Mwabukusi na mfupa uliowalemea wengi

Mwabukusi na mfupa uliowalemea wengi

The problem nikuwa anaanza kuwa rival wa chadema akimfuata Slaa ambaye mwenye akili anajua kuwa huyu kakosa Ubalozi hivyo ana "bifu" na Samia![emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo kupinga mkataba wa bandari ni kuwa na bifu na Samia? Na wala sio kutetea maslahi ya taifa?
Wafuasi wa MBOWE ni manyumbu
 
Thinking yako ni kuwa anapaa! zaidi ....anashindana na nani na atampita nani? Tatizo lako ni kuwa shallow thinking takes you to a wrong judgement... why? atapita wapi na hana chama/platform firm ya kupigia kura yake? Samia for that matter mtungi, will never allow him to have a party of his own!

Ningelikuwa Mwabukusi ningelitafuta platform kama Chadema nikauza sera zangu for future upladder! The problem nikuwa anaanza kuwa rival wa chadema akimfuata Slaa ambaye mwenye akili anajua kuwa huyu kakosa Ubalozi hivyo ana "bifu" na Samia!
Siasa haiko na formula hiyo.

Mwabukusi is a real deal kwa sasa.
 
Thinking yako ni kuwa anapaa! zaidi ....anashindana na nani na atampita nani? Tatizo lako ni kuwa shallow thinking takes you to a wrong judgement... why? atapita wapi na hana chama/platform firm ya kupigia kura yake? Samia for that matter mtungi, will never allow him to have a party of his own!

Ningelikuwa Mwabukusi ningelitafuta platform kama Chadema nikauza sera zangu for future upladder! The problem nikuwa anaanza kuwa rival wa chadema akimfuata Slaa ambaye mwenye akili anajua kuwa huyu kakosa Ubalozi hivyo ana "bifu" na Samia!
Umelewa pombe na nyama ya Kitimoto
 
haya Bwana, ngoja tuone kama ataivunja serikali

Lengo si kuivunja serikali. Waziwazi:

Agenda zake kasema ni hizi hapa;

1. Katiba mpya ni sasa.
2. Hakuna katiba mpya, hakuna uchaguzi.
3. Bandari haziko sokoni.
 
Kwaiyo kupinga mkataba wa bandari ni kuwa na bifu na Samia? Na wala sio kutetea maslahi ya taifa?
Wafuasi wa MBOWE ni manyumbu
Huu ni mjadala huhitajiki kuchagiza hoja yako ni vikejeli vya kitoto.. Bishana kwa hoja achana na ujinga usio na tija

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2. Hakuna katiba mpya, hakuna uchaguzi.
atafanya nini kwa ukaidi wa serikali wakifanya uchaguzi bila katib mpya wala tume huru? Na ninakwambia kwa Samia alivyo (dikiteita mkubwa kuwahi kutokea at least) hakuna katiba wala tume huru ya uchaguzi. Atafanya nini kama mwabukusi? au Slaa (mchumia tumbo la ubalozi, unadhani angelikuwa Sweden angelikuwa na Mwabukusi), au Mdude?
Kuunganisha nguvu na vyama vilivyopo kungelikuwa na msukumo /pressure zaidi kwa CCM kuliko hiki wanchokifanya hawa watatu.... na maria spaces

NOTE: WATANZANIA HAKUNA WA KUHIMILI KUPIGWA RISASI AKIWA ANAANDAMANA, SISI NI WAOGA, MIMI NA WEWE NA YULE.....................
 
Akunyimae kunde...

Akutakia siha ..

1689438761802 (1).png
 
Umelewa pombe na nyama ya Kitimoto
Matusi si hoja! Matusi, Nimesema time and again kuwa matusi ya nini? kama huna hoja we pita tu.....Nikukutukana utafurahi? Basi hiyo pombe niko hapa na mama yako tunagida kwa kwenda mbele na furaha tele.....kama matusi ni mazuri. Jiepushe na matusi please
 
Ninakazia:

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

Uzi huu ni wa Juni 27, 2021 maudhui yake yangali yanaishi.
 
Huu ni mjadala huhitajiki kuchagiza hoja yako ni vikejeli vya kitoto.. Bishana kwa hoja achana na ujinga usio na tija

Sent using Jamii Forums mobile app
Vikejeli vya kitoto inawezekana mnavyo isipokuwa hamjui km mnavyo.
Hoja iliyopo ni Mwabukusi na mapambano ya bandari na katiba mpya.
Mnakuja na hoja eti wanapinga sababu Dr Slaa anamchukia Samia kwa kumnyima ubalozi" serious sio utoto huu?
Nilidhani kuwa mtawapinga kina mwabukusi kutokana na hoja zao na sio kuwashambulia personaly
Wafuasi wa MBOWE mnajikuta mnajua kila kitu, na analowaambia MBOWE lolote kwenu ni sawa tu.
Sifa ya Nyumbu ni kusahau haraka na kusonga mbele km zuzu
 
Naanza kukuogopa sasa, kumbe uko hivi. kwaheri

Ninaitambua jitihada iliyopo kutafuta sababu zozote hata za kutengeneza ili kuni discredit. Kwamba:

Screenshot_20231009-085520.jpg

Watanzania wakamatwa Kenya wakiwa njiani kwenda kujiunga na Al Shabaab

Tembelea huko kujiridhisha.

Kwamba huo ndiyo utambulisho wake rasmi alioutoa, mimi ni nani kuukataa ndugu?

Au wewe unao wake mpya zaidi?

Angalizo:

"Katiba mpya ni muhimu zaidi kuliko ego yoyote ya awaye yote."

Fitna kwa niaba ya CCM na vibaraka zao za nini?
 
Walisema waungwana "mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni."

Kama ilivyo kokote hatuwezi kulingana katika yote. Mpaji ni Mola. Aliyekupa wewe ndiye aliyeninyima mimi.

"Hali kadhalika, kukiri mapungufu si dalili ya unyonge."

Hii ni dibaji tu:

View attachment 2776199

"Yaani mwanzo wa ngoma .."

Kwamba kama ni mvua, hapo ni manyunyu. Bado vuli, masika, hadi ile ya el nino kwa mujibu wa utabiri wa hali ya hewa.

Safari, uelekeo Tahrir ni ngumu na ndefu. Kwamba inaponukia, ni vizuri tukafahamiana vyema. Japo kwa kukanusha au kuthibitisha tu, propaganda uchwara kama hizi zinapojitokeza na bila ya kuchelewa:

View attachment 2776201

"Tunajenga nyumba moja."

Aluta continua!
Kama kweli Chadema wamelalamika kwa nyimbo zao kupigwa nadhani hawajui wafanyalo.Hivi CCM wakipiga nyimbo za Chadema kwenye mikutano yao,Chadema wangelalamika? Maana yake wanakuwa wanaitangaza Chadema badala ya CCM.
 
Back
Top Bottom