imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Nasikia ni RPC wa Mbeya ndie ghafla kawa CHADEMA na kuwazuia SAUTI ya WATANZANIA kutumia Nyimbo zetu.Polisi wamepaka au tumejikwaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia ni RPC wa Mbeya ndie ghafla kawa CHADEMA na kuwazuia SAUTI ya WATANZANIA kutumia Nyimbo zetu.Polisi wamepaka au tumejikwaa?
Kuna comment Yako kwenye Uzi wa Pasco kumhusu Mpango,Nasikia ni RPC wa Mbeya ndie ghafla kawa CHADEMA na kuwazuia SAUTI ya WATANZANIA kutumia Nyimbo zetu.
Kwangu mimi Mpango ana Element za Umagufuli, kati ya hao wawili naona bora Maza kwetu sisi Wapinzani,na kama kweli atazifuata zile falsafa zake za RRRR.Umecomment kuwa "Sa100 anafiti uceo Hadi 2030".
Nasikia ni RPC wa Mbeya ndie ghafla kawa CHADEMA na kuwazuia SAUTI ya WATANZANIA kutumia Nyimbo zetu.
Uwe unaingia CLUB HOUSE kupata Madini na hilo limethibitushwa na S.W wenyewe.CHADEMA wamekanusha hilo rasmi wapii, tujiridhishe kama vipi niuhuishe uzi?
KAZI IPO!!Kwangu mimi Mpango ana Element za Umagufuli, kati ya hao wawili naona bora Maza kwetu sisi Wapinzani kama kweli atazifuata zile falsafa zake za RRRR.
Ninaamini wanaosukuma ajenda za Mpango ni Magufulist ndani ya CCM.
Sisi Wapinzani tumetoka kuwindwa kama Digidigi mpaka muda huu ambao tunaongea kwenye majukwaa angalao kwa uhuru.KAZI IPO!!
Umeona Dira na maono yoyote applicable kwenye hizo 4R?
Wananchi hatupendi mfumo wa upigaji wa raslimali za umma Kwa mwamvuli wa DEMOKRASIA!!
Kwamba unapingana na Lisu kuwa halipo hata moja CDM walopendekeza lililotimizwa ktk maridhiano?Sisi Wapinzani tumetoka kuwindwa kama Digidigi mpaka muda huu ambao tunaongea kwenye majukwaa angalao kwa uhuru.
Kwa huyu Maza kunaonekana kuna HOPE japo ya kindakindaki😁
Kwangu mimi Mpango ana Element za Umagufuli, kati ya hao wawili naona bora Maza kwetu sisi Wapinzani kama kweli atazifuata zile falsafa zake za RRRR.
Ninaamini wanaosukuma ajenda za Mpango ni Magufulist ndani ya CCM.
Uwe unaingia CLUB HOUSE kupata Madini na hilo limethibitushwa na S.W wenyewe.
Alikuambia anatafuta kupigiwa kura?Thinking yako ni kuwa anapaa! zaidi ....anashindana na nani na atampita nani? Tatizo lako ni kuwa shallow thinking takes you to a wrong judgement... why? atapita wapi na hana chama/platform firm ya kupigia kura yake? Samia for that matter mtungi, will never allow him to have a party of his own!
Ningelikuwa Mwabukusi ningelitafuta platform kama Chadema nikauza sera zangu for future upladder! The problem nikuwa anaanza kuwa rival wa chadema akimfuata Slaa ambaye mwenye akili anajua kuwa huyu kakosa Ubalozi hivyo ana "bifu" na Samia!
CCCm imefanikiwa kupoteza karibia Mwaka mzima, Mbowe alipowekwa gerezani, jumlisha mwaka nzima wa waridhiano ni karibia miaka miwili sasa.
Maandamano ni njia sahihi kureplace muda uliopotea kuamsha hamasa ya watu kujihususha na siasa.
Mwabukusi na co waungwe mkono.
Mimi na Lissu tunaweza kupishana mawazo na ndio Demokrasia hiyo.Kwamba unapingana na Lisu kuwa halipo hata moja CDM walopendekeza lililotimizwa ktk maridhiano?
Shida ya CHADEMA wanawaza kupigiwa kura badala ya kutetea masilahi ya nchi.Mwenzako anashindana na Serikali kufuta mkataba mbovu wa Bandari na kupata Katiba.
Wewe umekwama kwenye uvyama na akili zako nyingi.
Mimi na Lissutunaweza kupishana mawazo na ndio Demokrasia hiyo.
Ni lazima upate ridhaa ya wananchi kwanza kisha uingie Bungeni ndio utetee maslahi ya Wananchi.Shida ya CHADEMA wanawaza kupigiwa kura badala ya kutetea masilahi ya nchi.
CV yangu ni Dereva wa Lori kutokea 1994. Leseni yangu niliipatia Mombasa.Ungeweka la CV Ili tukikunukuu japo tuwe na uhakika na weledi wako bas ndugui?
"Ni lazima upate ridhaa ya wananchi kwanza kisha uingie Bungeni ndio utetee maslahi ya Wananchi." Unafikiria backwards.Ni lazima upate ridhaa ya wananchi kwanza kisha uingie Bungeni ndio utetee maslahi ya Wananchi.
Lakini sio kuwa Pressure Group na kudandia matukio na kukimbizana Mgambo.