Mwabukusi alienda kwenye Press na Kina Slaa akiwa Kalewa

Okay, huyu tumpuuze kalewa.

Nani tumzingatie, Nshala, Butiku, Mbowe, Madeleka, Slaa, Bagonza, Lissu, Warioba na Watanganyika mamilioni ambao hawanywi pombe ???
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeshakuwa acha Habari za kwapani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 

Yaani ww umepata habari kwa rafiki yako? Halafu unataka na wengine wamuamini huyo rafiki yako ambae probably ni imaginary?
 
Dunia hii wasema kweli ni Vichaa na Walevi tuu!mlevi na kichaa huwa hawadanganyi😃,Sisi tunaolijua hili hata hatujamzingatia mtoa mada!
 
Sawa tukubaliane alikuwa Amelewa, sasa hebu nisaidie kitu.



Swala ni Kuzijibu Hoja zake au Wajihi Wake?
 
Nadhani wanaCCM tusishambulie mambo binafsi ya watu. Tusiwaige BAVICHA ambao kutwa walikuwa wakimtukana Dr Slaa bila kujua Dr alikipigania chama kwa jasho na damu. Mwaka 2001 tunakumbuka jinsi hawara wa Dr Slaa alivyopasuliwa usoni kisa vurugu za CHADEMA kule Arusha. BAVICHA wasipomwomba radhi hawara wa Dr Slaa watazidi kupotea kabisa kisiasa.
 
Ni moja kati ya watu smart hata akiwa amelewa, hawezi kusaini mamikataba ya hovyo kama ule wa DP World.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmeshaanza kurusha sumu? kwa ufupi, bora kuwa na walevi kama mwabukusi 100 na watuongoze kuliko wasiokunywa ambao wewe unawapenda. kwani masisiemu huwa hamnywi pombe? mawaziri wako huwa hawanywi?
bora kuwa na walevi kama mwabukusi 100 na watuongoze kuliko wasiokunywa ambao wewe unawapenda[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mlevi mwenye uwezo wa kufanya presentation yenye hoja za weledi mkubwa kama ile aliyoifanya wakilo msomi Mwambukusi.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kupuuza hoja za wakili Mwambukusi. Watapuuza maneno ya mtu mjinga kama haya ya kwako[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkataba wenyewe unalewesha bila hata kunywa maji.
 
urongo mtupu na ujinga ulioweka hapa mwanangu. Kama kuna mlevi ni wewe na huyo informer wako kama siyo wewe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…