Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
kwani kuna Gen Z aliekatazwa kusajili chama cha siasa Tanzania?Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, ameiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuongeza usajili wa vyama vipya ili kutoa nafasi kwa kizazi kipya kushiriki katika siasa.
Mwabukusi amesema vijana wanapaswa kupewa fursa ya kuwa na vyama vinavyoendana na mitazamo na lugha yao, akisema hatua hiyo inaweza kuwapa nafasi ya kujihusisha na siasa kupitia njia rasmi. “Mheshimiwa Msajili, ambalo ninaloliomba kwa dhati, sajilini vyama,” amesema Mwabukusi.
mbona sheria ya usajili na utaratibu wa kusajili chama cha siasa uko wazi na kila mTanzania iwe awe, kijana au mzee anaweza kusajili chama cha siasa kadiri apendavyo lakini kwa kuzingatia sheria tu?
au mwabukusi alikua anataka msajili wa vyama vya siasa ndio akawashawushi vijana kuanzisha chama cha cha siasa?🐒