Mwabukusi na wenziwe warejea Mbeya kwa Kishindo

Mwabukusi na wenziwe warejea Mbeya kwa Kishindo

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Ukombozi ni safari ndefu. Hatimaye uelekeo Tahrir unasomeka waziwazi.

Kulikoni?

1. Katiba Mpya ni sasa!
2. Hakuna Katiba, Mpya hakuna uchaguzi.
3. Biashara ya bandari, haipo.


"Wale watanzania wenzetu, wana halisi wa nchi hii wamerejea Mbeya na kupokelewa kwa kishindo:

F77SCplWMAANjmL.jpeg


Mungu atupe nini?

Kesho Mama Abduli na washirika wake wakae mkao wa kula, watege masikio tutakuwa na jambo letu Mbeya:

F77p80IWkAAE0e7.jpeg


Safari yetu Tahrir, Mbeya itaibariki.

"Eh Mola wetu uwalinde waja wako hawa ambao kwa nchi hii iliyoteseka mno, kwa dhati wamejitoa."

Tuonane Tahrir.
 
Acha warejee kwa kushindo

Mada nzima Ina typo mistake moja ambayo mrekebashaji ni Mod Bado inakupa taabu hiyo?

Makasiriko yote ya nini ndugu?

Kwani wewe hutaki katiba mpya? Au wewe ni dalali wa DP World?
 
Marekani anapeleka Misaada ya kila aina Israel

Palestine wametengwa na waarabu wenzao

Hiyo ndiyo taabu ya waarabu lakini pale HAMAS alikuwa anamaliza shida yote. Kila mtu aka kaa kwake.

Bahati mbaya kama wao kama sisi:

"Kulikoni jitihada za kina Mwabukusi kutoungwa mkono na kila mtaka katiba mpya sasa au kila mtaka bandari zisiuzwe?"
 
Back
Top Bottom