Mwabukusi: DPW ingebidi wapewe Bunge waondoke nalo kabisa

Wakili Mwakabusi amekosoa hoja ya kusema kuwa bandarini kumetawaliwa na ufanisi mbovu ambayo imetumika kama sababu ya kuwapatia DPW kuiendesha. Mwakabusi amesema tuende kwa data kuhusu wizi unaotokea bandarini na kama kumeshakuwa na mjadala wa ripoti ya CAG kuhusu yanayoendelea bandarini.

Amesema kama hoja ni kitu kutokufanyakazi, ilibidi bunge ndio wapewe DPW ambapo hakuna ambaye angepinga hatua hiyo, tena walichukue bunge lotelote wakae nalo.

Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Yupo sahihi. Kwanini asiye Rais wetu ana utu, uchungu na rasilimali za Tanganyika.
 
Tuende taratibu kijana niambie Mkataba wa Tanzania na makanisa kutoa ruzuku kweny hospital kila mwaka tangu mwaka 92 ni wa mda gani ? then ntakujibu kwa hoja
Muda mwingine kaa kimya mkuu! Usitake kila mmoja humu auone "Upumbavu" wako.

Nyamaza kama huna hoja. Suala la bandari limetuvua nguo CCM kwani limeonyesha jinsi gani uwezo wetu ni mdogo kwenye kujenga hoja!

Suala hili ni sensitive, tuacheni mihemko na kutaka kuonekana tunampenda sana Rais kumbe tunamharibia!
 
Mimi na wewe na mpumbavu ?

Punguza kuwa mjinga dogo fala kabisa wewe!!

Sensitive kwani mkataba unahusu wazazi wako ? Jibu hoja usiwe fala kaongee na watoto wenzio.!!
 
Relax ! Then come with factual information about the matter.

Punguza ujuaji, umri hauna lolote kwenye mjadala huu. Usitafute egesho la hoja zako sijui umri,elimu na itikadi zako! Jibu maswali na katika yote acha kutangaza udhaifu wako katika uelewa na utambuzi wa mambo!

NI hatari kuonyesha Upumbavu wako kwa watu, hatari yake ni zaidi ya suala la bandari.
 
La mwisho, usikubali uzeeke zwazwa! Hakikisha unazeeka ukiwa mwenye hekima, busara na upeo wa kuona jambo kwa mtazamo mpana!

Usiruhusu uzee wako ukaendeshwa na tumbo badala ya kichwa!

Waliozeeka na hekima na busara wanatambua nafasi zao katika taifa na jamii yao. Si mzee mwenye busara na hekima atakimbilia kujikomba, kujipendekeza na kujigeuza kuwa CHAWA alihali umri umemtupa!

Zeeka kwa busara na hekima ndugu!
 
Sitokuja kuwa chawa maisha Wala kushiriki mambo ya saisa maani ni utapeli
 
Relax ! Then come with factual information about the matter.

Punguza ujuaji, umri hauna lolote kwenye mjadala huu. Usitafute egesho la hoja zako sijui umri,elimu na itikadi zako! Jibu maswali na katika yote acha kutangaza udhaifu wako katika uelewa na utambuzi wa mambo!

NI hatari kuonyesha Upumbavu wako kwa watu, hatari yake ni zaidi ya suala la bandari.
Mimi sio Mzee sema unaleta habari za kitoto wengi mkishasoma basi mnakuwa kama chawa wa wazungu ni upumbavu kabisa .

Sasa wewe una facts gani na labda umejua Hilo jambo kupitia wanasiasa.

Hata kama mkubwa ukileta ishu za kitoto unaonekana Bado mdogo ,punguza utoto.
 
Sitokuja kuwa chawa maisha Wala kushiriki mambo ya saisa maani ni utapeli
Basi kuwa mwenye hekima katika ujenzi WA hoja zako! Ruhusu busara itawale, pia epuka kujikomba kwa mtu au kikundi fulani cha mtu kwani muda mwingine watu hubadilika!

Kama hukubali kuwa mwanasiasa, kwanini unakubali kuwa mfuasi wao? Huoni na wewe ni sehemu ya hao unaowaita ni MATAPELI? Vipi utafanya nini pale utakaposikia hao unaowatetea wamebadilisha msimamo?

Busara, hekima,hoja na ukomavu= Utu uzima/Usomi
 
Ngoja nikuelze kidogo ndugu yangu usinichukulie vibaya👇👇

Huu mjadala ulianza pabaya Kwa vile ulivamiwa na viongozi wa siasa mwishoe kuambatana na udini, kama hauna uelewa wa mambo basi hapa lazima upotee Kwa vile kuna "missing points " yaani ule ukweli unakwepeshwa ili watu wasielewe.

Ukiangalia baadhi za nyuzi kuna mtu kaandika vizuri mpaka kama kuna kasoro kweny makubaliano unayajua ila wengine hamna kitu zaidi ya kuleta wasiwasi.

Unaweza kusema hamna udini ila udini upo na unapoteza mvuto.Ntakupa mfano wa siasa.

Mfano; professor Tibaijuka ,mwanzoni kabisa aliibuka na hoja ya transhipment kwamba Dubai ni mshindani wetu sijui aliishia wapi?

Kaja tena kuchambua matumizi ya maneno sijui "WILL" SHALL" ili mradi atafute kasoro ila ulifuatilia unaona hamna mashiko ,mara wengine ishu ya muda na ukomo wa mkataba..

Wengine huku Mbeya anasema "wazanzibar hawezi kuuza bandari zetu" kama sio ujinga n nn?

Ebu angalia hao maaskofu wapo mbele mbele kupinga hapa kuna kitu gani? Kama unatumia akili basi utafikiria hapa kuna kitu.
 
Ngoja nikuelze kidogo ndugu yangu usinichukulie vibaya[emoji116][emoji116]

Hapa sasa unathibitisha ukomavu wako!

Hiki ndicho ulipaswa ufanye mwanzoni mwa huu mjadala!

Mimi nitakuwa wa mwisho kutokumuamini Profesa Shivji, Dkt Slaa, Padre Kitima, Profesa Tibaijuka na Mwanasheria Mwabukusi nitakuwa WA mwisho mkuu.!

Kwenye hili suala kuna dalili tena kubwa tu ya watu kuangalia maslahi yao hasa wabunge ambao walipaswa wasikikize maoni ya wananchi waliowapigia kura!

Bunge letu limekuwa la kufurahisha executive hii siyo sawa mkuu.
 
Umeona mkuu!! tulishapoteza points mapema na kuwagawa watu ndo maana tunakosa points .

Wanasiasa na viongozi wa dini ni hatari mda mwingine kweny ishu muhimu.
 
Back
Top Bottom