Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Mpaka kesho na milele serikali inatoa pesa despite ya kuwa kuna hospital za wilaya.Terms na conditions zipo wapi? Hizo si ni signatures tu? Labda walikuwa wanauziana ardhi? Halafu kuwa na heshima kwa baba yako.
Kama wwe unajua nionyeshe ukomo wake huu mkataba na hesabu tangu 92 mpaka leo ni miaka mingapi?
Utajuaje na ulikuwa bado hujazliwa .😂