Mwabukusi: Polisi watuambie huu ni utekaji au ukamataji?

Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake amechukuliwa kwa nguvu na Watu wasiojulikana ambao walikuwa wamebeba silaha na ripoti zinadai tukio hilo limetokea February 20,2025 saa saba mchana katika Kituo cha Mafuta cha Puma kilichopo Kibaha Mkoani Pwani.

Kwa mujibu wa ripoti za Mashuhuda Kijana huyo aliyekuwa anaendesha pikipiki alipambana sana kuomba msaada lakini Watu hao waliokuwa kwenye Noah nyeusi walitoa silaha ikiwemo bunduki na bastola hadharani na ikapelekea Watu waliokuwa karibu washindwe kutoa msaada.

Watu mbalimbali wamepaza sauti zao mitandaoni wakitaka Mamlaka zitolee ufafanuzi tukio hilo, Rais wa TLS Wakili Boniphace Mwabukusi amesema

"Tunataka Polisi watuambie hili ni zoezi la ukamataji? au ni kiburi cha utekaji baada ya kukosekana kwa hatua thabiti za kuzuia uharamia huu? nadhani sasa hapa tutapata majawabu mara moja "

Wamwambie yeye kama nani?!!!!
 
Libibi lenu liko busy na wasani mapunga,mashoga..... 0
Utakasirika mpaka mimba Yako itaharibika lakini kamwe huwezi kumfikia aliyepewa na Mungu ewe hater mchovu. Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, mpango wa Mungu kaeni kwa kutulia nyie vichinda.
 
Mnampenda sana yule mama,lakini ukweli uongozi umemshinda. Wadanganyika hatukuzoea mambo hayo,lakini yakizoeleka yatakuwa na athari kubwa sana
Wake zenu wanaporwa na kutiwa vidole na mabodaboda washenzi kama huyo mafala nyie. Umeambiwa anatafutwa muda mrefu kwa matendo ya uporaji na hata hapo bodaboda yake Haina namba halafu mnapeta mambo yenu ya kisengelema ya kicsm hapa.....mapunga nyie. Hivi mmeshawahi kuumizwa na bodaboda nyie malafa?!!!!!!
 
Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake amechukuliwa kwa nguvu na Watu wasiojulikana ambao walikuwa wamebeba silaha na ripoti zinadai tukio hilo limetokea February 20,2025 saa saba mchana katika Kituo cha Mafuta cha Puma kilichopo Kibaha Mkoani Pwani.

Kwa mujibu wa ripoti za Mashuhuda Kijana huyo aliyekuwa anaendesha pikipiki alipambana sana kuomba msaada lakini Watu hao waliokuwa kwenye Noah nyeusi walitoa silaha ikiwemo bunduki na bastola hadharani na ikapelekea Watu waliokuwa karibu washindwe kutoa msaada.

Watu mbalimbali wamepaza sauti zao mitandaoni wakitaka Mamlaka zitolee ufafanuzi tukio hilo, Rais wa TLS Wakili Boniphace Mwabukusi amesema

"Tunataka Polisi watuambie hili ni zoezi la ukamataji? au ni kiburi cha utekaji baada ya kukosekana kwa hatua thabiti za kuzuia uharamia huu? nadhani sasa hapa tutapata majawabu mara moja "

1740237663473.png
 
Wakitoa majawabu uende bungeni muswada kwa hati ya dharura tanpol wote waongezewe mshahara kwa 40%.Kazi kwenu TLS na wabunge wazalendo
 
Huwezi teka mbele ya kadamnasi hadi bodaboda wakasaidia! Tumieni akili siyo mihemko
Matukio ya Utekaji watu mbele ya kadamnasi siyo kweli kwamba ni jambo lisilowezekana, matukio haya yapo ni hili ni mojawapo.
Masuala haya ya kutekana hapa Tanzania jinsi yanavyofanyika ni kama vile ilivyokuwa nchini Zaire (DRC) enzi za Utawala wa Dikteta Mobutu Sese Seko, Watu walikuwa wanatekwa mchana kweupe kama hivi wanavyofanya hawa Watekaji kwenye video hii. Nchini Zaire ilikuwa ukitekwa namna hiyo basi utapelekwa moja kwa moja nyumbani kwake Rais Mobutu Sese Seko kwenye makazi yake yaliyopo katika Kijiji Cha Gbadolite ili ukateswe na kisha kuuawa.
 
1740239713946.png
 
Kwanini kama ni polisi wanafanyakazi bila kuvaa sare!! Itakuja kuleta janga kwa wananchi ambao watashindwa kutofautisha kati ya polisi na watekaji.
 
Utakasirika mpaka mimba Yako itaharibika lakini kamwe huwezi kumfikia aliyepewa na Mungu ewe hater mchovu. Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, mpango wa Mungu kaeni kwa kutulia nyie vichinda.
Mungu hawapi majizi na wasagaji ...fuvck
 
Kwanini kama ni polisi wanafanyakazi bila kuvaa sare!! Itakuja kuleta janga kwa wananchi ambao watashindwa kutofautisha kati ya polisi na watekaji.
Police wana mbinu nyingi sio mpaka wavae sare
 
Huwezi teka mbele ya kadamnasi hadi bodaboda wakasaidia! Tumieni akili siyo mihemko
We mpumbavu ... Polis anaruhusiwa kutumia mawe kumpiga mtuhumiwa?
 
Hao ni watekaji sio wakamataji? Umeitazama hiyo video au na wewe upo kichawa hapa?.
Huyo ni kishandu mkwapuaji anakamatwa nyie mnalalamika ati anatekwa
 
Back
Top Bottom