Mwabukusi: Tundu Lissu amebeba na kusimamia maono, wengine wamebeba chama chao, tuende na chama au maono?

CCM wanalazimisha akae Double Agent ili waliolala wasiamke.
Washanusa Amplifaya inataka kuchukua hatamu wanajua hapata kalika.

Naona hatari ya jaribio lingine la kumuua TAL.
 

Lissu, Mwabukusi, Dr Slaa, Heche na Mpina ndio wanaoweza kuwatetea Watanzania kwa dhati kwa sasa.
 
Shetani hana maono , ana maoni.

Utajiri na fahari ya dunia ni mali ya Mungu .Shetani hawezi kuumba hata nyasi ndo ataweza kuumba dhahabu ?
 
Lissu, Mwabukusi, Dr Slaa, Heche na Mpina ndio wanaoweza kuwatetea Watanzania kwa dhati kwa sasa.
Hao ni Wana harakati sio wanasiasa!
Wanaharakati na wanasiasa wana majukumu tofauti katika jamii, ingawa mara nyingi wanaweza kufanya kazi kwa pamoja.

Wanaharakati
1. Malengo: Wanaharakati wanashughulikia masuala maalum ya kijamii, mazingira, au haki za binadamu. Lengo lao ni kuleta mabadiliko katika jamii kupitia uhamasishaji na utafutaji wa haki.
2. Mbinu: Wanatumia mbinu za kampeni, maandamano, na elimu ya umma ili kuhamasisha watu kuhusu masuala yao. Wanaweza pia kufanya kazi katika ngazi za jamii au kimataifa.
3. Siyo Wanafunzi wa Siasa: Mara nyingi, wanaharakati hawana dhamira ya kugombea nafasi za kisiasa, ingawa wanaweza kuathiri sera za kisiasa.

Wanasiasa
1. Malengo: Wanasiasa wanajihusisha na siasa za utawala na wanajaribu kushika madaraka kupitia uchaguzi. Lengo lao ni kuunda na kutekeleza sera za serikali.
2. Mbinu: Wanaweza kutumia kampeni za uchaguzi, majadiliano, na mikutano rasmi ili kufikia malengo yao. Wanajihusisha na sheria na mifumo ya kisiasa.
3. Wanafunzi wa Siasa: Wanaweza kuwa na dhamira ya kuwa viongozi wa kisiasa, wakijenga mitandao na ushawishi katika siasa.
 
Kweli
 
Kwa nchi ilipofika leo tunahitaji amsha amsha, wanaharakati kuhamasisha umma tupate katiba mpya, tume huru, tunusuru maliasili zetu na kupunguza ufisadi.

Baadaye tukipata katiba mpya tutapata wanasiasa hata hawa wanaharakati wanaweza kubadilika kuwa wanasiasa.
 
Akili za wanaharakati

Kazi ya kuendesha chama ni rahisi kwa mtazamo wao.
 
Swali ni moja tu:

Huko CHADEMA, kuna uchaguzi huru na wa haki?

Au nako hauwezekani (yaani haujawahi kuwepo)!
 
CCM na wapenzi wake wasingependa kiongozi wa upinzani atakae wasumbua.

Hapo Lissu lazima aandamwe kwelikweli.

Ikiwa wapiga kura watampa zaidi Mbowe haitakuwa ajabu sana maana watanzania ndivyo tulivyo kwa kuzingatia vigezo hafifu.

Napendekeza Lissu asipochaguliwa mara moja au aunde chama kipya au aende chama kingine tumfuate.
Wasiomtaka Lissu watajuta maana tuta fanya support haija wahi tokea Tanzania hii.
Tusubiri kura zikapigwe, watakao tupigia kura wakipiga kura kwasababu ua ushawishi wa kifedha wasubiri sisi raia wenye vyama na tusio na vyama tutakacho kifanya.
Tutarejea habari hii baada ya Januari 2025.
 
Kwa nchi ilipofika leo tunahitaji wanaharakati kuhamasisha umma tupate katiba mpya, tume huru, tunusuru maliasili zetu na kupunguza ufisadi.

Baadaye tukipata katiba mpya tutapata wanasiasa hata hawa wanaharakati wanaweza kubadilika kuwa wanasiasa.
Ikiwa ndani ya chama tu kumwangusha mwenyekiti na ana mipolisi ana jesh ilo kwenu gumu vip mnanaza Katiba kwasasa. Icho kizaz cha kudai Katiba bado kipo kwenye zipu. Kuusu Mwabukusi ningeshangaa tu kama angemuunga mkono Mzee Mbowe!!! mana Lisu kafanya mengi ili yeye Mwabukusi awe Rais wa chama cha wanasheria na siku alipotangazwa Mwabukusi kashinda uwo Urais ni uyo uyo Lisu alionekana akicheza kwa furaa akisakata mayenu, leo vip uyu Mwabukusi awe upande wa Mbowe!!!!! Heeee ndio Demokrasia yenyewe watu wanayotafuta ndio iyo!!! Nibebe..............n
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…