Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

cyo ccm wa uvccm macho yote kodoo kwa TLS ya Msomi Mwabukusi,tulieni wasomi wafanye kazi yao kwa mujibu wa katiba na misingi yake acheni kurukaruka maana kwa sasa mkigeuka huku moto kule fire
 
Tuko upande wa HAKI...Taifa lipo nyuma sana Keki kwa wachache umaskini uliotukuka
Umaskini wa kujitakia. Mbona sisi huku tuna masters lakini tunaendesha bodaboda na kwa siku tunapata elfu 50. Zinduka we kijana kamata boda moja njoo borabarani acha kulialia. Umaskini chini ya samia haupo tena
 
mimi kama mbobevu ni wajibu wangu kutoa ushauri mujarabu tena hadhara tofauti na hao washauri wake wa kificho gentleman πŸ’

hofu ni hulka ambayo kila binadamu anayo, kuna wanaume wanaogopa hadi panya sembuse uongozi gentleman πŸ’
Ha ha ba ha πŸ˜„πŸ˜„ anamwambia mkewe embu panya huyo, mke anamwambia mme wangu tandu njoo umpige, utasikia mke wangu chukua kiatu mpige, hapo ndipo wanawake wanakuwa majasiri πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Twambie aliyemtangulia Mwabukusi amefanya nini kama kumbukumbu? Chawa mnamatatizo mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…