Mwabukusi na mfupa uliowalemea wengi

Mwabukusi na mfupa uliowalemea wengi

Na Mbowe alisema waje akina Mwabukusi wawashirikishe katika meza ya mazungumzo, waone wanavyoweza kua ccomodate ratiba zao! alisema wazi wazi. sasa wew brazaj tatizo liko wapi? Au una nongwa na chadema..si ajabu wewe ni slaa 😀 😀 😀 😀 😀 😀

Hoja hujibiwa kwa hoja. Hoja haipingwi kwa rungu. Kuruka ruka huku hakuwezi kuwa na maana yoyote.

Wenye kujali wako wapi, kutokea kujibu hoja zilizopo?

Liko wapi tatizo kwenye maoni haya?

Kwanini Wakili Mwabukusi na wenzake wanastahili kuungwa mkono

Haieleweki kuna ukakasi wapi kuhalalisha unyanyapaa huu popote:

Kufanana kwa Wanaowanyanyapaa kina Mwabukusi na visa vya Yesu

Kwamba ukakasi huo ni kiasi cha kuiweka safari ya Tahrir rehani?

CHADEMA wakaneni hadharani chawa hawa wa mitandaoni

Taifa ni kubwa mno kuliko awaye yote.

Ukweli mchungu kuteleza si kuanguka.

Pana mambo hayako sawa. Ustaarabu ni kuyashughulikia hayo kwanza.
 
It is a pity kuwa Mwabukusi halioni hili!

Atalaumiwa dobi bure kaniki rangi yake.

Huwezi kuwa prosecutor, judge, Shahidi, advocate kwenye kesi moja na bado hukumu tuamini Iko fair kwa kudra za Mungu.

Kukitokea kutoelewana kama hivi, ustaarabu ni kuweka mediator.

Chadema haina hoja/ugomvi wowote/ yoyote na the Trio,

Hata hao jamaa hawana ugomvi na Chadema. Yote ni imaginary tu.

Mwabukusi ndiye analaumu chadema!

Tayari ameshakuwa condemned unheard. Ustaarabu wa wapi huu?

Wao nao wakihitimisha kuwa mwenye lake jambo ni wewe, utasema je ndugu?

Kulikoni kutokuwekeza kwenye mapatano ila mafarakano?
 
Basi weka identity yako ya kweli....... au bado tu waoga? Utaizuia risasi kama unaogopa kujlikana? bado tuna safari ndefu

Identity ya nini? Niko JF kwa mujibu wa sheria. Anonymity ni njia sahihi zaidi ya kuwezesha ukosoaji uliokuwa fair kunapotokea mikanganyiko.

"Sina hakika pia kama wewe unayenichagiza identity kama yako uliyo nayo ni halisi. Hata hivyo, labda hIyo inakuhusu wewe zaidi."

Mkosoaji kwa wastaarabu huko, si mtu wa kubeza.

"Kulikoni hata kutaka kuusahau umuhimu wa uwepo wa vyama vya upinzani kwenye kuona nchi zinaongozwa vilivyo."

Kulikoni nyie kukosoa kule kukukienda fyongo ni halali, ila inyie kukosolewa kwenu (hapo hapo) inakuwa haramu?
 
Kwa mtu wa shallow thinking atasema hivyo! Jibu swali hili: kama angelikuwa balozi angelikuwa na Mwabukusi? angeliuacha ubalozi?
kama aliunga mkono atrocities zote za maguduli, huyu ni kumwamini? huyu ni wa kuwa naye? Unajuaje kama hajatumwa? Huyu anaongeka kirahisi, si wa kuwa naye.

Makasiriko yote haya kwa binadamu tu? Mbona hata Yesu hakuja kwa wenye haki? Kulikoni kujihesabia haki kiasi hiki?
 
..Ccm watajaribu lila njia kutengeneza " bifu" kati ya wanaharakati na Chadema.

..Ni wajibu wa makundi hayo kuukwepa mtego huo.

JokaKuu, Retired nimedhani nimejibu yote mliyoandika, tena kwa upendo tu. Hii nikijaribu kwa mara nyingine kuonyesha umuhimu wa kuitisha busara kutoka kokote kule iliko.

"Ama Kwa hakika mtamaliza bucha zote nyama ni ile ile. Mtamlaumu kila mtu isipokuwa nInyi. Na mchawi hata kosekana."

Mzizi wa fitna ni huu:

Adui yetu anasikia vitendo. Kama nInyi hamuoni hivyo kulikoni kulaumiana?

Kama mnaona hivyo, reconciliation.

Reconciliation huwa ni kupitia kwa third party. Kuna kina Askofu Bagonza, Mwamakula, TEC, Sheikh Ponda na wengine.

Tujielekeze kwenye mapatano si mafarakano. Kuteleza si kuanguka na kukosea hakuna mwenyewe.
 
Thinking yako ni kuwa anapaa! zaidi ....anashindana na nani na atampita nani? Tatizo lako ni kuwa shallow thinking takes you to a wrong judgement... why? atapita wapi na hana chama/platform firm ya kupigia kura yake? Samia for that matter mtungi, will never allow him to have a party of his own!

Ningelikuwa Mwabukusi ningelitafuta platform kama Chadema nikauza sera zangu for future upladder! The problem nikuwa anaanza kuwa rival wa chadema akimfuata Slaa ambaye mwenye akili anajua kuwa huyu kakosa Ubalozi hivyo ana "bifu" na Samia!
Eti mwanasheri hata hajui aendeje.
 
Makasiriko yote haya kwa binadamu tu? Mbona hata Yesu hakuja kwa wenye haki? Kulikoni kujihesabia haki kiasi hiki?
Wahenga walisema, ukiumwa na nyoka , unamwogopa hata mjusi......meaing you have to be very catious and if possible abandon/achana na mtu kama huyo, pita mbali naye,maana hujui siku wala saa atakutumbukiza shomoni usitoke asilani/maisha!
 
Kwa mtu wa shallow thinking atasema hivyo! Jibu swali hili: kama angelikuwa balozi angelikuwa na Mwabukusi? angeliuacha ubalozi?
kama aliunga mkono atrocities zote za maguduli, huyu ni kumwamini? huyu ni wa kuwa naye? Unajuaje kama hajatumwa? Huyu anaongeka kirahisi, si wa kuwa naye.
Magufuli aliuza bandari?
Dr Slaa kupinga mkataba wa bandari na kupokwa UBALOZI kipi kilitangulia?
Mbona yeye Dr Slaa alisema pale Buliaga kuwa kama ni ubalozi wauchukue tu, ulielewa nini?
Dr Slàa ni level nyingine ukimpinga ni chuki zako binafsi ila wengi tunamuelewa.
 
But Mwabukusi has been blaming Chadema publicly!
Ulitaka tusiwalaumu kwa kupinga kuunganisha nguvu kutetea maslahi ya taifa kwa kutuletea hoja dhaifu na zakibinafsi kwenye jambo linalotaka umoja?
Kwa hili CHADEMA italaumiwa sana tu.
Huu ni uhuni
 
Wahenga walisema, ukiumwa na nyoka , unamwogopa hata mjusi......meaing you have to be very catious and if possible abandon/achana na mtu kama huyo, pita mbali naye,maana hujui siku wala saa atakutumbukiza shomoni usitoke asilani/maisha!

Wahenga pia walisema yaliyopita si ndwele tugange yaliyopo na yajayo. Tusichague ya wahenga tunayoyataka tu. Huo utakuwa ni ubinafsi uliopitiliza.

Suala la kutokuwa na rafiki au adui wa kudumu limeshindwa kueleweka. Hapa chini ni mfano wake:

CHADEMA wa Mtandaoni watamwelewa lini Dr. Lwaitama?

Tulichoona hicho hicho tu hakuna mawazo mbadala?

F7iw4TwXAAAZ6NP.jpeg

Kwanini tunapenda kushikilia chuki na fitna hivi? Kwamba kama vipi tukose wote?

Tunaweza je kufanya maridhiano na CCM, lakini si na wa kwetu au wanaoonyesha nia ya kupambana nasi dhidi ya CCM.

Misimamo yetu inashangaza na haieleweki ni kwa madhumuni gani?

"Badala ya kuendelea kupoteza muda zaidi bure na bila sababu labda nia njema haipo, niombe kukuulize swali hili la msingi:"

Tuseme, hamtaki maridhiano yoyote hata iweje?

"Mwongozo wako tafadhali itapendeza zaidi."
 
But Mwabukusi has been blaming Chadema publicly!

Without prejudice.

There is (a severe) mental condition in which thoughts and emotions can be so affected that contact is lost with external reality.

1664543999224~2.jpg

"I am afraid, considering seeking for medical attention could be a thing not to be ignored."

We are human beings and at times it is never seldom that we may not be in the normal or sound conditions, even mentally.

The symptoms of psychosis:

1. Suspiciousness, paranoid ideas, or uneasiness with others.
2. Trouble thinking clearly and logically.
3. having it difficulty recognizing what is real and what is not.
4. Difficulty telling reality from fantasy.
5. Etc.

Psychosis is not a disease or illness but is curable.
 
Ulitaka tusiwalaumu kwa kupinga kuunganisha nguvu kutetea maslahi ya taifa kwa kutuletea hoja dhaifu na zakibinafsi kwenye jambo linalotaka umoja?
Kwa hili CHADEMA italaumiwa sana tu.
Huu ni uhuni

Kuteleza si kuanguka. Ngoja tuone.
 
Wahenga pia walisema yaliyopita si ndwele tugange yaliyopo na yajayo. Tusichague ya wahenga tunayoyataka tu. Huo utakuwa ni ubinafsi uliopitiliza.

Suala la kutokuwa na rafiki au adui wa kudumu limeshindwa kueleweka. Hapa chini ni mfano wake:

CHADEMA wa Mtandaoni watamwelewa lini Dr. Lwaitama?

Tulichoona hicho hicho tu hakuna mawazo mbadala?

View attachment 2777412

Kwanini tunapenda kushikilia chuki na fitna hivi? Kwamba kama vipi tukose wote?

Tunaweza je kufanya maridhiano na CCM, lakini si na wa kwetu au wanaoonyesha nia ya kupambana nasi dhidi ya CCM.

Misimamo yetu inashangaza na haieleweki ni kwa madhumuni gani?

"Badala ya kuendelea kupoteza muda zaidi bure na bila sababu labda nia njema haipo, niombe kukuulize swali hili la msingi:"

Tuseme, hamtaki maridhiano yoyote hata iweje?

"Mwongozo wako tafadhali itapendeza zaidi."
Stop quoting those nonsense quotes! Hizo waliandika watu na sisis tuna nafasi yetu. Mtu kama Slaa hafai hata kidogo. Huyu alishiriki mauaji na magufuli... ali- support "HITLER" wa Tanzania, leo unaleta quotes za miaka 1000 agao KUMHALALISHA, those will never work in the era of technology and science of today! Lisu anapigwa risasi 36, Slaa anasema hilo ni jambo la kawaida, eti Chadema wanatekana hivyo walioumizwa na magufuli waliumizwa na chadema wenzao! Stupid, eti leo unasamehe...... na bla blah eti do not forget....

Huyu the best option is to abandon Slaa idefinitely!
 
Hoja haipingwi kwa rungu ndugu. Huwezi kujibu hoja? Si basi ndugu?

Matusi ya nini na kubwata bwata hovyo?

Tusilazimishane.
 
Stop quoting those nonsense quotes! Hizo waliandika watu na sisis tuna nafasi yetu. Mtu kama Slaa hafai hata kidogo. Huyu alishiriki mauaji na magufuli... ali- support "HITLER" wa Tanzania, leo unaleta quotes za miaka 1000 agao KUMHALALISHA, those will never work in the era of technology and science of today! Lisu anapigwa risasi 36, Slaa anasema hilo ni jambo la kawaida, eti Chadema wanatekana hivyo walioumizwa na magufuli waliumizwa na chadema wenzao! Stupid, eti leo unasamehe...... na bla blah eti do not forget....

Huyu the best option is to abandon Slaa idefinitely!
Kisichokufaa wewe kinawafaa wengine.
Kwa hiyo Tusipangiane!
 
Sina hakika unayapata wapi haya uliyoyaandika. Kwamba ni illusions tu? Umeandika kwa kirefu, nitakujibu vivyo hivyo:

1. Hapana hiyo si thinking yangu. Ni jambo la kushangaza sana hata Ile kuwa na wazo tu. Kulikoni kunibashiria thinking zako ndugu?

"Sijui kwa nini mna makasiriko hivi?"

Kufanana kwa Wanaowanyanyapaa kina Mwabukusi na visa vya Yesu

Nini tofauti yenu na ya kisa cha kaka wa mwana mpotevu?

2. Unajielekeza kusiko. Maneno ya hekima haya yanaweza kukuhusu sana ndugu:

View attachment 2776334

Si busara hata kidogo kuwafikiria wengine namna ambayo kumbe yaweza kuwa inakuhusu wewe. Uswahilini wakisema nyani haoni k*ndule.

3. Kwani una maana hivi vyama vilivyopo kuna wenye hati miliki? Nani anataka kusajili vyama vingine? Kulikoni kujikita kwenye yasiyokuwapo?

Kama mkristo ninaweza kusali kwa Mzee wa upako, Rashid, kwa Mwamposa hadi TEC huko na nikapata upako vile vile.

"Hivi huwa hata mnasoma au hata kufuatilia au kujitahidi kuelewa lolote? Wekeni makasiriko pembeni ndugu, mtaweza kuona vizuri.

Agenda zake kasema ni hizi hapa;

1. Katiba mpya ni sasa.
2. Hakuna katiba mpya, hakuna uchaguzi.
3. Bandari haziko sokoni.

"Kwani wewe hutaki katiba mpya? Kwani wewe ni dalali wa DP world?"

4. Hili ni jambo jingine la kushangaza mno. Wewe si Mwabukusi. Unaweza vipi hata kufikiria kuwa yeye?

Ushauri wa bure kwako:

"Wewe si uutumie huo ushauri wako mzuri, Ili ukafanye vyema zaidi? Tukikuelewa utatuona tu wala hutatuita."

"Mwabukusi hajatuita bali tumemwona kwenye tunayosimama nayo tukamwelewa."

Zingatia uzi huu ni wa Machi 21, 2023:

Uchaguzi 2024/25 wa nini kama hakuna Katiba Mpya?

Kumbe basi, nani anamwunga mkono nani? Kumwunga mkono mtu ni haki ya mtu yeyote.

Tushindane kwa hoja. Hoja haipingwi jwa rungu

Wapi kawa rival na Chadema? Ushahidi uko wapi? Wengine sisi hatu advocate rivalry:

"Hatuna adui wa kudumu wala rafiki.'

Habari ndiyo hiyo.
Watanzania tuitumie haki yetu ya Uraia kwa mbwembwe na bashasha, kana anavyofanya Wakili Mwabukusi.
Nchi hii siyo ya CCM na Chadema na ACT Wazalendo na CUF na NCCR Mageuzi na ..........
Hii ni nchi ya Watanzania wote.
Watawala wanaweza kuwanyamazisha Chadema na CUF na ACT Wazalendo, pamoja na Vyama vingine vyote vya Siasa.
Lakini hawawezi kuwanyamazisha Watanzania wote.
Ninasali watokee akina Mwabukusi kila Wilaya ya Tanzania.
Ili Watawala wasikie.
Big up Mwabukusi
 
Mshana Jr, Retired, JokaKuu, mambio, imhotep, Zawadini, Allen Kilewella

Ninakazia!
 
..Chadema wamemhakikishia Adv.Mwabukusi kwamba hawakulalamika kwa OCD kwamba nyimbo za chama chao zimepigwa ktk mkutano wa Mwabukusi na wanaharakati.

..Mwabukusi amesema hana tatizo lolote na Chadema na kwamba ana mahusiano mazuri nao na amewahi kufanya nao kazi nyingi kipindi cha nyuma.

..Ndio maana naendelea kusisitiza kwamba kuna jitihada za makusudi au kutokujua za kuwachonganisha Chadema na wanaharakati.
 
Watanzania tuitumie haki yetu ya Uraia kwa mbwembwe na bashasha, kana anavyofanya Wakili Mwabukusi.
Nchi hii siyo ya CCM na Chadema na ACT Wazalendo na CUF na NCCR Mageuzi na ..........
Hii ni nchi ya Watanzania wote.
Watawala wanaweza kuwanyamazisha Chadema na CUF na ACT Wazalendo, pamoja na Vyama vingine vyote vya Siasa.
Lakini hawawezi kuwanyamazisha Watanzania wote.
Ninasali watokee akina Mwabukusi kila Wilaya ya Tanzania.
Ili Watawala wasikie.
Big up Mwabukusi
Siyo kwa tanzania, forget about mass reaction.....sahau kabisa. Pressure groups kama vyama vyenye nia ya dhati, watu binafsi, wanaweza kuleta mabadiliko. Hakuna aliye tayari kupigwa risasi hawa wananchi kwenye maandamano....
 
Back
Top Bottom