Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

Kwani si anatakiwa kufanya kazi Kwa mujibu wa Sheria inavyosema? Mnataka awe anaitikia chama Cha siasa kinasemaje? Msianze kupiga ramli chonganishi mtu hajamaliza hata mwezi !
 
Kama can do nothing si mumuache afanye kazi yake, mbona meanza kupiga kelele na kujifanya watoa ushauri
anaehangaika nae ni nyinyi wa kumvimbisha kichwa ili apotee maboya na ashindwe kabisaa kutekeleza majukumu yake kama ambavyo ilikua kwa watangulizi wake hususani niliowataja hapo juu,

hata hivyo mtu makini na mwanadiplomasia mbobevu kama mimi siwezi kusita hata kidogo kutia neno la busara kama njia ya kutia moyo na kuongeza ufanisi wa kazi na majukumu ya muhusika....

itakua ni dhambi nikikaa kimya gentleman, na nitaulizwa siku ya mwisho, na mimi sitaki hiyo dhambi ndrogo zangoni πŸ’
 
Yaani kusema watu wanapotea potea hovyo na kutaka kuwaburuza kina Awazi na mwenzake kwa pilato ndiyo Kuvurunda bwaa sheikh.
 
Sema tu kwa urahisi utaeleweka kuwa anatakiwa awe kondoo kwa serekali. Hebu tuambie walipokuwa makondoo wa serekali ni haki gani hao wananchi walipata?
 
Kwani si anatakiwa kufanya kazi Kwa mujibu wa Sheria inavyosema? Mnataka awe anaitikia chama Cha siasa kinasemaje? Msianze kupiga ramli chonganishi mtu hajamaliza hata mwezi !
ndicho nilichoshauri atumie ujuzi wake wa kitaaluma katika sheria kutafsiri sheria, na kwa hekima na busara kushirikiana na mamlaka za uma na zisizo za uma katika kulinda na kutetea haki za wanastahili πŸ’

kinyume na hapo pamoja,
akileta ujuaji wa vyama kama huo unaojaribu kuleta kwenye hoja yako, akiunganisha na kiburi na jeuri atakwama tu vizuri bila mbambamba youote πŸ’
 
[emoji7][emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Sema tu kwa urahisi utaeleweka kuwa anatakiwa awe kondoo kwa serekali. Hebu tuambie walipokuwa makondoo wa serekali ni haki gani hao wananchi walipata?
hiyo ungeuliza wale mabosi wa TLS wa zamani, ile ujuaji, jeuri na kiburi ilisaidia nani?πŸ’
 
Bila shaka hata yeye ana washauri pia, au kwasababu ya sekeseke la bandari ndiyo maana unahofia ? Aliomchagua Kwa wingi wanamwamini
 
Tatizo Lenu Ndugu Zetu Wa Kijani Mmekuwa Too Comfortable Kiasi Kwamba Hata Mtu Anapotaka Kukukosoa Unataka Awakosoe Kwa Kuwabembeleza, Hell No. Mtaambiwa Ukweli By Any Means Possible Hii Nchi Ni Ya Wananchi Wenyewe Sio Mali Ya Watu Wa Lumumba
 
Mkuu Tlaatlaah Mh. Tundu Lissu aliifanyia TLS jambo kubwa has kwa Mawakili vijana kwa kuwaondolea mzigo wa malipo kwao.

Raisi wa TLS anatakiwa kujua kuwa namba moja ni wanachama wa TLS ambao ni Mawakili, kisha sasa ndio TLS iendelee kushughulika na majukumu waliyopewa na sheria.

Ila kwa maono ya mtendaji mmoja haitaweza kufanyashughuli zake ipasavyo.

Kinachofanyika sasa ni kuaminisha na kulazimisha shughuli namba moja.ya TLS kuwa ni masuala yanayoendelea kwenye jamii, hili ni kosa kubwa kwa uongozi huu.

Mimi kama mwanachama hai wa TLS siwezi kuunga mkono jambo hili tupo tuliosema wazi mapema na wapo wanaofahamu hili na kuamua kukaa kimya mambo yadode waanze kuchekana.

Kuna matamko ya sasa ukiyasoma unaona tone yake kabisa kuwa huyu ni Mwambukusi sasa hii ni shida, haitachukua muda kugundua mambo hayapaswi kwenda hivi yanavyotaka kupelekwa.

Uongozi wa sasa unatakiwa ukubali kuwa ni kweli umma ni muhimu lakini wanachama wa TLS ni muhimu zaidi kwao.
 
Bila shaka hata yeye ana washauri pia, au kwasababu ya sekeseke la bandari ndiyo maana unahofia ? Aliomchagua Kwa wingi wanamwamini
mimi kama mbobevu ni wajibu wangu kutoa ushauri mujarabu tena hadhara tofauti na hao washauri wake wa kificho gentleman πŸ’

hofu ni hulka ambayo kila binadamu anayo, kuna wanaume wanaogopa hadi panya sembuse uongozi gentleman πŸ’
 
Bado hujasema chawa mwandamizi🀣
 
Kiburi unacho wewe mpumbavu ambaye unaona watanzania wote wendawazimu
 
mimi kama mbobevu ni wajibu wangu kutoa ushauri mujarabu tena hadhara tofauti na hao washauri wake wa kificho gentleman πŸ’

hofu ni hulka ambayo kila binadamu anayo, kuna wanaume wanaogopa hadi panya sembuse uongozi gentleman πŸ’
We mbobevu au mlamba mataco ya mbogamboga party
 
wamasai wa wapi tena gentleman?

wa ngorongoro,
wote walishahamia msomera mkoani Tanga na huko wanakula maisha balaa...πŸ’
Wale wanaoamdamana ni mizimu ya wamasai waliohama auπŸ˜‚
 
Mwabukusi ni carbon copy ya viongozi wapenda haki waliopita. Nyie wapenda dhuluma lazma mineno iwatoke sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…