Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
I wish kwenye hili suala la bandari Jiwe ndie angekuwa kaingia huo mkataba!Wakili Mwakabusi amekosoa hoja ya kusema kuwa bandarini kumetawaliwa na ufanisi mbovu ambayo imetumika kama sababu ya kuwapatia DPW kuiendesha. Mwakabusi amesema tuende kwa data kuhusu wizi unaotokea bandarini na kama kumeshakuwa na mjadala wa ripoti ya CAG kuhusu yanayoendelea bandarini.
Amesema kama hoja ni kitu kutokufanyakazi, ilibidi bunge ndio wapewe DPW ambapo hakuna ambaye angepinga hatua hiyo, tena walichukue bunge lotelote wakae nalo.
Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka