huu sio ujumbe gentleman,Huu ujumbe wako waambie serikali..ndio mahali pake.
Hadi hapo alipo alishafanikiwa sabb yaliyokuwa yamepangwa aliyashinda..Fatma na Lissu hawakuwekewa zengwe alilopitia Mwabukusi..yeye.ni mshindi tayarimimi sijatathmini gentleman, ni metoa tu professional technical advice ili afanikiwe kirahisi na hatimae historia itamkumbuka π
tizama LISU na Fatma wanakumbukwa kwa kiburi tu π€£
"Kiburi" ukiwa na maana gani?! Kuikosoa Serikali ni jambo la kawaida tu Serikali ya USA yenyewe huwa inakosolewa na inajirekebisha sembuse hii Banana Republic?!LISU na Fatma walirejesha kiburi TLS right?π
kwani hiyo heshima uloitaja hapo juu ilikua na maana gani gentleman π"Kiburi" ukiwa na maana gani?! Kuikosoa Serikali ni jambo la kawaida tu Serikali ya USA yenyewe huwa inakosolewa na inajirekebisha sembuse hii Banana Republic?!
Chukua hiyo hekima na busara ukale nyumbani kwako..busara kwa wapumbavu..I can confirm to you without fear of contradictions kwamba akitumia style walizotumia Lisu na Fatma kuongoza TLS atavurunda zaidi yao...
akitumia ubobevu wake wa kitaaluma, kwa hekima na busara kushauri na kupendekeza mageuzi na kushauriana na serikali njia na namna bora za kulinda na kutetea haki za wanaodhulumika , atafanikiwa na historia itamkumbuka π
amefanikiwa kuonyesha umma kwamba yeye ana kiburi na ni mjeuri zaid ya LISU na Fatma, right?Hadi hapo alipo alishafanikiwa sabb yaliyokuwa yamepangwa aliyashinda..Fatma na Lissu hawakuwekewa zengwe alilopitia Mwabukusi..yeye.ni mshindi tayari
.
si ndio ninayoitumia kwenye mjadala huu ndio maana sina papara wala mbamba,Chukua hiyo hekima na busara ukale nyumbani kwako..busara kwa wapumbavu..
Sawa kama hicho ndicho unachoona, so far kimempa trust na dignity mbele ya wengi Tanzania..amefanikiwa kuonyesha umma kwamba yeye ana kiburi na ni mjeuri zaid ya LISU na Fatma, right?
sijafanikiwa kumuona Lakini π
TLS ikitiwa mfukoni na Serikali Wananchi huwa wanaidharau haiwezekani Taasisi ya Wanataaluma wa Sheria ifanywe kama Jumuiya za CCM.kwani hiyo heshima uloitaja hapo juu ilikua na maana gani gentleman π
hata hivyo,
ikiwa huelewi hiyo, si tufanye sasa iwe story for other day na tustiki kwenye hoja mahususi mezani?π
mie sijamuona gentleman,Sawa kama hicho ndicho unachoona, so far kimempa trust na dignity mbele ya wengi Tanzania..
LISU na Fatma walipewa sifa na kuvimbishwa vichwa zaidi ya unavyo mpandosha mori boss mpya wa TLS,TLS ikitiwa mfukoni na Serikali Wananchi huwa wanaidharau haiwezekani Taasisi ya Wanataaluma wa Sheria ifanywe kama Jumuiya za CCM.
Sasa TLS imepata Kiongozi sahihi. COME ON MWABUKUSI!βοΈβοΈβοΈ
Huyu anakaa kwenye kiti miaka mitatu, mtasema yote safari hii.Kipindi cha Lisu na Fatma sifa za kijinga zilikua zaidi ya hizi gentleman π
Na hakuna kuchoka kusema na kueleza ukweli.
Na mpaka leo hao watu hawajulikani hata walifanya nini mpaka wa leo, ule wa sifa na kiburi, ujuaji mwingi kumbe mbele kiza uliwaponza π
Ushauri mwanana wa maana sana nimeutoa kitaamu na kwahivyo nimetekeleza wajibu wangu vyema na sidaiwi tena ikiwa mambo yatakwenda kombo huko tuendako π
Mwambukusi tupo pamoja nawe endelea kulengesha usipindishe kitu.Sifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania.
Na kwahivyo basi,
Ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania.
Hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi.
Na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania.π
Mungu Ibariki Tanzania