Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi ameyasema hayo katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026
Naye kawa mpuuzi sasa. Akienda leo akapewa mtihani naye atachapwa chini! Mpuuzi. Badala ya kuangalia tatizo liko wapi anasema mambo ya ajabu! Haiwezeikani kati ya maelfuwanafunzi wapite less than 1%! . Hapo kuna tatizo! Yeye kila kesi anashinda? Kwanini hashindi kila kesi?Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi ameyasema hayo katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026
Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi ameyasema hayo katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026
Hakuna mwingine. Unafanya maombi (petition) kwa jaji mkuu ili akuingize kwenye Roll ya uwakili.Kwani ukimaliza Law school ukafaulu mtihani ndo unakuwa wakili? Au kuna mtihani mwingine wa kufanya baada ya kufaulu ule wa law school ?
Ni huo wa law school tu!Kwani ukimaliza Law school ukafaulu mtihani ndo unakuwa wakili? Au kuna mtihani mwingine wa kufanya baada ya kufaulu ule wa law school ?
Wa Nairobi ndo mgumu zaidi,Kim Kardashian mwenyewe alifail huko Californie. Ukiweka nguvu katika kusoma lazima ufaulu bwana.Hawa wanafunzi sema wana mambo mengi.Ni huo wa law school tu!