Mwabukusi: Msajili wa Vyama, sajilini vyama vya Gen Z, msipofanya hivyo wataunda Vikundi vya Waasi!

kwani kuna Gen Z aliekatazwa kusajili chama cha siasa Tanzania?

mbona sheria ya usajili na utaratibu wa kusajili chama cha siasa uko wazi na kila mTanzania iwe awe, kijana au mzee anaweza kusajili chama cha siasa kadiri apendavyo lakini kwa kuzingatia sheria tu?

au mwabukusi alikua anataka msajili wa vyama vya siasa ndio akawashawushi vijana kuanzisha chama cha cha siasa?🐒
 
Kwa mara yakwanza huyu jamaa nimemwona kenge .....anawatafutia njia ya kubanwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…