Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamwambie yeye kama nani?!!!!Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake amechukuliwa kwa nguvu na Watu wasiojulikana ambao walikuwa wamebeba silaha na ripoti zinadai tukio hilo limetokea February 20,2025 saa saba mchana katika Kituo cha Mafuta cha Puma kilichopo Kibaha Mkoani Pwani.
Kwa mujibu wa ripoti za Mashuhuda Kijana huyo aliyekuwa anaendesha pikipiki alipambana sana kuomba msaada lakini Watu hao waliokuwa kwenye Noah nyeusi walitoa silaha ikiwemo bunduki na bastola hadharani na ikapelekea Watu waliokuwa karibu washindwe kutoa msaada.
Watu mbalimbali wamepaza sauti zao mitandaoni wakitaka Mamlaka zitolee ufafanuzi tukio hilo, Rais wa TLS Wakili Boniphace Mwabukusi amesema
"Tunataka Polisi watuambie hili ni zoezi la ukamataji? au ni kiburi cha utekaji baada ya kukosekana kwa hatua thabiti za kuzuia uharamia huu? nadhani sasa hapa tutapata majawabu mara moja "
Utakasirika mpaka mimba Yako itaharibika lakini kamwe huwezi kumfikia aliyepewa na Mungu ewe hater mchovu. Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, mpango wa Mungu kaeni kwa kutulia nyie vichinda.Libibi lenu liko busy na wasani mapunga,mashoga..... 0
Wake zenu wanaporwa na kutiwa vidole na mabodaboda washenzi kama huyo mafala nyie. Umeambiwa anatafutwa muda mrefu kwa matendo ya uporaji na hata hapo bodaboda yake Haina namba halafu mnapeta mambo yenu ya kisengelema ya kicsm hapa.....mapunga nyie. Hivi mmeshawahi kuumizwa na bodaboda nyie malafa?!!!!!!Mnampenda sana yule mama,lakini ukweli uongozi umemshinda. Wadanganyika hatukuzoea mambo hayo,lakini yakizoeleka yatakuwa na athari kubwa sana
Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake amechukuliwa kwa nguvu na Watu wasiojulikana ambao walikuwa wamebeba silaha na ripoti zinadai tukio hilo limetokea February 20,2025 saa saba mchana katika Kituo cha Mafuta cha Puma kilichopo Kibaha Mkoani Pwani.
Kwa mujibu wa ripoti za Mashuhuda Kijana huyo aliyekuwa anaendesha pikipiki alipambana sana kuomba msaada lakini Watu hao waliokuwa kwenye Noah nyeusi walitoa silaha ikiwemo bunduki na bastola hadharani na ikapelekea Watu waliokuwa karibu washindwe kutoa msaada.
Watu mbalimbali wamepaza sauti zao mitandaoni wakitaka Mamlaka zitolee ufafanuzi tukio hilo, Rais wa TLS Wakili Boniphace Mwabukusi amesema
"Tunataka Polisi watuambie hili ni zoezi la ukamataji? au ni kiburi cha utekaji baada ya kukosekana kwa hatua thabiti za kuzuia uharamia huu? nadhani sasa hapa tutapata majawabu mara moja "
Huo ni ukamataji?
Huwezi teka mbele ya kadamnasi hadi bodaboda wakasaidia! Tumieni akili siyo mihemkoHuo ni ukamataji?
Je, Utekaji nao upoje?
Wakitoa majawabu uende bungeni muswada kwa hati ya dharura tanpol wote waongezewe mshahara kwa 40%.Kazi kwenu TLS na wabunge wazalendoMtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake amechukuliwa kwa nguvu na Watu wasiojulikana ambao walikuwa wamebeba silaha na ripoti zinadai tukio hilo limetokea February 20,2025 saa saba mchana katika Kituo cha Mafuta cha Puma kilichopo Kibaha Mkoani Pwani.
Kwa mujibu wa ripoti za Mashuhuda Kijana huyo aliyekuwa anaendesha pikipiki alipambana sana kuomba msaada lakini Watu hao waliokuwa kwenye Noah nyeusi walitoa silaha ikiwemo bunduki na bastola hadharani na ikapelekea Watu waliokuwa karibu washindwe kutoa msaada.
Watu mbalimbali wamepaza sauti zao mitandaoni wakitaka Mamlaka zitolee ufafanuzi tukio hilo, Rais wa TLS Wakili Boniphace Mwabukusi amesema
"Tunataka Polisi watuambie hili ni zoezi la ukamataji? au ni kiburi cha utekaji baada ya kukosekana kwa hatua thabiti za kuzuia uharamia huu? nadhani sasa hapa tutapata majawabu mara moja "
Haya mambo hayakuanzishwa na Yule mamaMnampenda sana yule mama,lakini ukweli uongozi umemshinda. Wadanganyika hatukuzoea mambo hayo,lakini yakizoeleka yatakuwa na athari kubwa sana
Matukio ya Utekaji watu mbele ya kadamnasi siyo kweli kwamba ni jambo lisilowezekana, matukio haya yapo ni hili ni mojawapo.Huwezi teka mbele ya kadamnasi hadi bodaboda wakasaidia! Tumieni akili siyo mihemko
Matukio ya Utekaji watu mbele ya kadamnasi siyo kweli kwamba ni jambo lisilowezekana, matukio haya yapo ni hili ni mojawapo.
Masuala haya ya kutekana hapa Tanzania jinsi yanavyofanyika ni kama vile ilivyokuwa nchini Zaire (DRC) enzi za Utawala wa Dikteta Mobutu Sese Seko, Watu walikuwa wanatekwa mchana kweupe kama hivi wanavyofanya hawa Watekaji kwenye video hii. Nchini Zaire ilikuwa ukitekwa namna hiyo basi utapelekwa moja kwa moja nyumbani kwake Rais Mobutu Sese Seko kwenye makazi yake yaliyopo katika Kijiji Cha Gbadolite ili ukateswe na kisha kuuawa.
Mungu hawapi majizi na wasagaji ...fuvckUtakasirika mpaka mimba Yako itaharibika lakini kamwe huwezi kumfikia aliyepewa na Mungu ewe hater mchovu. Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, mpango wa Mungu kaeni kwa kutulia nyie vichinda.
Police wana mbinu nyingi sio mpaka wavae sareKwanini kama ni polisi wanafanyakazi bila kuvaa sare!! Itakuja kuleta janga kwa wananchi ambao watashindwa kutofautisha kati ya polisi na watekaji.
We mpumbavu ... Polis anaruhusiwa kutumia mawe kumpiga mtuhumiwa?Huwezi teka mbele ya kadamnasi hadi bodaboda wakasaidia! Tumieni akili siyo mihemko
AG ni nani?Duh
Kenya alitekwa mtoto wa AG kwa kupuuzia puuzia
Hao ni watekaji sio wakamataji? Umeitazama hiyo video au na wewe upo kichawa hapa?.Police wana mbinu nyingi sio mpaka wavae sare
Kwaiyo polisi anaruhusiwa kushindwa kumkamata mharifu mkaidi?We mpumbavu ... Polis anaruhusiwa kutumia mawe kumpiga mtuhumiwa?
Huyo ni kishandu mkwapuaji anakamatwa nyie mnalalamika ati anatekwaHao ni watekaji sio wakamataji? Umeitazama hiyo video au na wewe upo kichawa hapa?.