Acha warejee kwa kushindo
Bt warudi mza wakishajipanga vizuri.
Dr Slaa anakubalika sana kule.
Hao watu ilikuwa tukio Gani?Siyo kule tu. Na zaidi sana:
"Dunia inaangalia."
Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir
Kama nawaona CCM na vibaraka wao wakipita juu kwa juu.
Joni hilo nyomi halikuletwa na Lori au matrakta ya kukodi.
Hao watu ilikuwa tukio Gani?
Maana nimeiona Tangazo mkutano utakuwa na ndani Kwa ukumbi.
Kama ni hivyo, lazima Jo awe anachungulia na kukimbia.Hayo ni mapokezi tu ya waungwana wale.
We are one, ugomvi wa ndani nyumba ya Jirani haukuhusu.Chadema watanuna
Ubinafsi na umimi mwingiWe are one, ugomvi wa ndani nyumba ya Jirani haukuhusu.
Marekani anapeleka Misaada ya kila aina IsraelHahaha haha .. baba paroko ya kweli haya?
Chadema watanuna
Kama sahani kabatini husigana, iweje WANADAMU wenye utashi na uhuru wa maamuzi,Ubinafsi na umimi mwingi
Marekani anapeleka Misaada ya kila aina Israel
Palestine wametengwa na waarabu wenzao