Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Huyu jamaa hua kuna wakati simuelewagi kabisana wazee nao watataka chama chao.kisha kina mama nao watake ....wazo batili hilo hao genz kwan hawako kwenye vyama vilivyopo saiv ?au mnataka uraisi wa kuwakamata kwa pamoja
Hujaelewa wapi?na wazee nao watataka chama chao.kisha kina mama nao watake ....wazo batili hilo hao genz kwan hawako kwenye vyama vilivyopo saiv ?au mnataka uraisi wa kuwakamata kwa pamoja
Sasa hoja sio kusajili hoja ni kusema vyama ambavyo vimesajiliwa vinatakiwa kutoa nafasi nyeti Kwa Gen Z ili na wao watoe ya Rohini. Kwasababu ukisema usajili vyama vya GenZ je Kila generation ikataka chama chake itakuwaje?Hujaelewa wapi?
Anamaanisha vyama vya sasa haviwakilishi mahitaji ya kizazi cha sasa... watoe nafasi kusajili vyama vya vijana vipate fursa kuwakilisha hoja na kutunga sera zinazoendana na dunia ya sasa.
Haujaelewa nini hapo?
Kwa mantiki yake, vyama vya sasa havizingatii, haviwapi nafasi na havifanyii kazi matakwa ya wananchi, hasa Gen Z. Kwa iyo kwa upande wake yuko sawa piaSasa hoja sio kusajili hoja ni kusema vyama ambavyo vimesajiliwa vinatakiwa kutoa nafasi nyeti Kwa Gen Z ili na wao watoe ya Rohini. Kwasababu ukisema usajili vyama vya GenZ je Kila generation ikataka chama chake itakuwaje?
Una uhakika? Tatizo ni kwamba vyama vinatayarisha machawa na siyo wanasiasaKwa mantiki yake, vyama vya sasa havizingatii, haviwapi nafasi na havifanyii kazi matakwa ya wananchi, hasa Gen Z. Kwa iyo kwa upande wake yuko sawa pia
Una uhakika? Tatizo ni kwamba vyama vinatayarisha machawa na siyo wanasiasa
Kwani huyu ndiye Rais wa wanasheria wa huko Tanzania?Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, ameiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuongeza usajili wa vyama vipya ili kutoa nafasi kwa kizazi kipya kushiriki katika siasa.
Mwabukusi amesema vijana wanapaswa kupewa fursa ya kuwa na vyama vinavyoendana na mitazamo na lugha yao, akisema hatua hiyo inaweza kuwapa nafasi ya kujihusisha na siasa kupitia njia rasmi. “Mheshimiwa Msajili, ambalo ninaloliomba kwa dhati, sajilini vyama,” amesema Mwabukusi.
Yupo sawa vyama vya sasa vinataka watu wavitumikie kuliko kutumikia wananchi nadhani ameliona hilo. Havi ruhusu mawazo huru.Kwa mantiki yake, vyama vya sasa havizingatii, haviwapi nafasi na havifanyii kazi matakwa ya wananchi, hasa Gen Z. Kwa iyo kwa upande wake yuko sawa pia
Sahihi kabisa mkuu.Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, ameiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuongeza usajili wa vyama vipya ili kutoa nafasi kwa kizazi kipya kushiriki katika siasa.
Mwabukusi amesema vijana wanapaswa kupewa fursa ya kuwa na vyama vinavyoendana na mitazamo na lugha yao, akisema hatua hiyo inaweza kuwapa nafasi ya kujihusisha na siasa kupitia njia rasmi. “Mheshimiwa Msajili, ambalo ninaloliomba kwa dhati, sajilini vyama,” amesema Mwabukusi.
Mbona CCM itatengeneza vyama lukuki mpaka msajili ataishiwa madaftari.Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, ameiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuongeza usajili wa vyama vipya ili kutoa nafasi kwa kizazi kipya kushiriki katika siasa.