei yeye Bali ni pombe.
Hata ukimuangalia katika Video utamuona kabisa Wakili Mwabukusi akiwa anaonekana yupo High yaani yupo Vyombo katika video Ile huku akiwa na uzubavu wa macho wa mtu Mlevi.
Wakili Mwabukusi anajulikana huko anapoishi Mbeya kuwa ni mtu wa Kulewa Sana Pombe kalibna mtu wa Kukesha Bar. Hivyo nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja.
Analewa na mama yako bladifakenMimi ni Rafiki ya mmoja wa Waandishi wa Habari walioalikwa kwenye press walioitisha kina Slaa na Wakili Madeleka katika kupinga uwekezaji wa kwenye Bandari ya Dar es salaam.
Rafiki yangu huyo ambaye Jina simtaji, ameniambia alipata wasaha wa kuongea na Wakili Msomi Mtanganyika Mwabukusi kabla na Baada ya Press hiyo na alikiri Kabisa Wakili Mwabukusi alikuwa akitoa Harufu ya Pombe. Hivyo ni dhahiri Wakili Mwabukusi alikuwa amekunywa pombe kabla ya press na hivyo naamini alikuwa haongei yeye Bali ni pombe.
Hata ukimuangalia katika Video utamuona kabisa Wakili Mwabukusi akiwa anaonekana yupo High yaani yupo Vyombo katika video Ile huku akiwa na uzubavu wa macho wa mtu Mlevi.
Wakili Mwabukusi anajulikana huko anapoishi Mbeya kuwa ni mtu wa Kulewa Sana Pombe kalibna mtu wa Kukesha Bar. Hivyo nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja.
Ni kweli alilewa, lakini ataachaje kulewa wakati anaona kabisa raslimali za watanzania zinaporwa na viongozi wetu, kwa kutumia mgongo wa kampuni ya DP world? Kama ukilewa unakuwa na uwezo wa kuongea ukweli hivyo, ni vyema watanzania wote tuwe walevi, maana huo ni ulevi wenye faida.Mimi ni Rafiki ya mmoja wa Waandishi wa Habari walioalikwa kwenye press walioitisha kina Slaa na Wakili Madeleka katika kupinga uwekezaji wa kwenye Bandari ya Dar es salaam.
Rafiki yangu huyo ambaye Jina simtaji, ameniambia alipata wasaha wa kuongea na Wakili Msomi Mtanganyika Mwabukusi kabla na Baada ya Press hiyo na alikiri Kabisa Wakili Mwabukusi alikuwa akitoa Harufu ya Pombe. Hivyo ni dhahiri Wakili Mwabukusi alikuwa amekunywa pombe kabla ya press na hivyo naamini alikuwa haongei yeye Bali ni pombe.
Hata ukimuangalia katika Video utamuona kabisa Wakili Mwabukusi akiwa anaonekana yupo High yaani yupo Vyombo katika video Ile huku akiwa na uzubavu wa macho wa mtu Mlevi.
Wakili Mwabukusi anajulikana huko anapoishi Mbeya kuwa ni mtu wa Kulewa Sana Pombe kalibna mtu wa Kukesha Bar. Hivyo nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja.
Stop this childish please.