Mwabukusi alienda kwenye Press na Kina Slaa akiwa Kalewa

Mimi ni Rafiki ya mmoja wa Waandishi wa Habari walioalikwa kwenye press walioitisha kina Slaa na Wakili Madeleka katika kupinga uwekezaji wa kwenye Bandari ya Dar es salaam.

Rafiki yangu huyo ambaye Jina simtaji, ameniambia alipata wasaha wa kuongea na Wakili Msomi Mtanganyika Mwabukusi kabla na Baada ya Press hiyo na alikiri Kabisa Wakili Mwabukusi alikuwa akitoa Harufu ya Pombe. Hivyo ni dhahiri Wakili Mwabukusi alikuwa amekunywa pombe kabla ya press na hivyo naamini alikuwa haongei yeye Bali ni pombe.

Hata ukimuangalia katika Video utamuona kabisa Wakili Mwabukusi akiwa anaonekana yupo High yaani yupo Vyombo katika video Ile huku akiwa na uzubavu wa macho wa mtu Mlevi.

Wakili Mwabukusi anajulikana huko anapoishi Mbeya kuwa ni mtu wa Kulewa Sana Pombe kalibna mtu wa Kukesha Bar. Hivyo nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja.
Okay, huyu tumpuuze kalewa.

Nani tumzingatie, Nshala, Butiku, Mbowe, Madeleka, Slaa, Bagonza, Lissu, Warioba na Watanganyika mamilioni ambao hawanywi pombe ???
 
Mimi ni Rafiki ya mmoja wa Waandishi wa Habari walioalikwa kwenye press walioitisha kina Slaa na Wakili Madeleka katika kupinga uwekezaji wa kwenye Bandari ya Dar es salaam.

Rafiki yangu huyo ambaye Jina simtaji, ameniambia alipata wasaha wa kuongea na Wakili Msomi Mtanganyika Mwabukusi kabla na Baada ya Press hiyo na alikiri Kabisa Wakili Mwabukusi alikuwa akitoa Harufu ya Pombe. Hivyo ni dhahiri Wakili Mwabukusi alikuwa amekunywa pombe kabla ya press na hivyo naamini alikuwa haongei yeye Bali ni pombe.

Hata ukimuangalia katika Video utamuona kabisa Wakili Mwabukusi akiwa anaonekana yupo High yaani yupo Vyombo katika video Ile huku akiwa na uzubavu wa macho wa mtu Mlevi.

Wakili Mwabukusi anajulikana huko anapoishi Mbeya kuwa ni mtu wa Kulewa Sana Pombe kalibna mtu wa Kukesha Bar. Hivyo nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeshakuwa acha Habari za kwapani
 
Kama wakili msomi Mwabukusi alikuwa amelewa na kaongea zile point, basi anastahili kuwa hata Rais wa JMT. Ni moja kati ya watu smart hata akiwa amelewa, hawezi kusaini mamikataba ya hovyo kama ule wa DP World.
Tanzania inawahitaji walevi wa kariba ya wakili msomi Mwabukusi na siyo hawa vilaza waliotutangulia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Mimi ni Rafiki ya mmoja wa Waandishi wa Habari walioalikwa kwenye press walioitisha kina Slaa na Wakili Madeleka katika kupinga uwekezaji wa kwenye Bandari ya Dar es salaam.

Rafiki yangu huyo ambaye Jina simtaji, ameniambia alipata wasaha wa kuongea na Wakili Msomi Mtanganyika Mwabukusi kabla na Baada ya Press hiyo na alikiri Kabisa Wakili Mwabukusi alikuwa akitoa Harufu ya Pombe. Hivyo ni dhahiri Wakili Mwabukusi alikuwa amekunywa pombe kabla ya press na hivyo naamini alikuwa haongei yeye Bali ni pombe.

Hata ukimuangalia katika Video utamuona kabisa Wakili Mwabukusi akiwa anaonekana yupo High yaani yupo Vyombo katika video Ile huku akiwa na uzubavu wa macho wa mtu Mlevi.

Wakili Mwabukusi anajulikana huko anapoishi Mbeya kuwa ni mtu wa Kulewa Sana Pombe kalibna mtu wa Kukesha Bar. Hivyo nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja.

Yaani ww umepata habari kwa rafiki yako? Halafu unataka na wengine wamuamini huyo rafiki yako ambae probably ni imaginary?
 
Dunia hii wasema kweli ni Vichaa na Walevi tuu!mlevi na kichaa huwa hawadanganyi😃,Sisi tunaolijua hili hata hatujamzingatia mtoa mada!
 
Sawa tukubaliane alikuwa Amelewa, sasa hebu nisaidie kitu.

Swala ni Kuzijibu Hoja zake au Wajihi Wake?
 
Nadhani wanaCCM tusishambulie mambo binafsi ya watu. Tusiwaige BAVICHA ambao kutwa walikuwa wakimtukana Dr Slaa bila kujua Dr alikipigania chama kwa jasho na damu. Mwaka 2001 tunakumbuka jinsi hawara wa Dr Slaa alivyopasuliwa usoni kisa vurugu za CHADEMA kule Arusha. BAVICHA wasipomwomba radhi hawara wa Dr Slaa watazidi kupotea kabisa kisiasa.
 
Kama wakili msomi Mwabukusi alikuwa amelewa na kaongea zile point, basi anastahili kuwa hata Rais wa JMT. Ni moja kati ya watu smart hata akiwa amelewa, hawezi kusaini mamikataba ya hovyo kama ule wa DP World.
Tanzania inawahitaji walevi wa kariba ya wakili msomi Mwabukusi na siyo hawa vilaza waliotutangulia.
Ni moja kati ya watu smart hata akiwa amelewa, hawezi kusaini mamikataba ya hovyo kama ule wa DP World.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmeshaanza kurusha sumu? kwa ufupi, bora kuwa na walevi kama mwabukusi 100 na watuongoze kuliko wasiokunywa ambao wewe unawapenda. kwani masisiemu huwa hamnywi pombe? mawaziri wako huwa hawanywi?
bora kuwa na walevi kama mwabukusi 100 na watuongoze kuliko wasiokunywa ambao wewe unawapenda[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upumbavu mtupu. Huyo rafiki yako yawezekana ni mlevi kupindukia. Yawezekana huyo rafiki yako alikuwa anasikia harufu ya matapishi yake ya pombe alizokuwa amebugia jana yake.

Hakuna mlevi mwenye uwezo wa kufanya presentation yenye hoja za weledi mkubwa kama ile aliyoifanya wakilo msomi Mwambukusi.

Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kupuuza hoja za wakili Mwambukusi. Watapuuza maneno ya mtu mjinga kama haya ya kwako.
Hakuna mlevi mwenye uwezo wa kufanya presentation yenye hoja za weledi mkubwa kama ile aliyoifanya wakilo msomi Mwambukusi.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upumbavu mtupu. Huyo rafiki yako yawezekana ni mlevi kupindukia. Yawezekana huyo rafiki yako alikuwa anasikia harufu ya matapishi yake ya pombe alizokuwa amebugia jana yake.

Hakuna mlevi mwenye uwezo wa kufanya presentation yenye hoja za weledi mkubwa kama ile aliyoifanya wakilo msomi Mwambukusi.

Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kupuuza hoja za wakili Mwambukusi. Watapuuza maneno ya mtu mjinga kama haya ya kwako.
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kupuuza hoja za wakili Mwambukusi. Watapuuza maneno ya mtu mjinga kama haya ya kwako[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkataba wenyewe unalewesha bila hata kunywa maji.
 
Mimi ni Rafiki ya mmoja wa Waandishi wa Habari walioalikwa kwenye press walioitisha kina Slaa na Wakili Madeleka katika kupinga uwekezaji wa kwenye Bandari ya Dar es salaam.

Rafiki yangu huyo ambaye Jina simtaji, ameniambia alipata wasaha wa kuongea na Wakili Msomi Mtanganyika Mwabukusi kabla na Baada ya Press hiyo na alikiri Kabisa Wakili Mwabukusi alikuwa akitoa Harufu ya Pombe. Hivyo ni dhahiri Wakili Mwabukusi alikuwa amekunywa pombe kabla ya press na hivyo naamini alikuwa haongei yeye Bali ni pombe.

Hata ukimuangalia katika Video utamuona kabisa Wakili Mwabukusi akiwa anaonekana yupo High yaani yupo Vyombo katika video Ile huku akiwa na uzubavu wa macho wa mtu Mlevi.

Wakili Mwabukusi anajulikana huko anapoishi Mbeya kuwa ni mtu wa Kulewa Sana Pombe kalibna mtu wa Kukesha Bar. Hivyo nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja.
urongo mtupu na ujinga ulioweka hapa mwanangu. Kama kuna mlevi ni wewe na huyo informer wako kama siyo wewe mwenyewe
 
Back
Top Bottom