Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

Huu ujumbe wako waambie serikali..ndio mahali pake.
huu sio ujumbe gentleman,
ni ushauri wangu wa kitaalamu kwa boss mpya wa TLS na wote wenye nafasi au mamlaka kwenye idara, taasisi na mashirika mbalimbali nchini na duniani kwa ujumla 🐒
 
mimi sijatathmini gentleman, ni metoa tu professional technical advice ili afanikiwe kirahisi na hatimae historia itamkumbuka 🐒

tizama LISU na Fatma wanakumbukwa kwa kiburi tu 🤣
Hadi hapo alipo alishafanikiwa sabb yaliyokuwa yamepangwa aliyashinda..Fatma na Lissu hawakuwekewa zengwe alilopitia Mwabukusi..yeye.ni mshindi tayari
.
 
LISU na Fatma walirejesha kiburi TLS right?🐒
"Kiburi" ukiwa na maana gani?! Kuikosoa Serikali ni jambo la kawaida tu Serikali ya USA yenyewe huwa inakosolewa na inajirekebisha sembuse hii Banana Republic?!
 
"Kiburi" ukiwa na maana gani?! Kuikosoa Serikali ni jambo la kawaida tu Serikali ya USA yenyewe huwa inakosolewa na inajirekebisha sembuse hii Banana Republic?!
kwani hiyo heshima uloitaja hapo juu ilikua na maana gani gentleman 🐒

hata hivyo,
ikiwa huelewi hiyo, si tufanye sasa iwe story for other day na tustiki kwenye hoja mahususi mezani?🐒
 
I can confirm to you without fear of contradictions kwamba akitumia style walizotumia Lisu na Fatma kuongoza TLS atavurunda zaidi yao...

akitumia ubobevu wake wa kitaaluma, kwa hekima na busara kushauri na kupendekeza mageuzi na kushauriana na serikali njia na namna bora za kulinda na kutetea haki za wanaodhulumika , atafanikiwa na historia itamkumbuka 🐒
Chukua hiyo hekima na busara ukale nyumbani kwako..busara kwa wapumbavu..
 
Hadi hapo alipo alishafanikiwa sabb yaliyokuwa yamepangwa aliyashinda..Fatma na Lissu hawakuwekewa zengwe alilopitia Mwabukusi..yeye.ni mshindi tayari
.
amefanikiwa kuonyesha umma kwamba yeye ana kiburi na ni mjeuri zaid ya LISU na Fatma, right?

sijafanikiwa kumuona Lakini 🐒
 
Chukua hiyo hekima na busara ukale nyumbani kwako..busara kwa wapumbavu..
si ndio ninayoitumia kwenye mjadala huu ndio maana sina papara wala mbamba,

nashangaa tu alibaki na makasiriko na mihemko ni wew tu sijui umekula nini asubuhi 🐒
 
kwani hiyo heshima uloitaja hapo juu ilikua na maana gani gentleman 🐒

hata hivyo,
ikiwa huelewi hiyo, si tufanye sasa iwe story for other day na tustiki kwenye hoja mahususi mezani?🐒
TLS ikitiwa mfukoni na Serikali Wananchi huwa wanaidharau haiwezekani Taasisi ya Wanataaluma wa Sheria ifanywe kama Jumuiya za CCM.

Sasa TLS imepata Kiongozi sahihi. COME ON MWABUKUSI!✊️✊️✊️
 
Sawa kama hicho ndicho unachoona, so far kimempa trust na dignity mbele ya wengi Tanzania..
mie sijamuona gentleman,
actually niko njiani nilikua nje ya nchi mara moja but nadhani that will be my first task kujua amefanya nini tangu ameapishwa 🐒
 
TLS ikitiwa mfukoni na Serikali Wananchi huwa wanaidharau haiwezekani Taasisi ya Wanataaluma wa Sheria ifanywe kama Jumuiya za CCM.

Sasa TLS imepata Kiongozi sahihi. COME ON MWABUKUSI!✊️✊️✊️
LISU na Fatma walipewa sifa na kuvimbishwa vichwa zaidi ya unavyo mpandosha mori boss mpya wa TLS,

but ukweli ni kwamba akizingatia na kufuata ushauri wangu, arafanikiwa but akilewa sifa za kijinga ataingia kwenye record za hivyo sana kama ya lisu na Fatma pale TLS 🐒
 
SEREKALI zinaongozwa na BINADAMU kama SISI, na huwa ZINAKOSEA kote Duniani na ZINAKOSOLEWA kote Duniani, lakini hapa Tanzania Ukikosoa unaambiwa Humpendi MAMA.

Mwabukusi anastahili pongezi!✊️
 
Kipindi cha Lisu na Fatma sifa za kijinga zilikua zaidi ya hizi gentleman 🐒

Na hakuna kuchoka kusema na kueleza ukweli.

Na mpaka leo hao watu hawajulikani hata walifanya nini mpaka wa leo, ule wa sifa na kiburi, ujuaji mwingi kumbe mbele kiza uliwaponza 🐒

Ushauri mwanana wa maana sana nimeutoa kitaamu na kwahivyo nimetekeleza wajibu wangu vyema na sidaiwi tena ikiwa mambo yatakwenda kombo huko tuendako 🐒
Huyu anakaa kwenye kiti miaka mitatu, mtasema yote safari hii.
 
Mwabukusi fanya kazi yako ya kutetea haki, na kuhakikisha haki inatendeka na hiyo kazi tunaamini unaoweza, pambana tuko pamoja na wewe, achana na hizi kelele za wanaojifanya wanabusara huku ndani wana roho za kikatili mno, na uuaji, watu wanatekwa wapo kimya, viongozi wa Chadema wamepigwa na polisi tukasikia wanalipongeza jeshi la polisi kwa kitendo hicho, hao hao leo ndo wanajifanya wanakupa ushauri sijui wa uongozi, wakat wao wanafurahia wenzao wakiwa kwenye shida wapuuuze
 
Sifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania.

Na kwahivyo basi,
Ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania.

Hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi.

Na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Mwambukusi tupo pamoja nawe endelea kulengesha usipindishe kitu.
 
Back
Top Bottom