Mwabukusi alienda kwenye Press na Kina Slaa akiwa Kalewa

Mimi ni Rafiki ya mmoja wa Waandishi wa Habari walioalikwa kwenye press walioitisha kina Slaa na Wakili Madeleka katika kupinga uwekezaji wa kwenye Bandari ya Dar es salaam.

Rafiki yangu huyo ambaye Jina simtaji, ameniambia alipata wasaha wa kuongea na Wakili Msomi Mtanganyika Mwabukusi kabla na Baada ya Press hiyo na alikiri Kabisa Wakili Mwabukusi alikuwa akitoa Harufu ya Pombe. Hivyo ni dhahiri Wakili Mwabukusi alikuwa amekunywa pombe kabla ya press na hivyo naamini alikuwa haongei yeye Bali ni pombe.

Hata ukimuangalia katika Video utamuona kabisa Wakili Mwabukusi akiwa anaonekana yupo High yaani yupo Vyombo katika video Ile huku akiwa na uzubavu wa macho wa mtu Mlevi.

Wakili Mwabukusi anajulikana huko anapoishi Mbeya kuwa ni mtu wa Kulewa Sana Pombe kalibna mtu wa Kukesha Bar. Hivyo nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja.
Maadam yuko upende wetu kuitetea Tanganyika haina shida apige maji tu
 
Kama wakili msomi Mwabukusi alikuwa amelewa na kaongea zile point, basi anastahili kuwa hata Rais wa JMT. Ni moja kati ya watu smart hata akiwa amelewa, hawezi kusaini mamikataba ya hovyo kama ule wa DP World.
Tanzania inawahitaji walevi wa kariba ya wakili msomi Mwabukusi na siyo hawa vilaza waliotutangulia.
Ngoja na Mimi nipige glass Moja ya Four cousin, Magic moments au jack Daniel then ntarud hapa JF kukoment
Point za maana kama wakili msomi Mwakabusi
🤣😂😂🤣😂🤣😂
 
mwabukusi awe makini sana sasaivi kwa kutegeshewa mwanamke au kupigwa mapicha, manake tunajua mkewe yupo hapa arusha yeye yupo mbeya, asiamini kila mwanamke, watamtuliza kiitelijensia kama gwajiboy.
Yaan,
Kajitoa muhanga aisee
Kufa au kupandikiziwa ugonjwa wa kukumaliza 18 months later
Duu
GOD IS GOOD ALL THE TIME..ALL THE TIME GOOD IS GOOD 😊
 
Kunywa ni Jinai ?

Ila tuhuma alizozimwaga kama kweli zimefanyika basi waliofanya hayo ndio walevi (ulevi sio pombe tu hata madaraka yanalewesha)
 
Mimi ni Rafiki ya mmoja wa Waandishi wa Habari walioalikwa kwenye press walioitisha kina Slaa na Wakili Madeleka katika kupinga uwekezaji wa kwenye Bandari ya Dar es salaam.

Rafiki yangu huyo ambaye Jina simtaji, ameniambia alipata wasaha wa kuongea na Wakili Msomi Mtanganyika Mwabukusi kabla na Baada ya Press hiyo na alikiri Kabisa Wakili Mwabukusi alikuwa akitoa Harufu ya Pombe. Hivyo ni dhahiri Wakili Mwabukusi alikuwa amekunywa pombe kabla ya press na hivyo naamini alikuwa haongei yeye Bali ni pombe.

Hata ukimuangalia katika Video utamuona kabisa Wakili Mwabukusi akiwa anaonekana yupo High yaani yupo Vyombo katika video Ile huku akiwa na uzubavu wa macho wa mtu Mlevi.

Wakili Mwabukusi anajulikana huko anapoishi Mbeya kuwa ni mtu wa Kulewa Sana Pombe kalibna mtu wa Kukesha Bar. Hivyo nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja.
Alileweshwa na Slaa. Cheza na Slaa?

Jamani kwani hatujuwi Slaa katokea kanisa lipi? Leo tunajifanya tumesahau mambo yao?
 
kiukweli kama wameshindwa kujibu hoja hata za mlevi, kwa asiyekunywa sasa itakuwaje? si atawatoa knockout mapema kabisa?
Nikwambie kitu watu wote ambao hutumia vilevi Kwa kiasi husisimua sana akili na uwezo na upeo kua mkubwa period!

Umenikumbusha zamani rafik angu chuoni alikua tukiwa ingia kwenye UE ni lazima apige Glass ya GONGO ndipo aingie kwenye mitiani

Asipo kunywa analalamika mitiani ilikua migumu & vise versa is true
 
Nikwambie kitu watu wote ambao hutumia vilevi Kwa kiasi husisimua sana akili na uwezo na upeo kua mkubwa period!

Umenikumbusha zamani rafik angu chuoni alikua tukiwa ingia kwenye UE ni lazima apige Glass ya GONGO ndipo aingie kwenye mitiani
sikubaliani na wewe, hasa kwasababu najua mwabukusi siku ile hakulewa, ile ni ongea yake ya asili, na pia, si ukute hata pombe huwa hanywi, fuatilia vizuri.
 
Mimi ni Rafiki ya mmoja wa Waandishi wa Habari walioalikwa kwenye press walioitisha kina Slaa na Wakili Madeleka katika kupinga uwekezaji wa kwenye Bandari ya Dar es salaam.

Rafiki yangu huyo ambaye Jina simtaji, ameniambia alipata wasaha wa kuongea na Wakili Msomi Mtanganyika Mwabukusi kabla na Baada ya Press hiyo na alikiri Kabisa Wakili Mwabukusi alikuwa akitoa Harufu ya Pombe. Hivyo ni dhahiri Wakili Mwabukusi alikuwa amekunywa pombe kabla ya press na hivyo naamini alikuwa haongei yeye Bali ni pombe.

Hata ukimuangalia katika Video utamuona kabisa Wakili Mwabukusi akiwa anaonekana yupo High yaani yupo Vyombo katika video Ile huku akiwa na uzubavu wa macho wa mtu Mlevi.

Wakili Mwabukusi anajulikana huko anapoishi Mbeya kuwa ni mtu wa Kulewa Sana Pombe kalibna mtu wa Kukesha Bar. Hivyo nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja.
Kama alikuwa amelewa na katoa madini yale basi pombe iruhusiwe hata mashuleni ni nzuri kwa afya ya akili.
 
Mimi ni Rafiki ya mmoja wa Waandishi wa Habari walioalikwa kwenye press walioitisha kina Slaa na Wakili Madeleka katika kupinga uwekezaji wa kwenye Bandari ya Dar es salaam.

Rafiki yangu huyo ambaye Jina simtaji, ameniambia alipata wasaha wa kuongea na Wakili Msomi Mtanganyika Mwabukusi kabla na Baada ya Press hiyo na alikiri Kabisa Wakili Mwabukusi alikuwa akitoa Harufu ya Pombe. Hivyo ni dhahiri Wakili Mwabukusi alikuwa amekunywa pombe kabla ya press na hivyo naamini alikuwa haongei yeye Bali ni pombe.

Hata ukimuangalia katika Video utamuona kabisa Wakili Mwabukusi akiwa anaonekana yupo High yaani yupo Vyombo katika video Ile huku akiwa na uzubavu wa macho wa mtu Mlevi.

Wakili Mwabukusi anajulikana huko anapoishi Mbeya kuwa ni mtu wa Kulewa Sana Pombe kalibna mtu wa Kukesha Bar. Hivyo nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja.
Member wa "Dawati la Propaganda" akiwa kwenye kazi yake. " Characters Assassination and Smear Campaign Propaganda"
 
Mimi ni Rafiki ya mmoja wa Waandishi wa Habari walioalikwa kwenye press walioitisha kina Slaa na Wakili Madeleka katika kupinga uwekezaji wa kwenye Bandari ya Dar es salaam.

Rafiki yangu huyo ambaye Jina simtaji, ameniambia alipata wasaha wa kuongea na Wakili Msomi Mtanganyika Mwabukusi kabla na Baada ya Press hiyo na alikiri Kabisa Wakili Mwabukusi alikuwa akitoa Harufu ya Pombe. Hivyo ni dhahiri Wakili Mwabukusi alikuwa amekunywa pombe kabla ya press na hivyo naamini alikuwa haongei yeye Bali ni pombe.

Hata ukimuangalia katika Video utamuona kabisa Wakili Mwabukusi akiwa anaonekana yupo High yaani yupo Vyombo katika video Ile huku akiwa na uzubavu wa macho wa mtu Mlevi.

Wakili Mwabukusi anajulikana huko anapoishi Mbeya kuwa ni mtu wa Kulewa Sana Pombe kalibna mtu wa Kukesha Bar. Hivyo nawaasa watanzania kumpuuza huyu Wakili Mlevi Msomi Mwabukusi, na tujikite katika Hoja.
Sema umetumwa na nani?
 
Wacha Wakili Mwabukusi awanyooshe mafisadi ya bandari,nabado mtasema yote
 
Back
Top Bottom