Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

SEREKALI zinaongozwa na BINADAMU kama SISI, na huwa ZINAKOSEA kote Duniani na ZINAKOSOLEWA kote Duniani, lakini hapa Tanzania Ukikosoa unaambiwa Humpendi MAMA.

Mwabukusi anastahili pongezi!✊️
haina uhusiano,
ni muhimu kuzingatia taaluma yako, hekima na busara kumfanikisha malengo na mipango mahususi ya taasisi yako 🐒

kiburi na jeuri kavitumie kupambana vibaka huko mitaani 🐒
 
Sifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania.

Na kwahivyo basi,
Ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania.

Hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi.

Na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Cccm ndiyo chanzo cha wengi kukosa HAKI ZAO ...SHWAIIIIIINI
 
Wajinga watabweka tu. Jinga la kwanza hili hapa limeanza kubwabwaja. Wewe una taaluma Gani zaidi ya taaluma ya ujinga.
 
Cccm ndiyo chanzo cha wengi kukosa HAKI ZAO ...SHWAIIIIIINI
hapa hakuna mambo ya CCM gentleman,

huu ni ushauri wangu wa jumla kwa TLS na wote wenye nafasi kwenye idara mamlaka na taasisi mbalimbali kwamba watumie ujuzi wao wa kitaaluma kwa hekima na busara katika kufanikisha malengo na matarajio ya taasisi wanazoziongoza🐒
 
Wajinga watabweka tu. Jinga la kwanza hili hapa limeanza kubwabwaja. Wewe una taaluma Gani zaidi ya taaluma ya ujinga.
muerevu unababaika tena kwa mihemko ghadhabu hali ya kua huna hoja, mawazo mapya wala fikra mbadala?🤣

umejaa makasiriko tu na ati ni muerevu?🤣
 
Kwa hivyo tukufundishe kujua jana sio leo..?
mimi sifundishi,
Kazi yangu kubwa kibobevu ni kusema ukweli, kushauri na kuonyesha njia ya mafanikio kwa anaependa kufanikiwa....

ukishupaza shingo na kuamua kukumbatia kiburi na jeuri ukaacha kutumia maarifa yako ya kitaalamu kwa hekima na busara kufanikiwa hiyo ni juu yako pia 🐒
 
Mpo busy na Mwabukusi badala ya kudili na Mwanasheria wa Serikali kuhusu Nchi wanavyooingiza kwenye madeni yanayolipwa kila siku hao TLS wanatuingiza hasara gani?
akina nani hao wako bize na boss mpya wa TLS?

au ukiniona mie online ni kama vile unaiona nchi nzima right?🤣
 
Kuna huyu na yule choice wanateseka sana wakiona upinzani umeshika nafasi

Kula kibao cha acha waisome namba ee🎶😂
waupinzani wamewahi kushika nafasi wap gentleman, acha upotoshaji bas...

kwahivyo mwabukusi ni mpinzani? wa chama gani kwan 🤣
 
Ccm bwana haya.......Teteeeni ugali wenu lakini hapa umeandika Hoja Dhaifu. Hakuna pointi.
na hujaandika hoja ya nguvu gentleman, na hiyo si ni sawa na useless tu 🐒

ukisema hoja hii ni dhaifu ni vema ukatoa hoja yenye nguvu na mashiko..

sasa unakuja kumbwelambwela na kumanga manga hapa ukiwa umefikia ukomo wa kufikiria kwako,

huna wazo jipya wala huna fikra mbadala eti hoja dhaifu, hiyo ni nonsense gentleman 🐒
 
Kubwa la machawa wote katika ubora wako. Wewe ni wa kupuuzwa tu kama wapuuzi wenzako.
utanipuuzaje kwa mfano hali ya kua ukweli unakuvuruga na kufurukuta moyo mwako ?🐒

relax bana utazoea tu gentleman kua mvumilivu, mstahimilivu na mwenye subra 🐒
 
Mwabukusi fanya kazi yako ya kutetea haki, na kuhakikisha haki inatendeka na hiyo kazi tunaamini unaoweza, pambana tuko pamoja na wewe, achana na hizi kelele za wanaojifanya wanabusara huku ndani wana roho za kikatili mno, na uuaji, watu wanatekwa wapo kimya, viongozi wa Chadema wamepigwa na polisi tukasikia wanalipongeza jeshi la polisi kwa kitendo hicho, hao hao leo ndo wanajifanya wanakupa ushauri sijui wa uongozi, wakat wao wanafurahia wenzao wakiwa kwenye shida wapuuuze
boss mpya wa TLS can do nothing asipo kua na hekima na busara ya kufanya kazi na serikali Sikivu ya CCM chini ya kiongozi madhubuti sana comrade Dr Samia Suluhu Hassan...

otherwise atakwama mbaya sana zaid ya wenye kiburi na jeuri waliomtangulia 🐒
 
Acha kuzunguka zunguka na maeelezo marefu. Nyooka moja kwa moja kwenye pointi yako kuwa unataka Mwabukusi asiwe anaikosoa Serikali kama Lissu na Fatuma Karume. Maana inawezekana na wewe ni miongoni mwa watanzania mbumbumbu wanaoamini Serikali inaongozwa na Malaika ambao kila wanachofanya ni sahihi - hawakosei kwa hiyo hawapaswi kukosolewa.
Eti bunge wameliteka ni mapambio yao tu yanasikika mtaani nako machawa lukuki mapambio tu vyama vingine vya kitaaluma vimetiwa mfukoni tumeona TLS nayo chupu chupu kutukiwa mfukoni kama hapo awali hawataki kuambiwa hii hapana mmekosea hawajazoea banga hizo walizoea kina Hosea na Sungusia harakati za kumuweka Nkuba zikagonga mwamba
 
boss mpya wa TLS can do nothing asipo kua na hekima na busara ya kufanya kazi na serikali Sikivu ya CCM chini ya kiongozi madhubuti sana comrade Dr Samia Suluhu Hassan...

otherwise atakwama mbaya sana zaid ya wenye kiburi na jeuri waliomtangulia 🐒
Kama can do nothing si mumuache afanye kazi yake, mbona meanza kupiga kelele na kujifanya watoa ushauri
 
Back
Top Bottom