Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Huyu BAK mbona anabweka bweka bila kutupatia mwendelezo wa ufuatiliaji wa hatima za rafiki yake Mdude?Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amevitaka vyombo vya dola na taasisi za usimamizi wa uchaguzi kutoa majibu ya haraka kuhusu kile alichokiita "mauaji ya halaiki" na upotezwaji wa miili ya raia uliotokea Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa taifa haliwezi kupona bila ukweli na uwajibikaji.
Mwabukusi amehoji hatima ya waliopotea akisema, "Tunahitaji ukweli uliokamilika; waliotekwa wako wapi na nani aliwateka?" huku akizishutumu Tume ya Uchaguzi, Jeshi la Polisi, na Ofisi ya Msajili wa Vyama kwa kuchochea chuki na vurugu za kidemokrasia zilizopelekea ndugu wa wahanga "kuzika viatu na nguo" badala ya miili ya wapendwa wao.
Aidha, kiongozi huyo amelaani uharibifu wa mali na miradi ya kiuchumi ya vijana uliofanywa na vyombo vya dola kinyume cha sheria, akihitimisha kuwa misingi ya uhuru wa maoni na haki za kumiliki rasilimali imekandamizwa, na kwamba "Haki, Ukweli na Uwajibikaji ndivyo vitaliponya Taifa."
View attachment 3570882
Haya sasa ndiyo ''maridhiano''. Watu wengi wanadhani kuwa maridhiano ni kukaa meza moja na kusema yaliyopita siyo ndwele bali tugange yajayo. Hapana. Mariadhiano ni kujua yote yaliyotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi, wahusika kuchukuliwa hatua na mwisho kuweka mkataba wa kuhakikisha hayatokea tena.Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amevitaka vyombo vya dola na taasisi za usimamizi wa uchaguzi kutoa majibu ya haraka kuhusu kile alichokiita "mauaji ya halaiki" na upotezwaji wa miili ya raia uliotokea Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa taifa haliwezi kupona bila ukweli na uwajibikaji.
Mwabukusi amehoji hatima ya waliopotea akisema, "Tunahitaji ukweli uliokamilika; waliotekwa wako wapi na nani aliwateka?" huku akizishutumu Tume ya Uchaguzi, Jeshi la Polisi, na Ofisi ya Msajili wa Vyama kwa kuchochea chuki na vurugu za kidemokrasia zilizopelekea ndugu wa wahanga "kuzika viatu na nguo" badala ya miili ya wapendwa wao.
Aidha, kiongozi huyo amelaani uharibifu wa mali na miradi ya kiuchumi ya vijana uliofanywa na vyombo vya dola kinyume cha sheria, akihitimisha kuwa misingi ya uhuru wa maoni na haki za kumiliki rasilimali imekandamizwa, na kwamba "Haki, Ukweli na Uwajibikaji ndivyo vitaliponya Taifa."
😀😀"Kwa kile alichokiita mauaji ya halaiki" kwani wewe ndugu mwandishi utaitaje kile kitendo?
Truth and reconciliationHaya sasa ndiyo ''maridhiano''. Watu wengi wanadhani kuwa maridhiano ni kukaa meza moja na kusema yaliyopita siyo ndwele bali tugange yajayo. Hapana. Mariadhiano ni kujua yote yaliyotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi, wahusika kuchukuliwa hatua na mwisho kuweka mkataba wa kuhakikisha hayatokea tena.
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amevitaka vyombo vya dola na taasisi za usimamizi wa uchaguzi kutoa majibu ya haraka kuhusu kile alichokiita "Mauaji ya Halaiki" na upotezwaji wa miili ya raia uliotokea Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa taifa haliwezi kupona bila ukweli na uwajibikaji.
Mwabukusi amehoji hatima ya waliopotea akisema, "Tunahitaji ukweli uliokamilika; waliotekwa wako wapi na nani aliwateka?" huku akizishutumu Tume ya Uchaguzi, Jeshi la Polisi, na Ofisi ya Msajili wa Vyama kwa kuchochea chuki na vurugu za kidemokrasia zilizopelekea ndugu wa wahanga "kuzika viatu na nguo" badala ya miili ya wapendwa wao.
Aidha, kiongozi huyo amelaani uharibifu wa mali na miradi ya kiuchumi ya vijana uliofanywa na vyombo vya dola kinyume cha sheria, akihitimisha kuwa misingi ya uhuru wa maoni na haki za kumiliki rasilimali imekandamizwa, na kwamba "Haki, Ukweli na Uwajibikaji ndivyo vitaliponya Taifa."
Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amevitaka vyombo vya dola na taasisi za usimamizi wa uchaguzi kutoa majibu ya haraka kuhusu kile alichokiita "Mauaji ya Halaiki" na upotezwaji wa miili ya raia uliotokea Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa taifa haliwezi kupona bila ukweli na uwajibikaji.
Mwabukusi amehoji hatima ya waliopotea akisema, "Tunahitaji ukweli uliokamilika; waliotekwa wako wapi na nani aliwateka?" huku akizishutumu Tume ya Uchaguzi, Jeshi la Polisi, na Ofisi ya Msajili wa Vyama kwa kuchochea chuki na vurugu za kidemokrasia zilizopelekea ndugu wa wahanga "kuzika viatu na nguo" badala ya miili ya wapendwa wao.
Aidha, kiongozi huyo amelaani uharibifu wa mali na miradi ya kiuchumi ya vijana uliofanywa na vyombo vya dola kinyume cha sheria, akihitimisha kuwa misingi ya uhuru wa maoni na haki za kumiliki rasilimali imekandamizwa, na kwamba "Haki, Ukweli na Uwajibikaji ndivyo vitaliponya Taifa."Mitambo ya Vitambulisho vya NIDA ilishaunganishwa na Tume ya uchaguzi CCM. Kura zilishapigwa na kupangwa matekeo na tiss miezi mitatu kabla ya siku ya uchaguzi Oct 29, 2025
Bila haki amani haiwezi kupatikana ktk nchi hii. Watu watandelea kuwindana na kuuana kama wanyama hadi kiama.Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amevitaka vyombo vya dola na taasisi za uya uhuru wa maoni na haki za kumiliki rasilimali imekandamizwa, na kwamba "Haki, Ukweli na Uwajibikaji ndivyo vitaliponya Taifa."