Isipokuwa Tanzania tu, hapo anaombea Kila siku mabaya yatokee......ndege zikamatwe, miga tushitakiwe, London tushitakiwe nae alipwe matrilioni ya dolla, Raisi wa nchi hii kumdogoisha na kumwita tu kihuni anavyojisikia 'mama Abdul'. Ahsante mi si lolote si chochote, maana huyu mtu kwa hakika ningehangaika nae 'seriously'. Pigieni mstari hilo neno seriously!!