Mwabukusi: Tundu Lissu amekamatwa kinyume cha sheria, ameonewa

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
" Tundu Lissu hajakamatwa kisheria, amekamatwa kinyume cha sheria, ameshatgakiwa kinyume cha sheria na mashataka yake yapo kinyume cha sheria. Lazima tujifunze kukataa tutazoesha watu wanakukamata tu hapa wanasema umepindua nchi na kukamata nakupeleka kule alafu nasema msijadili suala lipo mahakamani. Tulipigie kelele na ninasema categorical and ama ready to take this cost, Tundu Lissu ameonewa kushikiliwa ni muendelezo wa manyanyaso na ndo maeneo ambayo namuomba Jaji Mkuu kwa nafasi yake awaambie majaji na mahakimu kesi za nmana hii zisipokelewe- Amesema Wakili Mwabukusi

Nchi hii ni nchi ya ajabu sana!, Huyu ni rais wa TLS, badala ya kuzungumzia haya TLS, which can do something to help out, anazungumza mtaani that can do nothing!.
P
 
Wapi unadhani anaweza kuzungumzia hayo na akasikilizwa? Nyie waandishi wa habari na kujipendekeza kote, mbona kila siku sheria mbaya zinazidi kutungwa dhidi yenu, na sasa hata kuripoti ukweli hamdhubutu. Ww bro una mchango wa moja kwa mija wa huu uongozi wa kihuni kwa kujipendekeza kwako.
 
Nchi hii ni nchi ya ajabu sana!, Huyu ni rais wa TLS, badala ya kuzungumzia haya TLS, which can do something to help out, anazungumza mtaani that can do nothing!.
P
Watu wa ajabu au Nchi ya ajabu Boss,
Nchi mbona naiona safi tu au Mimi naitazama kwa miwani nyingine?
Kwa mtazamo wangu naona watu ndiyo tuna matatizo sana.
 
Back
Top Bottom