Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hee....Tuende taratibu kijana niambie Mkataba wa Tanzania na makanisa kutoa ruzuku kweny hospital kila mwaka tangu mwaka 92 ni wa mda gani ? then ntakujibu kwa hoja
Kwa kutamka kuwa hata wakitaka kumnyang'anya hadhi ya DIPLOMAT aliyonayo Yuko radhi, hiyo ni TOBA tosha.🙏🙏Na huyu mzee Slaa mbona aliwauza wenzake Chadema kwa JPM akamwaga siri za mikakati yote ya Chadema halafu akapata hisani ubalozi Sweden. Hajawahi kuwaomba msamaha wenzake. Mama Samia kaja kimya kimya akampiga chini mzee mpaka leo linamuuma sana hilo.
Kinachowafanya maaskofu kuja juu ni nn kama sio umbea.!!Hee....
Kwani huu mkataba wa Bandari serikali inaingia na msikiti?
Mbona mmeishiwa hoja kiasi hiki sasa nimeanza kutuletea Udini?.
Kwa mkataba wa kimangungo kama huu!!!Mnafanya kazi za majasusi wa nchi jirani bila kujua, wenzenu huko ndo wanafukuzia huo uwekezaji.View attachment 2685923
Na Shura ya maimamu nao ni maaskofu?Kinachowafanya maaskofu kuja juu ni nn kama sio umbea.!!
Hii ni hoja ya watu mazwazwa,mtu mwenye akili hawezi kutoa hoja hiyo.Bandsri utendaji wake ni mbovu kwa kuwa consecutive governments na CCM wanekuwa wakiajiri ndugu zao,kwa kujuana na hovyo kuweka watu wasio na weledi unaotakiwa,so Serikali na CCM moja kwa moja wanahusika na ubovu huo.The base line is this,CCM waondoke, Watanzania hawawataki tena,enough is enough.Ni mikataba mibovu,ufisadi grand kila kukicha and no action.Na it is funny,Rais mwenyewe Binti Mangungo kaganda,TAKUKURU imeganda,no,no Watanzania wana haki ya kuchukua hatua stahiki.Wakili Mwakabusi amekosoa hoja ya kusema kuwa bandarini kumetawaliwa na ufanisi mbovu ambayo imetumika kama sababu ya kuwapatia DPW kuiendesha. Mwakabusi amesema tuende kwa data kuhusu wizi unaotokea bandarini na kama kumeshakuwa na mjadala wa ripoti ya CAG kuhusu yanayoendelea bandarini.
Amesema kama hoja ni kitu kutokufanyakazi, ilibidi bunge ndio wapewe DPW ambapo hakuna ambaye angepinga hatua hiyo, tena walichukue bunge lotelote wakae nalo.
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Mmh[emoji3064][emoji848][emoji2827][emoji23][emoji23][emoji23]Hamna hoja hao porojo tu ukitoa hayo maneno yao makali hamna hoja.
Likiisha watakuja suala la katiba.
Kwa nn maaskofu wote wapinge kama sio ujingNa Shura ya maimamu nao ni maaskofu?
Kwani kuwa askofu au shehe ndio inaondoa utanzania wao?
Hawana haki km wananchi wengine wa nchi hii?
Sasa Ruzuku unafaninisha na bure? 🤣 We ni mbwa kweli.Tuende taratibu kijana niambie Mkataba wa Tanzania na makanisa kutoa ruzuku kweny hospital kila mwaka tangu mwaka 92 ni wa mda gani ? then ntakujibu kwa hoja
Bure ipi matako wewe? Ruzuku means no return .Salsa Ruzuku unafaninisha na bure? 🤣 We ni mbwa kweli.
Nadhani tuweke siasa pembeni, hajawahi kuomba msamaha Slaa aliwauza wenzake 2015 sio kukibia tu ila alipeleka info za ndani kwa CCM ndio akapewa zawadi ya ubalozi. Jana kusema wachukue ubalozi sababu anajuwa hilo linakuja kwa hiyo hana option. Ila kuna kitu watu hawaongelei alischosema jana, kasema yeye hana pesa ila hii mikutano yote inafadhilia na kikundi kinajiita SAUTI YA WA TANZANIA kama sikosei ma kasema hawa wako nje ya nchi na ndani ndio wanaratibu kila kitu. Sasa unapotumiwa na kikundi chochote kuna price lazima ulipe je hichi kikundi kinataka nini? wanaipenda sana Tz? hapana wana maslahi yao.Kwa kutamka kuwa hata wakitaka kumnyang'anya hadhi ya DIPLOMAT aliyonayo Yuko radhi, hiyo ni TOBA tosha.🙏🙏
Halafu tuweke mambo sawa, kati ya Lowassss na Slaa nani msaliti?
Maana hata Mafisadi CCCm yalikuwa yakimwita Magu msaliti!!!
Jibu ni kuwa Slaa ni Mtanzania MZALENDO🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Vyama vinapita, maana hata Nyerere aloianza uanaharakati bila chama.
Mungu ibariki TANZANIA.
Amen
Kapige mswaki kwanzaBure ipi matako wewe? Ruzuku means no return .
uliambiwa wapi wakifanya kazi serikali haitopata kitu ,rudi darasani kwanza .!!
😂😂😂Mtu unakaa poroni huko na meno ya kuoza unajua nn kuhusu bandari.Kapige mswaki kwanza
Aleykum salam😂😂😂Mtu unakaa poroni huko na meno ya kuoza unajua nn kuhusu bandari.
😂😂Aleykum salam
linapokuja suala la ubaguzi nasi tunaonyesha ubaguzi ngoma draw[emoji23][emoji23]