Mwabukusi na mfupa uliowalemea wengi


Hoja hujibiwa kwa hoja. Hoja haipingwi kwa rungu. Kuruka ruka huku hakuwezi kuwa na maana yoyote.

Wenye kujali wako wapi, kutokea kujibu hoja zilizopo?

Liko wapi tatizo kwenye maoni haya?

Kwanini Wakili Mwabukusi na wenzake wanastahili kuungwa mkono

Haieleweki kuna ukakasi wapi kuhalalisha unyanyapaa huu popote:

Kufanana kwa Wanaowanyanyapaa kina Mwabukusi na visa vya Yesu

Kwamba ukakasi huo ni kiasi cha kuiweka safari ya Tahrir rehani?

CHADEMA wakaneni hadharani chawa hawa wa mitandaoni

Taifa ni kubwa mno kuliko awaye yote.

Ukweli mchungu kuteleza si kuanguka.

Pana mambo hayako sawa. Ustaarabu ni kuyashughulikia hayo kwanza.
 
It is a pity kuwa Mwabukusi halioni hili!

Atalaumiwa dobi bure kaniki rangi yake.

Huwezi kuwa prosecutor, judge, Shahidi, advocate kwenye kesi moja na bado hukumu tuamini Iko fair kwa kudra za Mungu.

Kukitokea kutoelewana kama hivi, ustaarabu ni kuweka mediator.

Chadema haina hoja/ugomvi wowote/ yoyote na the Trio,

Hata hao jamaa hawana ugomvi na Chadema. Yote ni imaginary tu.

Mwabukusi ndiye analaumu chadema!

Tayari ameshakuwa condemned unheard. Ustaarabu wa wapi huu?

Wao nao wakihitimisha kuwa mwenye lake jambo ni wewe, utasema je ndugu?

Kulikoni kutokuwekeza kwenye mapatano ila mafarakano?
 
Basi weka identity yako ya kweli....... au bado tu waoga? Utaizuia risasi kama unaogopa kujlikana? bado tuna safari ndefu

Identity ya nini? Niko JF kwa mujibu wa sheria. Anonymity ni njia sahihi zaidi ya kuwezesha ukosoaji uliokuwa fair kunapotokea mikanganyiko.

"Sina hakika pia kama wewe unayenichagiza identity kama yako uliyo nayo ni halisi. Hata hivyo, labda hIyo inakuhusu wewe zaidi."

Mkosoaji kwa wastaarabu huko, si mtu wa kubeza.

"Kulikoni hata kutaka kuusahau umuhimu wa uwepo wa vyama vya upinzani kwenye kuona nchi zinaongozwa vilivyo."

Kulikoni nyie kukosoa kule kukukienda fyongo ni halali, ila inyie kukosolewa kwenu (hapo hapo) inakuwa haramu?
 

Makasiriko yote haya kwa binadamu tu? Mbona hata Yesu hakuja kwa wenye haki? Kulikoni kujihesabia haki kiasi hiki?
 
..Ccm watajaribu lila njia kutengeneza " bifu" kati ya wanaharakati na Chadema.

..Ni wajibu wa makundi hayo kuukwepa mtego huo.

JokaKuu, Retired nimedhani nimejibu yote mliyoandika, tena kwa upendo tu. Hii nikijaribu kwa mara nyingine kuonyesha umuhimu wa kuitisha busara kutoka kokote kule iliko.

"Ama Kwa hakika mtamaliza bucha zote nyama ni ile ile. Mtamlaumu kila mtu isipokuwa nInyi. Na mchawi hata kosekana."

Mzizi wa fitna ni huu:

Adui yetu anasikia vitendo. Kama nInyi hamuoni hivyo kulikoni kulaumiana?

Kama mnaona hivyo, reconciliation.

Reconciliation huwa ni kupitia kwa third party. Kuna kina Askofu Bagonza, Mwamakula, TEC, Sheikh Ponda na wengine.

Tujielekeze kwenye mapatano si mafarakano. Kuteleza si kuanguka na kukosea hakuna mwenyewe.
 
Eti mwanasheri hata hajui aendeje.
 
Makasiriko yote haya kwa binadamu tu? Mbona hata Yesu hakuja kwa wenye haki? Kulikoni kujihesabia haki kiasi hiki?
Wahenga walisema, ukiumwa na nyoka , unamwogopa hata mjusi......meaing you have to be very catious and if possible abandon/achana na mtu kama huyo, pita mbali naye,maana hujui siku wala saa atakutumbukiza shomoni usitoke asilani/maisha!
 
Magufuli aliuza bandari?
Dr Slaa kupinga mkataba wa bandari na kupokwa UBALOZI kipi kilitangulia?
Mbona yeye Dr Slaa alisema pale Buliaga kuwa kama ni ubalozi wauchukue tu, ulielewa nini?
Dr Slàa ni level nyingine ukimpinga ni chuki zako binafsi ila wengi tunamuelewa.
 
But Mwabukusi has been blaming Chadema publicly!
Ulitaka tusiwalaumu kwa kupinga kuunganisha nguvu kutetea maslahi ya taifa kwa kutuletea hoja dhaifu na zakibinafsi kwenye jambo linalotaka umoja?
Kwa hili CHADEMA italaumiwa sana tu.
Huu ni uhuni
 
Wahenga walisema, ukiumwa na nyoka , unamwogopa hata mjusi......meaing you have to be very catious and if possible abandon/achana na mtu kama huyo, pita mbali naye,maana hujui siku wala saa atakutumbukiza shomoni usitoke asilani/maisha!

Wahenga pia walisema yaliyopita si ndwele tugange yaliyopo na yajayo. Tusichague ya wahenga tunayoyataka tu. Huo utakuwa ni ubinafsi uliopitiliza.

Suala la kutokuwa na rafiki au adui wa kudumu limeshindwa kueleweka. Hapa chini ni mfano wake:

CHADEMA wa Mtandaoni watamwelewa lini Dr. Lwaitama?

Tulichoona hicho hicho tu hakuna mawazo mbadala?



Kwanini tunapenda kushikilia chuki na fitna hivi? Kwamba kama vipi tukose wote?

Tunaweza je kufanya maridhiano na CCM, lakini si na wa kwetu au wanaoonyesha nia ya kupambana nasi dhidi ya CCM.

Misimamo yetu inashangaza na haieleweki ni kwa madhumuni gani?

"Badala ya kuendelea kupoteza muda zaidi bure na bila sababu labda nia njema haipo, niombe kukuulize swali hili la msingi:"

Tuseme, hamtaki maridhiano yoyote hata iweje?

"Mwongozo wako tafadhali itapendeza zaidi."
 
But Mwabukusi has been blaming Chadema publicly!

Without prejudice.

There is (a severe) mental condition in which thoughts and emotions can be so affected that contact is lost with external reality.



"I am afraid, considering seeking for medical attention could be a thing not to be ignored."

We are human beings and at times it is never seldom that we may not be in the normal or sound conditions, even mentally.

The symptoms of psychosis:

1. Suspiciousness, paranoid ideas, or uneasiness with others.
2. Trouble thinking clearly and logically.
3. having it difficulty recognizing what is real and what is not.
4. Difficulty telling reality from fantasy.
5. Etc.

Psychosis is not a disease or illness but is curable.
 
Ulitaka tusiwalaumu kwa kupinga kuunganisha nguvu kutetea maslahi ya taifa kwa kutuletea hoja dhaifu na zakibinafsi kwenye jambo linalotaka umoja?
Kwa hili CHADEMA italaumiwa sana tu.
Huu ni uhuni

Kuteleza si kuanguka. Ngoja tuone.
 
Stop quoting those nonsense quotes! Hizo waliandika watu na sisis tuna nafasi yetu. Mtu kama Slaa hafai hata kidogo. Huyu alishiriki mauaji na magufuli... ali- support "HITLER" wa Tanzania, leo unaleta quotes za miaka 1000 agao KUMHALALISHA, those will never work in the era of technology and science of today! Lisu anapigwa risasi 36, Slaa anasema hilo ni jambo la kawaida, eti Chadema wanatekana hivyo walioumizwa na magufuli waliumizwa na chadema wenzao! Stupid, eti leo unasamehe...... na bla blah eti do not forget....

Huyu the best option is to abandon Slaa idefinitely!
 

Hoja haipingwi kwa rungu ndugu. Huwezi kujibu hoja? Si basi ndugu?

Matusi ya nini na kubwata bwata hovyo?

Tusilazimishane.
 
Kisichokufaa wewe kinawafaa wengine.
Kwa hiyo Tusipangiane!
 
Watanzania tuitumie haki yetu ya Uraia kwa mbwembwe na bashasha, kana anavyofanya Wakili Mwabukusi.
Nchi hii siyo ya CCM na Chadema na ACT Wazalendo na CUF na NCCR Mageuzi na ..........
Hii ni nchi ya Watanzania wote.
Watawala wanaweza kuwanyamazisha Chadema na CUF na ACT Wazalendo, pamoja na Vyama vingine vyote vya Siasa.
Lakini hawawezi kuwanyamazisha Watanzania wote.
Ninasali watokee akina Mwabukusi kila Wilaya ya Tanzania.
Ili Watawala wasikie.
Big up Mwabukusi
 

Mshana Jr, Retired, JokaKuu, mambio, imhotep, Zawadini, Allen Kilewella

Ninakazia!
 

..Chadema wamemhakikishia Adv.Mwabukusi kwamba hawakulalamika kwa OCD kwamba nyimbo za chama chao zimepigwa ktk mkutano wa Mwabukusi na wanaharakati.

..Mwabukusi amesema hana tatizo lolote na Chadema na kwamba ana mahusiano mazuri nao na amewahi kufanya nao kazi nyingi kipindi cha nyuma.

..Ndio maana naendelea kusisitiza kwamba kuna jitihada za makusudi au kutokujua za kuwachonganisha Chadema na wanaharakati.
 
Siyo kwa tanzania, forget about mass reaction.....sahau kabisa. Pressure groups kama vyama vyenye nia ya dhati, watu binafsi, wanaweza kuleta mabadiliko. Hakuna aliye tayari kupigwa risasi hawa wananchi kwenye maandamano....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…