Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesikiliza speech za lisu zoote sijaona mahali amemshambulia mwenye kiti zaid naona waandishi makanjanja wanaml8sha sana maneno TL kwa maslah yao binafsiUnataka uenyekiti kwa kumshambulia Mwenyekiti aliepo hadharani 😄😀
TL Kabeba Maono na Anasimami na kulinda Maono.Wengine wamebeba chama chao na kusimamia na kulinda chama .Twende na Chama au Maono.
Tundu Antipas Mugwai ni mtu mwenye misimamo thabiti na mwenye akili bora ya kuwa sehemu ya harakati yoyote ya upinzani yenye uaminifu. Ni mtu wa kuaminika, anayestahili kupewa imani, na mwenye uadilifu wa hali ya juu.
Si tu kwamba wananchi wanamuhitaji kwa hamu, lakini pia utofauti na uwajibikaji katika harakati za upinzani vinadai hivyo.
Ninaweza kumuweka madarakani kwa kujiamini. Yeye ni zawadi ambayo Watanganyika wanastahili kupewa.
Kupiga Kura kwa Maslahi ya Mageuzi ni kumpigia Kura ya Ndiyo Tundu Antipas Mugway Lisu kwa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA
View attachment 3182291
Shetani hana maono , ana maoni.Hata shetani, ukisoma kwenye Biblia, alikuwa na maono.
Katika maandiko, kuna mifano kadhaa ambapo shetani anajitokeza na kutoa maono au kujaribu watu kwa njia mbalimbali.
Kwa mfano, katika Injili ya Mathayo, shetani anajaribu Yesu kwa kumwonyesha falme zote za dunia na kumwambia kwamba atamtoa mamlaka juu yao.
Maono haya yanaweza kuashiria jinsi shetani anavyoweza kujitokeza kama mshawishi au kujaribu kuongoza watu mbali na imani yao.
Kwa hivyo, ni muhimu kuelewa kwamba maono ya shetani yanapotajwa katika Biblia, yanaweza kuwa na maana ya kujaribu au kupotosha, badala ya kuwa na lengo la mema.
Hao ni Wana harakati sio wanasiasa!Lissu, Mwabukusi, Dr Slaa, Heche na Mpina ndio wanaoweza kuwatetea Watanzania kwa dhati kwa sasa.
Si ndio mpinzani wake kwenye box la kura ulitaka ampigie kampeniUnataka uenyekiti kwa kumshambulia Mwenyekiti aliepo hadharani 😄😀
KweliTL Kabeba Maono na Anasimami na kulinda Maono.Wengine wamebeba chama chao na kusimamia na kulinda chama .Twende na Chama au Maono.
Tundu Antipas Mugwai ni mtu mwenye misimamo thabiti na mwenye akili bora ya kuwa sehemu ya harakati yoyote ya upinzani yenye uaminifu. Ni mtu wa kuaminika, anayestahili kupewa imani, na mwenye uadilifu wa hali ya juu.
Si tu kwamba wananchi wanamuhitaji kwa hamu, lakini pia utofauti na uwajibikaji katika harakati za upinzani vinadai hivyo.
Ninaweza kumuweka madarakani kwa kujiamini. Yeye ni zawadi ambayo Watanganyika wanastahili kupewa.
Kupiga Kura kwa Maslahi ya Mageuzi ni kumpigia Kura ya Ndiyo Tundu Antipas Mugway Lisu kwa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA
View attachment 3182291
Kwa nchi ilipofika leo tunahitaji amsha amsha, wanaharakati kuhamasisha umma tupate katiba mpya, tume huru, tunusuru maliasili zetu na kupunguza ufisadi.Hao ni Wana harakati sio wanasiasa!
Wanaharakati na wanasiasa wana majukumu tofauti katika jamii, ingawa mara nyingi wanaweza kufanya kazi kwa pamoja.
Wanaharakati
1. Malengo: Wanaharakati wanashughulikia masuala maalum ya kijamii, mazingira, au haki za binadamu. Lengo lao ni kuleta mabadiliko katika jamii kupitia uhamasishaji na utafutaji wa haki.
2. Mbinu: Wanatumia mbinu za kampeni, maandamano, na elimu ya umma ili kuhamasisha watu kuhusu masuala yao. Wanaweza pia kufanya kazi katika ngazi za jamii au kimataifa.
3. Siyo Wanafunzi wa Siasa: Mara nyingi, wanaharakati hawana dhamira ya kugombea nafasi za kisiasa, ingawa wanaweza kuathiri sera za kisiasa.
Wanasiasa
1. Malengo: Wanasiasa wanajihusisha na siasa za utawala na wanajaribu kushika madaraka kupitia uchaguzi. Lengo lao ni kuunda na kutekeleza sera za serikali.
2. Mbinu: Wanaweza kutumia kampeni za uchaguzi, majadiliano, na mikutano rasmi ili kufikia malengo yao. Wanajihusisha na sheria na mifumo ya kisiasa.
3. Wanafunzi wa Siasa: Wanaweza kuwa na dhamira ya kuwa viongozi wa kisiasa, wakijenga mitandao na ushawishi katika siasa.
Kama mwenyekiti anajifanya kiziwi kwenye vikao huko ndani ya chama, basi acha watu watokee hadharani apewe ukweli wake.Unataka uenyekiti kwa kumshambulia Mwenyekiti aliepo hadharani 😄😀
Wapi alipomshambulia?Unataka uenyekiti kwa kumshambulia Mwenyekiti aliepo hadharani 😄😀
Ikiwa ndani ya chama tu kumwangusha mwenyekiti na ana mipolisi ana jesh ilo kwenu gumu vip mnanaza Katiba kwasasa. Icho kizaz cha kudai Katiba bado kipo kwenye zipu. Kuusu Mwabukusi ningeshangaa tu kama angemuunga mkono Mzee Mbowe!!! mana Lisu kafanya mengi ili yeye Mwabukusi awe Rais wa chama cha wanasheria na siku alipotangazwa Mwabukusi kashinda uwo Urais ni uyo uyo Lisu alionekana akicheza kwa furaa akisakata mayenu, leo vip uyu Mwabukusi awe upande wa Mbowe!!!!! Heeee ndio Demokrasia yenyewe watu wanayotafuta ndio iyo!!! Nibebe..............nKwa nchi ilipofika leo tunahitaji wanaharakati kuhamasisha umma tupate katiba mpya, tume huru, tunusuru maliasili zetu na kupunguza ufisadi.
Baadaye tukipata katiba mpya tutapata wanasiasa hata hawa wanaharakati wanaweza kubadilika kuwa wanasiasa.