Walisema waungwana "mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni."
Kama ilivyo kokote hatuwezi kulingana katika yote. Mpaji ni Mola. Aliyekupa wewe ndiye aliyeninyima mimi.
"Hali kadhalika, kukiri mapungufu si dalili ya unyonge."
Hii ni dibaji tu:
"Yaani mwanzo wa ngoma .."
Kwamba kama ni mvua, hapo ni manyunyu. Bado vuli, masika, hadi ile ya el nino kwa mujibu wa utabiri wa hali ya hewa.
Safari, uelekeo Tahrir ni ngumu na ndefu. Kwamba inaponukia, ni vizuri tukafahamiana vyema. Japo kwa kukanusha au kuthibitisha tu, propaganda uchwara kama hizi zinapojitokeza na bila ya kuchelewa:
"Tunajenga nyumba moja."
Aluta continua!