Tetesi: Mwabukusi kujumuishwa kwenye jopo la Wanasheria kesi kampuni ya Tigo Mahakamani London

Extrovert Tundu has opted to pet a ghost death rather than survival relief.

1. He may win his case if he sues Tigo as an entity and its employees who acted in a manner that facilitated the infiltration of private data prior consent was obtained as the ethics prescribe.
2. He won't win the case if he sues individuals especially if linked to the executive/state power....period
 
Tupe kwa kiswahili na sisi tuelewe.
 
Kuwa serious kwenye mambo serious. Mwabukusi huyu huyu?? Jamani huyu wa kuunga unga LLB ndiyo aingie Mahakama za London??

Kuwa President wa LLB siyo kipimo cha uwezo wa kujenga hoja kisheria. Huyu Mwabukusi yeye ni bingwa wa harakati.

Haya maeneo ya international laws yana mabingwa wake. Siyo type ya Mwabukusi
 
Wakufungua Tanzania kesi ya jinai itakuwa kama ya Wakili Peter Madeleka aliyofungua dhidi ya Mbunge wa Babati Pauline Gekul.

Ukifungua tu na DPP anakuwa mhusika upande wako. Then baada ya mention moja anakuja na "nolle prosecui"
Ndio Nini Nolle prosecui!
 
Unafikiri ULAYA mawakili ni dizaini ya MWABU. Watoto wanasoma sheria toka chekechea na wako VERBRIGHT. Kam tu maprof wenu wanaambuliaga patupu sembuse huyo MEMKWA wenu wa sheria?.
Wanasheria wa tz hushindwa kutokana na mikataba ya kiboya iliyokwisha sainiwa na watangulizi mfano mkataba wa Loliondo kati ya EMIRATES NA TZ ni siri kubwa kati ya waarabu na viongozi siku tukishtuka tutampeleka KABUDI ataishia kung'oa macho na kurudi patupu sio kwamba hana akili au hajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…