Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anaehangaika nae ni nyinyi wa kumvimbisha kichwa ili apotee maboya na ashindwe kabisaa kutekeleza majukumu yake kama ambavyo ilikua kwa watangulizi wake hususani niliowataja hapo juu,Kama can do nothing si mumuache afanye kazi yake, mbona meanza kupiga kelele na kujifanya watoa ushauri
Sema tu kwa urahisi utaeleweka kuwa anatakiwa awe kondoo kwa serekali. Hebu tuambie walipokuwa makondoo wa serekali ni haki gani hao wananchi walipata?Sifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania.
Na kwahivyo basi,
Ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania.
Hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi.
Na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
ndicho nilichoshauri atumie ujuzi wake wa kitaaluma katika sheria kutafsiri sheria, na kwa hekima na busara kushirikiana na mamlaka za uma na zisizo za uma katika kulinda na kutetea haki za wanastahili 🐒Kwani si anatakiwa kufanya kazi Kwa mujibu wa Sheria inavyosema? Mnataka awe anaitikia chama Cha siasa kinasemaje? Msianze kupiga ramli chonganishi mtu hajamaliza hata mwezi !
[emoji7][emoji7][emoji7]Sifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania.
Na kwahivyo basi,
Ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania.
Hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi.
Na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania.[emoji205]
Mungu Ibariki Tanzania
hiyo ungeuliza wale mabosi wa TLS wa zamani, ile ujuaji, jeuri na kiburi ilisaidia nani?🐒Sema tu kwa urahisi utaeleweka kuwa anatakiwa awe kondoo kwa serekali. Hebu tuambie walipokuwa makondoo wa serekali ni haki gani hao wananchi walipata?
Bila shaka hata yeye ana washauri pia, au kwasababu ya sekeseke la bandari ndiyo maana unahofia ? Aliomchagua Kwa wingi wanamwaminindicho nilichoshauri atumie ujuzi wake wa kitaaluma katika sheria kutafsiri sheria, na kwa hekima na busara kushirikiana na mamlaka za uma na zisizo za uma katika kulinda na kutetea haki za wanastahili 🐒
kinyume na hapo pamoja,
akileta ujuaji wa vyama kama huo unaojaribu kuleta kwenye hoja yako, akiunganisha na kiburi na jeuri atakwama tu vizuri bila mbambamba youote 🐒
Tatizo Lenu Ndugu Zetu Wa Kijani Mmekuwa Too Comfortable Kiasi Kwamba Hata Mtu Anapotaka Kukukosoa Unataka Awakosoe Kwa Kuwabembeleza, Hell No. Mtaambiwa Ukweli By Any Means Possible Hii Nchi Ni Ya Wananchi Wenyewe Sio Mali Ya Watu Wa LumumbaSifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania.
Na kwahivyo basi,
Ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania.
Hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi.
Na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
mimi kama mbobevu ni wajibu wangu kutoa ushauri mujarabu tena hadhara tofauti na hao washauri wake wa kificho gentleman 🐒Bila shaka hata yeye ana washauri pia, au kwasababu ya sekeseke la bandari ndiyo maana unahofia ? Aliomchagua Kwa wingi wanamwamini
Bado hujasema chawa mwandamizi🤣Sifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania.
Na kwahivyo basi,
Ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania.
Hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi.
Na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Kiburi unacho wewe mpumbavu ambaye unaona watanzania wote wendawazimumiaka mi3?😳
nchi hii inaendeshwa kwa misingi ya sheria na katiba, kiburi, jeuri na majivuno vinatumika wap, tena kwa watu wabobevu hususan katika sheria?🐒
nadhan hakuna sababu hata moja kuiga kiburi, ujuaji mwingi, kutumia hisia na huruma kuongoza vyombo mbalimbali vya umma kwa maslahi mapana ya wananchi wote 🐒
We mbobevu au mlamba mataco ya mbogamboga partymimi kama mbobevu ni wajibu wangu kutoa ushauri mujarabu tena hadhara tofauti na hao washauri wake wa kificho gentleman 🐒
hofu ni hulka ambayo kila binadamu anayo, kuna wanaume wanaogopa hadi panya sembuse uongozi gentleman 🐒
Wale wanaoamdamana ni mizimu ya wamasai waliohama au😂wamasai wa wapi tena gentleman?
wa ngorongoro,
wote walishahamia msomera mkoani Tanga na huko wanakula maisha balaa...🐒
[emoji7]hiyo ungeuliza wale mabosi wa TLS wa zamani, ile ujuaji, jeuri na kiburi ilisaidia nani?[emoji205]
Mwabukusi ni carbon copy ya viongozi wapenda haki waliopita. Nyie wapenda dhuluma lazma mineno iwatoke sana tusifahamu msimamo wa TLS kwenye maeneo hayo,
ushauri wangu ni katika kumfanya ajizuie na namna au style anayotumia kutaka kufikia muafaka wa mambo kadiri anavyoamini wakati huo akiwa anafanya siasa....
hata hivyo,
hivi kulikua na mtu mjeuri na mjuaji kama Lisu au Fatma Karume humu nchini, tena kwenye awamu ya5?
kuna mtu leo hii anaweza kuja kusema kwama lisu au fatma walifanya hili au lile wakati wa oungozi wao? Y
You know why?
kiburi na jeuri zao za kisiasa huko nje wakaingia nazo uongozini, plus ulevi wa sifa za kijinga kama unazojaribu kumpampu muungwa,
ikiwa hata tumia hekima na busara mathalani akakuskiza,atakwama mchana kweupe, na muda wake utafika atakwenda nyumbani na hata tamani tena hata kukiskia tu TLS 🐒